TEC uzalendo wenu umeanza lini?

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
23
25
Askofu Kilaini atajwa
Zitto alisema, “Kwa upande wa viongozi wa dini ambao waliingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu Methodius Kilaini (Sh80.9 milioni), Askofu Eusebius Nzigirwa (Sh40.4 milioni) na Padri Alphonce Twimannye Simon (Sh40.4 milioni).

Aliongeza, “Kamati ya PAC ilithibitishiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru kuwa baadhi ya watu walienda kugawana fedha kwenye benki tajwa (Benki ya Mkombozi inamilikiwa na kanisa katoliki) wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, maboksi, magunia na lumbesa.”

Kwanini hamkutoa waraka wa kutaka wahusika kurejesha fedha na kuitaka serikali kuwachukulia hatua?
 
Hakyanani tamko la Tec limechafua hali ya hewa, yaan tangu jana migambo wanaruka na kukanyagana!!
 
Askofu Kilaini atajwa
Zitto alisema, “Kwa upande wa viongozi wa dini ambao waliingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu Methodius Kilaini (Sh80.9 milioni), Askofu Eusebius Nzigirwa (Sh40.4 milioni) na Padri Alphonce Twimannye Simon (Sh40.4 milioni).

Aliongeza, “Kamati ya PAC ilithibitishiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru kuwa baadhi ya watu walienda kugawana fedha kwenye benki tajwa (Benki ya Mkombozi inamilikiwa na kanisa katoliki) wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, maboksi, magunia na lumbesa.”

Kwanini hamkutoa waraka wa kutaka wahusika kurejesha fedha na kuitaka serikali kuwachukulia hatua?
Ungewataja kwanza na wale (watu wasiojulikana) waliobeba mamilioni ya shilingi kwenye mifuko ya sandarusi na kupotelea kusikojulikana mchana kweupe.

Halafu mbona Rais mwenzenu muislam wa wakati huo aliutangazia umma ya kwamba hizo hela za Escrow zilikuwa ni za wahusika! Na siyo za umma!! Sasa makosa ya hao Maaskofu yako wapi hapo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom