Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
View attachment 3409155
Safi sana hii ni kweli na lazma kila mwanasiasa au mgombea ajue ilo ata kama alijatajwa kwenye Biblia.Sasa Askofu aendelee na kutengeneza mabango ya makatazo ya kiroho pia. AMINAAskofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
View attachment 3409155
Maaskofu wa majimbo Kagera nadhani wana shida wako kisiasa kuliko kidiniView attachment 3409206Wasije kusema fake, Askofu mwenyewe huyo hapo kwenye mimbari.
Wanahangaika tu!Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
View attachment 3409155
Kukemea dhambi sio siasa ni kidini, na wako sawa, kwa sababu hao wanasiasa ni waumini wao, na wanapelekaga sadaka so ni vema wakaambiwa rushwa ni adui wa hakiMaaskofu wa majimbo Kagera nadhani wana shida wako kisiasa kuliko kidini
Askofu Bagonza wa KKKT kagera kajaa siasa na huyu Wa Katooi
katoliki Niwemugizi kajaa siasa
Chawa/Vilaza wa Mom wataona hapa askofu katukana.Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
View attachment 3409155
Wawahubirie huko kwenye dini kwao si wamo humo na wanawajua kwa majinaKukemea dhambi sio siasa ni kidini, na wako sawa, kwa sababu hao wanasiasa ni waumini wao, na wanapelekaga sadaka so ni vema wakaambiwa rushwa ni adui wa haki