Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

Tulia dawa iingie vizuri Allen. Huu ndo uzuri wa JF
Muendelezo wake ikawaje?

Au umesahau kuwa Jimmy alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi? Mwisho Wa Ile kesi umekuwaje?

Wale waliobeba hela kwenye viroba (mifuko ya sandarusi) mpaka leo Serikali imewataja?
 
Kwa hiyo unakubali kuwa pesa za Escrow hazikuwa za Serikali? Tuweke kumbukumbu sawa kwanza!
 
Hazikuwa za Serikali Bali zilikuwa za umma.

Maana ya "Escrow" mbona inajieleza na kwenye hili la "Tegeta Escrow" ni Kikwete mwenyewe ndiye aliyeruhusu zile hela zitolewe Benki Kuu.
 
Lancashire upo wapi ndugu yangu? Alafu TEC hawakuwahigi kutoa tamko hapa
Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.
 
Na huu ndo utamu wa JF. Ndo mana wakongwe tunawaambiaga watoto wadogo humu watuliege tu hawajuagi hii michezo inavyochezwa.
Unahangaika kama mtoto mdogo wewe, hizo pesa zilishatolewa maelezo zamani na mchezo ukaisha...

Nyie sasa ni zamu yenu kutoa maelezo ya mkataba wa hovyo wa bandari, na lazima muyatoe, mkiendelea kuziba masikio au kuhamisha magoli kama hivi mnavyofanya, mtaendelea kula fimbo mpaka mnyooke..

Huwezi mtu mzima na akili zako timamu uulizwe kwanini mkataba wa bandari mbovu, ujibu kwasababu Askofu Nzigilwa alipewa hela na Karamagi!.
 
Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.
Mkuu you are truly missed kwenye hili jukwaa. Hivi kwa kumbukumbu zetu wakongwe hapa, TEC waliwahi kutoa tamko kulaani hili jambo?
 
Unahangaika kama mtoto mdogo wewe, hizo pesa zilishatolewa maelezo zamani na mchezo ukaisha...

Nyie sasa ni zamu yenu kutoa maelezo ya mkataba wa hovyo wa bandari, na lazima muyatoe, mkiendelea kuziba masikio au kuhamisha magoli kama hivi mnavyofanya, mtaendelea kula fimbo mpaka mnyooke..

Huwezi mtu mzima na akili zako timamu uulizwe kwanini mkataba wa bandari mbovu, ujibu kwasababu Askofu Nzigilwa alipewa hela na Karamagi!.
Ulishawahi kusikia tamko la TEC kuhusu hizi fedha na hii miamala waliyopewa maaskofu wao?
 
Kwa hiyo kama ni za Umma. Ni sawa Rugemalila alivyozigawa kwa Maaskofu wa Katoliki?
Alizigawa kwa marafiki zake, wewe ulitaka agaiwe nani?

Ulitaka Ruge awaache watu wake wa karibu anaowafahamu akakugawie wewe asiyekujua?
 
Wazee wa maslahi na utajiri wa dhuluma eti watoe tamko ,ilihali wanataka pesa rahisi za kukaa na kukusanya sadaka na kuhalalisha dili za haramu kwa kusafisha watu wao wa kanisa.

Hakuna kukubali maoni ya wala rushwa ,wanaangalia maslahi yao.!!
Screenshot_20230819-003650.png
 
Wazee wa maslahi na utajiri wa dhuluma eti watoe tamko ,ilihali wanataka pesa rahisi za kukaa na kukusanya sadaka na kuhalalisha dili za haramu kwa kusafisha watu wao wa kanisa.

Hakuna kukubali maoni ya wala rushwa ,wanaangalia maslahi yao.!!
View attachment 2721321
Tunaowajua vizuri hasa hasa motive behind haya matamko yao hatusumbuliwagi na matamko yao uchwara haya.

Hawa watu nia zao ovu zinajulikanaga vizuri kabisa
 
Nipo kimya muda mrefu naangalia mambo yanavoenda ndugu yangu.Jana TEC wamenishtuwa kwa tamko lao kwakweli huu mchanganyiko wa dini na siasa tusipouendea kwa busara tutavurugana vibaya sana. Nasubiri tamko la waislamu nao tuweze kuweka mizania sawa. Tumuombee Rais anapitishwa kwenye mtihani ule ule aliopitishwa Mzee Ruksa , na Jakaya.
Hiyo avatar yako na barakashia tayari unaonekana hamna kitu kweny judgement.

Huyo mama yenu akikosea hamtaki aambiwe ukweli, mnataka apongezwe, JK alipingwa kwa ujinga wake, na mama yenu nae anapingwa kwa ujinga wake.

Ulivyo wa ajabu, unasubiri tamko la Bakwata au sijui nani badala waje kujibu hoja za msingi kuhusu mkataba, unataka tu wamlinde mama yenu kwa kivuli cha dini yenu.

Mmejilea kwenye kivuli cha mawazo mgando miaka mingi sana, kukwepa maswali ya msingi kwenda kujificha kwenye kichaka cha udini, safari hii hicho kichaka chenu tunachoma moto.
 
Back
Top Bottom