Askofu Mwamakula: Tunduma hali sio shwari

πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½

MaCCM humu jf, akili zao ni kama Magufuli, yamekoasa utu, tena hayajari hata huyo CCM mwenzao aliokufa.
Yanasema ni maigizo MAUJI ya watu.
Kupatwa kwa Tanganyika.
 
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!

Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na 'mienendo' au 'matendo' ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuhusiana na suala zima la kutenda haki katika mchakato wa Uteuzi wa Wagombea mkoani Songwe. Kwa upande mwingine ni mvutano kati ya CCM na CHADEMA wanaogombania umiliki wa Tunduma kisiasa!

Sisi kama viongozi wa dini tumeonya na tumeendelea kuonya sana juu ya mwenendo wa baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Majimbo na Kata nchini kote. Kwamba malalamiko na hisia kutoka kwa baadhi ya vyama vya siasa kuonewa visiposhughulikiwa huondoa utulivu katika jamii. Tunduma sasa hali inaelekea mahali pabaya.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduma, Mheshimiwa Frank Mwakajoka amenieleza kwa mtazamo wake hali ilivyo kule. Anasema Wagombea Udiwani watatu wa CHADEMA wameunganishwa katika Kesi ya Mauaji. Anaendelea kueleza kuwa: "Kuna Madiwani wengine wanaotakiwa kukamatwa wakiwemo Ally Mwafongo (Kata ya Makambini), Mosses Mshani (Kata ya Muungano), Frowini Mwalongo (Kata ya Maporomoko), Osiah Kibwana (Kata ya Kaloleni), Boniphas Mwakabanje (Kata ya Majengo) na M/kiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe, Mtunza Hazina wa Jimbo, ndugu Hamza Huseni na baadhi ya viongozi wa Kata na Matawi mbali mbali".

Hali siyo shwari kule Tunduma! Hao wote waliokamatwa na wanaotafutwa kukamatwa ni viongozi wa Kisiasa ambao nyuma yao kuna kundi kubwa la watu. Ni Wagombea wa Udiwani. Hekima kubwa inahitajika katika kutatua tatizo la Tunduma. Kuna uwezekano mkubwa kuwa nyuma ya vurugu hizi kuna hujuma za kisiasa, matendo na mienendo ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi.

Pengine swali la kujiuliza ni je, baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Mkoa wa Songwe watawajibika vipi kwa mienendo na matendo yao ambayo kwa sehemu yalipelekea vurugu zilizopelekea vifo na kutaka kusababisha Wagombea kukosa nafasi ya kuwakilisha sehemu kubwa ya watu? Hekima kubwa itumike ili kutokuwanyima haki ya kugombea Wagombea wanaowindwa kama ndege ili kukamatwa kuhusiana na vurugu za Tunduma.

Tunazidi kuonya na kutahadharisha kuhusu umuhimu wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutenda Haki ili kutunza amani ya nchi. Tunaweza kuepusha vurugu na vifo nchini kwa kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu.

Kuonya na kutahadhalisha ni wajibu waliopewa baadhi yetu na ole wetu tusipofanya (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki

Baba Askofu unakimbilia kwenye social media kutoa taarifa nzito kama hi
OCD wa Tunduma ni polisi wa kiwango cha chini sana , anatumika kijinga sana na nina hakika Tunduma itamuonyesha , aendelee na uchafu wake
Mtatembelea meno jaribu kuchafua hali ya usalama ndugu yenu anawadanganya eti mtaingia, barabarani.Thubutuuuuuuuuu
 
Kwa kulazimisha watu wake anaowapenda wapite kuwa wabunge ili kufanikisha ajenda yake ya kubadili katiba; JIWE atakuwa ndio chanzo cha maafa yatakayotokea Tunduma na Mbeya!!!! Hamuwezi kuwanyima watu haki yao ya kuwachagua wanaowapenda kwa kuwabambikia kesi wagombea wao na mkategemea kuwa kutakuwa na Amani, hiyo haiwezekani amani lazΔ±ma itatoweka hilo lazima mlijue!! Wawili wameishapoteza maisha huko Tunduma na huo ni mwanzo tu.
 
Huu uchaguzi utapita lakini kutakua na kesi za uchaguzi zitakazokwenda miaka 2-3 mbele
Wacha uongo, kesi zote za uchaguzi imeshasemwa zitatatuliwa within 4 months, Wacha umbeya.
 
