Askofu Niwemugizi atengeneza bango la kukemea rushwa

Askofu Niwemugizi atengeneza bango la kukemea rushwa

Wawahubirie huko kwenye dini kwao si wamo humo na wanawajua kwa majina
Wawaite wawaambie
kwani Askofu amesemea wapi? mbona hata hilo bango kaanza kuwaonyesha waumini wake, Lakini neno la Mungu linapaswa kuhubiriwa sehemu zote, ndio maana utakutana na wahubiri sehemu zote, ukienda yutyubu unakutana na spana.

Na mimi ninamuomba Baba askofu aprint mabango yawe mengi, tunaona mashat, tishet, baiskel vinagawaiwa bure kama sio rushwa ni nini? Takukuru wamekaa kimya ni kama wamezibwa mdogo hawana makali, sasa Baba Askofu kalivalia njuga hili swala kwamba Rushwa ni adui wa haki, hapo spana zinapigwa ibadani, zinapigwa na mtaani hiyo ni siasa?
 
Matumizi mabaya ya sadaka kama ziko hazina cha kufanya wawape yatima na wajana na maskini badala ya kutumia kuchapa mabango kama hayo
Yatima hata wewe ni jukumu lako kuwatunza, toa msaada na Mungu atakubariki
 
Matumizi mabaya ya sadaka za waumini
Hilo bango utakuta limetumia pesa kibao katumia kama njia ya kuiba sadaka

Hapo mimi sioni bango nahurumia sadaka za waumini zinavyotumika hovyo
Safari hii ni kuitiwa mwizi kila mahali, mpaka akili iwakae......subiri kanisa Katoliki lielekeze vizuri waumini wake nini cha kufanya.......
 
kwani Askofu amesemea wapi? mbona hata hilo bango kaanza kuwaonyesha waumini wake, Lakini neno la Mungu linapaswa kuhubiriwa sehemu zote, ndio maana utakutana na wahubiri sehemu zote, ukienda yutyubu unakutana na spana.

Na mimi ninamuomba Baba askofu aprint mabango yawe mengi, tunaona mashat, tishet, baiskel vinagawaiwa bure kama sio rushwa ni nini? Takukuru wamekaa kimya ni kama wamezibwa mdogo hawana makali, sasa Baba Askofu kalivalia njuga hili swala kwamba Rushwa ni adui wa haki, hapo spana zinapigwa ibadani, zinapigwa na mtaani hiyo ni siasa?
Askofu hana mke wala mtoto la inasikitisha sana

Hivi wazazi wake wanajisikiaje?
 
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
View attachment 3409155
amefanya kazi nzuri mno,

sasa atengeneze pia bango la kukemea makasisi mafirauri katika kanisa lake duniani na hiyo itaonyesha sio mnafiki 🐒
 
Maaskofu wa majimbo Kagera nadhani wana shida wako kisiasa kuliko kidini

Askofu Bagonza wa KKKT kagera kajaa siasa na huyu Wa Katooi
katoliki Niwemugizi kajaa siasa
kagera ilishuhudia matokeo ya siasa ngumu kwa nchi majirani yaliyotokea Rwanda na Burundi 1993 hadi sasa. wako sahihi. bado milima, mawe na miti itasema. siasa haiepukiki katika maisha ya binadamu hata uwe sekta gani.
 
Hahahaha kipindi cha awamu ILE haya matangazo hayakuwepo kabisa
 
Maaskofu wa majimbo Kagera nadhani wana shida wako kisiasa kuliko kidini

Askofu Bagonza wa KKKT kagera kajaa siasa na huyu Wa Katooi
katoliki Niwemugizi kajaa siasa
Ameongelea siasa kwa ubaya si kwa wema au
 
Back
Top Bottom