Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,230
- Thread starter
- #41
huna loloteSina muda huo wa kueleza vitu ambavyo ni clear and self-evident. Karibu kila mtu anajua. Mtajaribu kupanda kila mti mwaka huu. Hata miti inayowasha.

Hata wewe hujawahi kuwa neutral zaidi kuwa dodoki la ccm, bora hata Dr Askofu Shoo anaweza kupinga kwa hoja, wewe ndie hivyo tena tia maji.Tatizo la Shoo hajawahi kuwa neutral. KIla wakati CHADEMA au kanda ya kaskazini iko sahihi. Hii inamuondolea uhalali wa kusikilizwa.
Siku ukivua hilo 'shuka la upumbavu' ulilojifunika utaona mbele sana, ILA kwa namna ninavyokusoma shuka la upumbavu ndilo utandamana nalo hadi kuzimu.Huyu ni walewale wanafiki wa Taifa. Hana lolote kwenye hiyo kanzu yake zaidi ya kuendesha uhuni na hao akina mbowe
huyu Mwamba "shoo" anajiamini sana.View attachment 1906402
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .
DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu
View attachment 1906538
Unazano shoo ataacha kumtetea Mbowe, Massawe na Mushi?View attachment 1906402
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .
DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu
View attachment 1906538
Africa bara la giza na uonevu hasa na wenye mamlaka
Tunaandika sana na tunajitahidi sana kutoa maoni yetu, bahati mbaya both sides of the Isle hutajaribu kuwa na synthesis analysis ya matukio kadri ya navyotokea na matokeo yake tunashindwa kuwa na critical path kwa all major events.Raia kuandamana ni haki yao kisheria, na Mbowe kuwataka waandamane kwenye hiyo operation UKUTA alikuwa akitimiza/tekeleza haki yake kisheria.
Lakini Askofu kwa kujua unyama wa polisi wetu, akaona bora amtake Mbowe aache kuwahimiza raia waandamane ili kuwaepushe na majanga ambayo yangeweza kumkuta yeye pamoja na raia.
Hapa najifunza kitu, hii nchi sasa haiongozwi tena kwa kufuata sheria, wala na chama cha siasa, inaongozwa na vyombo vya dola, hawa jamaa wanalitumia jeshi la polisi kwa manufaa yao kisiasa.
Hali hii ikiachwa iendelee itasababisha huko mbele ya safari raia wawe sugu nao watafute njia ya kujilinda na madhila ya polisi, tukifika hapo CCM watavuna walichopanda.
Askofu Shoo ni mmoja wa Viongozi wa Kidini wapenda HAKI na huwa hamungunyi maneno kama baadhi ya Viongozi wa kidini walio wanafiki!!
Hawa hawa wa kuruhusu katiba mpya ?!.Katiba mpya itatunasua kutoka katika hali hii
Huna lolote !Tunaandika sana na tunajitahidi sana kutoa maoni yetu, bahati mbaya both sides of the Isle hutajaribu kuwa na synthesis analysis ya matukio kadri ya navyotokea na matokeo yake tunashindwa kuwa na critical path kwa all major events.
A major problem is our leaderships and the society we lead, we have allowed recklessly in how we handle and pursue our agendas forgeting that history places greater responsibility to a leader. We should never allow civil society members to direct or lead the opposition agendas (KIGOGO as a reference ), as you can now vividly see Chadema is harvesting what civil societies planted in it.
We all know civil society members can hardly win a seat even a councillors forget about the member of Parliament. I am a member of the same constituency as Mbowe, I am non descript but very sympathetic to him as person but not the party.
Politics is a war and the first casualty of war is truth.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1906402
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .
DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu
View attachment 1906538
Hawa hawa wa kuruhusu katiba mpya ?!.
Mpaka watu waumie kwanza. Kwa hisani ya Rais hamna. Kwani wanaufurahia umungumutu walio nao
Kongole Askofu. Tuna imani haki itatendeka.View attachment 1906402
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .
DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu
View attachment 1906538
AmenHakika
Kaaaazi kwelikweli!Whatever it takes. Katiba mpya ya kupewa haipo. Hata mtoto mdogo kuachishwa ziwa haijawahi kuwa rahisi.
Tunayo historia yake, inatosha. Haya ageuke kama Haji Manara, bado tunaona DNA yake ya ukanda na ukabila ikipiga kelele.Umemsikia lakini ? kuna video nimekuwekea