OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,225
- 103,836
Mtumishi wa Mungu anapogeuka mtumishi wa Magufuli
Jpm anayekemea mauaji,utekaji na unyanyasaji unaofanywa na watu wasiojulikana angestahili kuombewa na kuungwa mkono.Bavicha kwenu kiongonzi mzuri ni yule anayemsema vibaya jpm ?
Yoote yatasemwa ila likja la kuteka,kupotea, kupiga risasi hadharani,............hayo mambo yasipo komeshwa lazima tutapiga kelele. Mkifanikiwa kutunyamzisha mawe yatapiga keleleHivi unaweza kuwataja waliofungwa kwenye viroba??,aliyefungwa bila kufikishwa Mahakamani nani ??,wataje,!!, aliyefukuzwa Nazi bila sababu ni nani wataje au unalenga walioghushi vyeti vya taaluma!!??!!, Tatizo baadhi yenu mlizoea short cut, hiyo mianya ya enzi za awamu iliyopita imezibwa yote na mtanyauka kweli, so mlikuwa mmeigeuza Tanzania Shamba LA bibi mnafisadi mpendavyo!!!,Wacha Magufuli awanyooshe maana mlikuwa mmepinda!!!!,KARDINALI, ana haki ya kutoa maoni yake kama ulivyotoa ya kwako, sasa ubaya wake uko wapi!!??!!,watu wanajiteka wenyewe, inasingiziwa serikali, Mahakamani Mpinzani akishinda kesi au akipewa dhamana mnasema Mahakama imetnda HAKI, ila Mpinzani akifugwa,au akinyimwa dhamana mnasema Mahakama zimepokea maelekezo toka Serkalini!!,wengine mmekosa ustaarabu alipofungwa sugu wakasema Mahakama zimekuwa sawa na Choo!!!, HIVI NYINYI MMEKUWA MIUNGU ??,YAANI SETIKALI IWAACHE MFANYE MNAVYOTAKA,MVURUGE AMANI, haiwezekani hata kidogo Shria zipo lazima mzitii asiyetaka atashurutishwa Katiba iliyopo lazima itkelezwe misingi yake, Ebo hii Tanzania huru, mnataka kuturudisha kwenye Ukoloni na Utumwa ,katu haitatokea labda kwa awmu zijazo ,lakink siyo awamu hii ya NGOSHA, HAPA KAZI TU , NGOSHA CHAPA KAZI WANYOGNGE WALIOPIGIKA WAMU ZILIZOPITA WAKO BEGA KWA BEGA NA WEWE , USIWE NA HOFU KABISAAAAAA!!
Siyo kweli, Rugambwa hakuwahi tamka lolote kuhusu serikali na alifanya yake kimya kimya kumshauri mwalimulUsitegemee kumuona Kardinali Pengo akienda kinyume na matakwa ya serikali. Kauli yake ni kwamba yeye ni mtu wa umri ambao busara za Mwalimu Nyerere na falsafa zake, zimekuwa zikimuongoza.
Kardinali sio aina ya hawa wengine ambao ushawishi wa wanaharakati, ni rahisi kuteka hisia zao.
Siamini msomi wa ngazi yake halielewi hili suala muhimu la corrective responsibility bali nafikiri kuna conflict of interests, after all baba Askofu Ngalalekumtwa bado yuko ofisini kama mkuu wa Kanisa mbona yuko kimya sana?Kuna dhana ya "Collective responsibility" ambayo mshahamu Kardinali Pengo anatakiwa kupewa tuition aijue. Yeye ni sehemu ya baraza la maaskofu. Sio halali kwake kushambulia msimamo wa baraza.
Polepengo ni kadinali yaan mwenyekiti au kiongoz wa maaskofu so swali lako la ninan nivp kuwajibia umelipata
Ngalalekumtwa ni kiongozi mkubwa ndani ya kanisa,ndo bosi wa maaskofu wote, pia bado yuko timamu tofauti na pengo mwenye celebral malaria,sasa kujibizana na mgonjwa ni dhambi kubwa zaidiSiamini msomi wa ngazi yake halielewi hili suala muhimu la corrective responsibility bali nafikiri kuna conflict of interests, after all baba Askofu Ngalalekumtwa bado yuko ofisini kama mkuu wa Kanisa mbona yuko kimya sana?
wewe wasemaNaona unapenda sana lugha ya Kiarabu siyo?
Unaipenda Quran kutoka moyoni. Sema uko na huo ukristo kwa ajili ya maslahi tu. Sema amina.wewe wasema
Sio maoni yake tu pia ndio msimamo wa Jumbo Kuu la Dar es Salaam ambalo yeye ni Kiongozi wake. Na kwa taratibu za Kanisa Katoliki hakuna Askofu yeyote anayeweza kuhoji maoni yake.Hayo ni maoni yake Baba Askofu,yaheshimiwe.
Mungu amuongoze!
mimi naamini quran kama nyenzo ima mafuta ya kulainisha vichwa vilivyo jaa kutu vya kina malyenge end the likeUnaipenda Quran kutoka moyoni. Sema uko na huo ukristo kwa ajili ya maslahi tu. Sema amina.