Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki kuanzia kufundisha watu kwamba Mungu amekufa, God is dead, taifa lao ndio limesambaratika, Mungu wetu bado yupo na kanisa bado lipo”,
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga.
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga.