Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 869
- 2,276
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mdogo wangu ana degeree ya philosophy, ambayo alipata akiwa seminary kuu katika shirika moja la kitawa.Ameachaa baada ya mwaka wa kiroho.
Naombeni mwongozo wenu, kama anaweza kufanya masters katika philosophy, au ni course gani ataweza kusoma, ambayo ina connection na hiyo degree.
Ufahulu wake ana GPA ya 4.2(upper division).
Asanteni.
Naombeni mwongozo wenu, kama anaweza kufanya masters katika philosophy, au ni course gani ataweza kusoma, ambayo ina connection na hiyo degree.
Ufahulu wake ana GPA ya 4.2(upper division).
Asanteni.