DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini pia anawakilisha nguvu za uovu.
"Nyoka kwa asili tunamuona kama kiumbe wa hovyo sana, ni kiumbe wa kukimbizwa na kuuwawa lakini kwa asili ni kiumbe ambaye ana umaana pia. Nyie mnaojali mazingira kwenye mazingira yenu mkiua nyoka wote panya watawasakama mpaka kieleweke. Kila nyoka unaemuona wewe ua ua utavuna panya wewe mpaka ushangae"