Askofu Pengo: Serikali iwashughulikie wahuni wachoma makanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Pengo: Serikali iwashughulikie wahuni wachoma makanisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ruttashobolwa, Jun 24, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Source -TBC 1
  Askofu mkuu wa katoliki( PENGO), ameiagiza serikali kupamba na watu wanao onekana kuleta uvunjifu wa amani nchini.

  Askofu ame yasema hayo katika semi ya mapadri iliyokuwa inafanyika bagamoyo na kusisitiza amani na utulivu nchini.

  Akionekana kukerwa na vitendo vya uchomaji wa makanisa vilivyo tokea huko zanziba ,Askofu ameiomba serikali kuwa shughulikia walio husika na vitendo hivyo kwa kutumia myamvuri ya dini kwa kuwa ni wa huuni tu na wachochezi.

  PENGO amesema uchomaji wa makanisa haukuanza leo, serikali inapaswa kuwashughulikia wa husika.

  Naungana na pengo kuwasihi wapenda amani na waelewa kutotumia dini kwa maslai yao,dini itumike kuleta amani na upendo baini yetu.

  Hivyo serikali inapaswa kuchukua hatua stahiki kwa kikundi,vyombo vya habari au mtu ambaye anaonekana kuwa chachu ya uvunjifu wa amani na uchochezi.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja...
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kumbe UAMSHO ni wahuni?
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja ila pia nina swali kwa Pengo. Kwani makanisa yamechomwa jana? Kwa nini msimamo wake umekawia sana? Tukisema ni mtu wa kupima upepo kwanza katika issue muhimu za kitaifa kuangalia bendera inakoelekea tumekosea?
  My take: serikali ya sisiem inapenda sana viongozi wenye kusubiri kwanza upepo upite ndipo watoe maamuzi ima ni magumu au mepesi kwa namna ya kadinali Pengo. Na kwa njia hii sii hata kidogo serikali inaweza kubadilika ama kuchukua maamuzi magumu.
  .
   
 5. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kama ni rahisi njoo wakamate wewe tumechoka na sera za kujaza makinisa z'bar bila kuwa na waumini hilo ni onyo na yatazidi kuchomwa ikiwa mtaendelea na upuuzi wenu huo hatupendi makanisa na dini yenu ya kubuni
   
 6. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kama ni rahisi njoo wakamate wewe tumechoka na sera za kujaza makinisa z'bar bila kuwa na waumini hilo ni onyo na yatazidi kuchomwa ikiwa mtaendelea na upuuzi wenu huo hatupendi makanisa na dini yenu ya kuekti
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  tunajua nyie amact ni magaidi kweli,sina shaka na wewe unahusika katika uchomaji wa makanisa na sidhani kama dini yako ndivyo inavyo kufundisha.

  Serikali sasahivi itafungua maghala ya silaha kwaajili ya watu kama ninyi kwani hamna tofauti na alshabab au boko haram
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Magaidi watarajali
   
 9. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona maghala ya silaha yamejifungua wenyewe kule mbagala au ulikuwa haupo???
   
 10. a

  abu alfauzaan Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanya nae,leo kabaniwa mchezo na sister ndo amekua mkali km hivi,
  hem 2ache 2pumue,unawajua vyema waliochoma makanisa,km wew m.mme washughulikie
   
 11. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 3,582
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wewe una hitilafu. Kwani makanisa hata yakiwa mengi au machache, unadhurika nini? Mbona huku bara kuna mwarabu aliamua kujenga misikiti katika vijiji vyote vya pembezoni mwa barabara toka Dar mpaka Mbeya, bila kujali kama kuna waumini au hakuna, umesikia kuna mtu yeyote anayelalamika? Kama unajiamini na mafundisho yako kwa waumini wako, hata kama ungejengewa kanisa mpaka mlangoni haiwezi kukubadili chochote. Huku bara sisi tuna misikiti ambayo ina maspika mpaka kwenye madirisha yetu, kama kuna kitu tunakosa ni usingizi tu maana kuanzia saa 11 alfajiri ni kelele lakini uwepo wa misikiti au kinachohubiriwa hakina athari yeyote kwa sisi tusio waislam. Nina imani yangu, ninaifuata, na kingine chochote ni kama mlio wa gari linalopita.
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Pengo aiagiza serikali!!!!??????? duh hii kali, sijui hii amri kaitoa kwa serikali ipi? suk au jmt!!!!
   
 13. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
   
 14. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo askofu Pengo na akili yake anaona Tanzania ina serikali? Ina maana hauoni huu usanii na ulaghai wa serikali yetu? Alimwona kionghozi yupi aliyejishughulisha hata wakati yale makanisa yanaunguzwa? Sasa ndiyo wakawashughulikie walioyachoma? Kweli Watanzania tunatia aibu kwa kuwa waoga na kupiga kelele tu bila vitendo.
   
 15. M

  Mandi JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mfahamu pengo anavyoongea hakusema kwamba ni uamsho ndo wahuni,amesema waliochoma makanisa ndo wahuni nahayo ninamuunga mkono pengo kwasababu uamsho wametoa tamko kwamba hawahusiki na uchomaji wamakanisa koz hadi misikiti pia umechomwa na waliochoma wanajulikina wakiwemo wanajeshi wastaafu
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja 100% hao wahuni wasakwe na washughulikiwe.
   
 17. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwanya kabaniwa mchezo na sister, anataka awakamate waliochoma makanisa avuke maji awafuate, tuondolee kelele zako.
   
 18. M

  Mandi JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  i am practical muslim so naelewa na ndivyo ilivyo kwamba uislamu unatakiwa uhishimu dini nyengne na wala watu wadini yaupande wakushoto wanapofanya ibada wasikerwe lakin uislamu zanzibar umo ndani yautamaduni na kwabahati mbaya kika makanisa yakiengezeka mabar nayo yanaengezeka na hcho cha mabaa ndo tatizo na uovu kwa waislamu ndo wakachukua hatua zakufanya ajenda maalum yakutia moto bar.kwa mujibu wa sheria ya zanzibar 1984 zanzibar inaruhusiwa pawepo na bar mbili tu angalia leo kuna bar ngapi.mimi nimechukizwa na uchomaji wa miskiti na makanisa but nimefurah kuchomwa kwa baa.
   
 19. waziri/saidi

  waziri/saidi Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha utahira wewe,acha wasali au waswali hata wawe wawili bana,inaonesha unafuata umati na siyo imani,ebu elimika bana usiwe unatoa hoja kitoto namna hiyo,unatuaibisha bana.kuabudu ni haki ya kila mtu hata wewe,usimfanyie mtu kitu ambacho hata ww hupendi,Mungu gani anayependa uovu na ujinga wa ubaguzi ka wako?BADILIKA
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  serikali haiwezi kupambana na uamsho kwa sababu uamsho uko serikalini tayari...its too late..hapa tunasubiri tu kuanza kuuana mitaani..ndo tunakoelekea huko
   
Loading...