Baba Askofu unakimbilia kwenye social media kutoa taarifa nzito kama hi

Mtatembelea meno jaribu kuchafua hali ya usalama ndugu yenu anawadanganya eti mtaingia, barabarani.Thubutuuuuuuuuu
endelea kujidanganya hivyo hivyo
 
Silinde anatumia mbinu za kishetani kupora jimbo la Tunduma
hatofanikiwa hata akichukua jeshi zima , na nakuhakikishia kwamba OCD wa Tunduma na RPC wa Songwe ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa watakaokamatwa baada ya uchaguzi huu
 
OCD wa Tunduma ni polisi wa kiwango cha chini sana , anatumika kijinga sana na nina hakika Tunduma itamuonyesha , aendelee na uchafu wake
OCDCCM wa Tunduma baada ya uchaguzi atafikishwa kwenye mahakama ya uhalifu ICC The Hague
 
hatofanikiwa hata akichukua jeshi zima , na nakuhakikishia kwamba OCD wa Tunduma na RPC wa Songwe ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa watakaokamatwa baada ya uchaguzi huu
ICC The Hague inawasubiria kwa hamu tayari wachunguzi wa kimataifa wakiwemo FBI na wengineo wanamchunguza Silinde na OCDCCM wa Tunduma
 
RPCCCM wa Songwe na OCDCCM wa Tunduma pamoja na Silinde na wapambe wake wajiandae vizuri ICC The Hague haipo mbali nao.
 
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!

Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na 'mienendo' au 'matendo' ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuhusiana na suala zima la kutenda haki katika mchakato wa Uteuzi wa Wagombea mkoani Songwe. Kwa upande mwingine ni mvutano kati ya CCM na CHADEMA wanaogombania umiliki wa Tunduma kisiasa!

Sisi kama viongozi wa dini tumeonya na tumeendelea kuonya sana juu ya mwenendo wa baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Majimbo na Kata nchini kote. Kwamba malalamiko na hisia kutoka kwa baadhi ya vyama vya siasa kuonewa visiposhughulikiwa huondoa utulivu katika jamii. Tunduma sasa hali inaelekea mahali pabaya.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduma, Mheshimiwa Frank Mwakajoka amenieleza kwa mtazamo wake hali ilivyo kule. Anasema Wagombea Udiwani watatu wa CHADEMA wameunganishwa katika Kesi ya Mauaji. Anaendelea kueleza kuwa: "Kuna Madiwani wengine wanaotakiwa kukamatwa wakiwemo Ally Mwafongo (Kata ya Makambini), Mosses Mshani (Kata ya Muungano), Frowini Mwalongo (Kata ya Maporomoko), Osiah Kibwana (Kata ya Kaloleni), Boniphas Mwakabanje (Kata ya Majengo) na M/kiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe, Mtunza Hazina wa Jimbo, ndugu Hamza Huseni na baadhi ya viongozi wa Kata na Matawi mbali mbali".

Hali siyo shwari kule Tunduma! Hao wote waliokamatwa na wanaotafutwa kukamatwa ni viongozi wa Kisiasa ambao nyuma yao kuna kundi kubwa la watu. Ni Wagombea wa Udiwani. Hekima kubwa inahitajika katika kutatua tatizo la Tunduma. Kuna uwezekano mkubwa kuwa nyuma ya vurugu hizi kuna hujuma za kisiasa, matendo na mienendo ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi.

Pengine swali la kujiuliza ni je, baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Mkoa wa Songwe watawajibika vipi kwa mienendo na matendo yao ambayo kwa sehemu yalipelekea vurugu zilizopelekea vifo na kutaka kusababisha Wagombea kukosa nafasi ya kuwakilisha sehemu kubwa ya watu? Hekima kubwa itumike ili kutokuwanyima haki ya kugombea Wagombea wanaowindwa kama ndege ili kukamatwa kuhusiana na vurugu za Tunduma.

Tunazidi kuonya na kutahadharisha kuhusu umuhimu wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutenda Haki ili kutunza amani ya nchi. Tunaweza kuepusha vurugu na vifo nchini kwa kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu.

Kuonya na kutahadhalisha ni wajibu waliopewa baadhi yetu na ole wetu tusipofanya (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Askofu?
 
Polis gani nchi hii wakuaminiwa tangu kesi ya akwilini hakuna polis anae aminiwa na mtanzania mm hao unao ita polisi kwangu na waona kama wale walinzi wa minara ya cm tuu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kama polisi wetu hamuwaaminii, kwa nini mumekubali wamlinde jamaa yenu kwenye mikutano yake ya siasa?
Mbona hamuwafukuziii?
 
