Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,253
- 26,162
Tulia dawa iingie vizuri Allen. Huu ndo uzuri wa JF. Uliwahi kusikia tamko la TEC kwenye hili jambo?
Tulia dawa iingie vizuri Allen. Huu ndo uzuri wa JF. Uliwahi kusikia tamko la TEC kwenye hili jambo?
Matoeleo yanaingia akaunti binafsi za Maaskofu?hakuna account za jimbo?Sasa ngoja tuanze kufukua mambo yao. Hii ndo JF
Why wanapokea hela account binafsi?...Tulia dawa iingie vizuri Allen. Huu ndo uzuri wa JF
The Boss haya mambo watu hawawezi kuyaelewa vizuri. Acha tuwafungue macho vizuriMatoeleo yanaingia akaunti binafsi za Maaskofu?hakuna account za jimbo?
Why wanapokea hela account binafsi?...
Wamepokea ngapi za Karamagi?
Muendelezo wake ikawaje?Tulia dawa iingie vizuri Allen. Huu ndo uzuri wa JF
Kwa hiyo unakubali kuwa pesa za Escrow hazikuwa za Serikali? Tuweke kumbukumbu sawa kwanza!Muendelezo wake ikawaje?
Au umesahau kuwa Jimmy alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi? Mwisho Wa Ile kesi umekuwaje?
Wale waliobeba hela kwenye viroba (mifuko ya sandarusi) mpaka leo Serikali imewataja?
Karamagi hizo pesa anapewa na Kanisa ama Serikali?Why wanapokea hela account binafsi?...
Wamepokea ngapi za Karamagi?
Hazikuwa za Serikali Bali zilikuwa za umma.Kwa hiyo unakubali kuwa pesa za Escrow hazikuwa za Serikali? Tuweke kumbukumbu sawa kwanza!
Kwa hiyo kama ni za Umma. Ni sawa Rugemalila alivyozigawa kwa Maaskofu wa Katoliki?Hazikuwa za Serikali Bali zilikuwa za Imma.
Maana ya "Escrow" mbona inajieleza na kwenye hili la "Tegeta Escrow" ni Kikwete mwenyewe ndiye aliyeruhusu zili hela zitolewe Benki Kuu.
Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.Lancashire upo wapi ndugu yangu? Alafu TEC hawakuwahigi kutoa tamko hapa
Unahangaika kama mtoto mdogo wewe, hizo pesa zilishatolewa maelezo zamani na mchezo ukaisha...Na huu ndo utamu wa JF. Ndo mana wakongwe tunawaambiaga watoto wadogo humu watuliege tu hawajuagi hii michezo inavyochezwa.
Mkuu you are truly missed kwenye hili jukwaa. Hivi kwa kumbukumbu zetu wakongwe hapa, TEC waliwahi kutoa tamko kulaani hili jambo?Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.
Ulishawahi kusikia tamko la TEC kuhusu hizi fedha na hii miamala waliyopewa maaskofu wao?Unahangaika kama mtoto mdogo wewe, hizo pesa zilishatolewa maelezo zamani na mchezo ukaisha...
Nyie sasa ni zamu yenu kutoa maelezo ya mkataba wa hovyo wa bandari, na lazima muyatoe, mkiendelea kuziba masikio au kuhamisha magoli kama hivi mnavyofanya, mtaendelea kula fimbo mpaka mnyooke..
Huwezi mtu mzima na akili zako timamu uulizwe kwanini mkataba wa bandari mbovu, ujibu kwasababu Askofu Nzigilwa alipewa hela na Karamagi!.
Alizigawa kwa marafiki zake, wewe ulitaka agaiwe nani?Kwa hiyo kama ni za Umma. Ni sawa Rugemalila alivyozigawa kwa Maaskofu wa Katoliki?
Duh 🙄 ! Mumeanza kufukua makaburi ??!! 😱Matoeleo yanaingia akaunti binafsi za Maaskofu?hakuna account za jimbo?
Why wanapokea hela account binafsi?...
Wamepokea ngapi za Karamagi?
Ulishawahi kusikia tamko la TEC kwenye hili jambo?Alizigawa kwa marafiki zake, wewe ulitaka agaiwe nani?
Ulitaka Ruge awaache watu wake wa karibu anaowafahamu akakugawie wewe asiyekujua?
Tunaowajua vizuri hasa hasa motive behind haya matamko yao hatusumbuliwagi na matamko yao uchwara haya.Wazee wa maslahi na utajiri wa dhuluma eti watoe tamko ,ilihali wanataka pesa rahisi za kukaa na kukusanya sadaka na kuhalalisha dili za haramu kwa kusafisha watu wao wa kanisa.
Hakuna kukubali maoni ya wala rushwa ,wanaangalia maslahi yao.!!
View attachment 2721321
Hiyo avatar yako na barakashia tayari unaonekana hamna kitu kweny judgement.Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.
Huu ndo uzuri wa JF. Lazima kumbukumbu ziwekwe sawa ili watu wajue Serikali inadeal na watu wa namna gani!Duh 🙄 ! Mumeanza kufukua makaburi ??!! 😱