CCM wameanza kulazimisha matokeo !! Wacha tuone kitakachotokea wakizidi..

Wasituvurugie amani...watanzania washawachoka
 
Uhuni wa. wazi kabisa huu, halafu CCM ndio wanajidai kuhubiri amani kila siku, amani gani wakati mnajua fika mnawafanyia watu mambo mabaya kila siku?

Tunduma damu itamwagika, na wa kwanza kupelekwa mahakamani ni hao wakurugenzi wanaotumika kisiasa.
Hakuna gharika mpaka atumwe muonyaji
Mussa alitumwa kwa farao
Farao alipata wasiwasi lakini wapambe wakamponza
Sasa hivi magufuli anataka kuzinduka aache udhalimu na ukatili lakini wapambe
Wanamshauri vibaya
Kama walivyo angamia viongozi katili kabla yake na pombe ataangamia vibaya
 
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!

Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na 'mienendo' au 'matendo' ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuhusiana na suala zima la kutenda haki katika mchakato wa Uteuzi wa Wagombea mkoani Songwe. Kwa upande mwingine ni mvutano kati ya CCM na CHADEMA wanaogombania umiliki wa Tunduma kisiasa!

Sisi kama viongozi wa dini tumeonya na tumeendelea kuonya sana juu ya mwenendo wa baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Majimbo na Kata nchini kote. Kwamba malalamiko na hisia kutoka kwa baadhi ya vyama vya siasa kuonewa visiposhughulikiwa huondoa utulivu katika jamii. Tunduma sasa hali inaelekea mahali pabaya.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduma, Mheshimiwa Frank Mwakajoka amenieleza kwa mtazamo wake hali ilivyo kule. Anasema Wagombea Udiwani watatu wa CHADEMA wameunganishwa katika Kesi ya Mauaji. Anaendelea kueleza kuwa: "Kuna Madiwani wengine wanaotakiwa kukamatwa wakiwemo Ally Mwafongo (Kata ya Makambini), Mosses Mshani (Kata ya Muungano), Frowini Mwalongo (Kata ya Maporomoko), Osiah Kibwana (Kata ya Kaloleni), Boniphas Mwakabanje (Kata ya Majengo) na M/kiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe, Mtunza Hazina wa Jimbo, ndugu Hamza Huseni na baadhi ya viongozi wa Kata na Matawi mbali mbali".

Hali siyo shwari kule Tunduma! Hao wote waliokamatwa na wanaotafutwa kukamatwa ni viongozi wa Kisiasa ambao nyuma yao kuna kundi kubwa la watu. Ni Wagombea wa Udiwani. Hekima kubwa inahitajika katika kutatua tatizo la Tunduma. Kuna uwezekano mkubwa kuwa nyuma ya vurugu hizi kuna hujuma za kisiasa, matendo na mienendo ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi.

Pengine swali la kujiuliza ni je, baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Mkoa wa Songwe watawajibika vipi kwa mienendo na matendo yao ambayo kwa sehemu yalipelekea vurugu zilizopelekea vifo na kutaka kusababisha Wagombea kukosa nafasi ya kuwakilisha sehemu kubwa ya watu? Hekima kubwa itumike ili kutokuwanyima haki ya kugombea Wagombea wanaowindwa kama ndege ili kukamatwa kuhusiana na vurugu za Tunduma.

Tunazidi kuonya na kutahadharisha kuhusu umuhimu wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutenda Haki ili kutunza amani ya nchi. Tunaweza kuepusha vurugu na vifo nchini kwa kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu.

Kuonya na kutahadhalisha ni wajibu waliopewa baadhi yetu na ole wetu tusipofanya (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
IMG_20201002_015108.jpg
ushauri wa Bure kwa serikali ya kutumia nguvu za dola
 
Nasikia wananchi wa Tunduma wana political awareness kubwa kutokana na kule kuwa Mpakani wamekuwa wakiona wenzao wa nchi jirani jinsi wanavyoenenda zidi ua serikali zao ktk kudai haki na uwajibikaji kwa ujumla kwa pande zote yaani serikali, wananchi na vyama vya kisiasa !

Kwa hiyo nasikia wananchi wa Tunduma namna yao ya kudeal nao inapswa kuwa tofauti sana !

Wanauelewa mkubwa juu ya mambo ya siasa na haki zao kwa ujumla ambapo wamekuwa wakiona wenzao wa nchi jirani jinsi wanavyofanya .

Alisikika mtu fulani akielezea hali halisi!
 
Back
Top Bottom