Askofu Mwamakula: Tunduma hali sio shwari

Kila kiki mnayoigiza inabumaaa, mnawakati mgumu.
Kwa akili yako mzee wa miaka 80 hawezi washa moto?
Miaka 55 mbona bado kijana huyoo??
Mumeumbukaa
Mnatengeneza kiki halafu mnawahiii mitandaoni kujipostisha ili ionekane niwengineee.

Nasubiri uchaguzi uishe jamaa yenu, apate jumla kura 200, halafu takuorodheshea matukio na kiki mlizotengenezaa zika buma na ushaidi wakeee

Huna jipya dogo zaidi ya kuongea utoto we zoba.
 
OCD wa Tunduma ni polisi wa kiwango cha chini sana , anatumika kijinga sana na nina hakika Tunduma itamuonyesha , aendelee na uchafu wake
 
Gwajima sababu yupo upande A basi anachanganya siasa na dini

Shehe ponda na huyu mwamakua, bagonza ni wapigania democracy! Hahaha nyumbu ni nyumbu tu
nyumbu wengine waliahidiwa milioni 50 kila kijiji😂😂😂😂😂
 
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!

Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na 'mienendo' au 'matendo' ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuhusiana na suala zima la kutenda haki katika mchakato wa Uteuzi wa Wagombea mkoani Songwe. Kwa upande mwingine ni mvutano kati ya CCM na CHADEMA wanaogombania umiliki wa Tunduma kisiasa!

Sisi kama viongozi wa dini tumeonya na tumeendelea kuonya sana juu ya mwenendo wa baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Majimbo na Kata nchini kote. Kwamba malalamiko na hisia kutoka kwa baadhi ya vyama vya siasa kuonewa visiposhughulikiwa huondoa utulivu katika jamii. Tunduma sasa hali inaelekea mahali pabaya.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduma, Mheshimiwa Frank Mwakajoka amenieleza kwa mtazamo wake hali ilivyo kule. Anasema Wagombea Udiwani watatu wa CHADEMA wameunganishwa katika Kesi ya Mauaji. Anaendelea kueleza kuwa: "Kuna Madiwani wengine wanaotakiwa kukamatwa wakiwemo Ally Mwafongo (Kata ya Makambini), Mosses Mshani (Kata ya Muungano), Frowini Mwalongo (Kata ya Maporomoko), Osiah Kibwana (Kata ya Kaloleni), Boniphas Mwakabanje (Kata ya Majengo) na M/kiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe, Mtunza Hazina wa Jimbo, ndugu Hamza Huseni na baadhi ya viongozi wa Kata na Matawi mbali mbali".

Hali siyo shwari kule Tunduma! Hao wote waliokamatwa na wanaotafutwa kukamatwa ni viongozi wa Kisiasa ambao nyuma yao kuna kundi kubwa la watu. Ni Wagombea wa Udiwani. Hekima kubwa inahitajika katika kutatua tatizo la Tunduma. Kuna uwezekano mkubwa kuwa nyuma ya vurugu hizi kuna hujuma za kisiasa, matendo na mienendo ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi.

Pengine swali la kujiuliza ni je, baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Mkoa wa Songwe watawajibika vipi kwa mienendo na matendo yao ambayo kwa sehemu yalipelekea vurugu zilizopelekea vifo na kutaka kusababisha Wagombea kukosa nafasi ya kuwakilisha sehemu kubwa ya watu? Hekima kubwa itumike ili kutokuwanyima haki ya kugombea Wagombea wanaowindwa kama ndege ili kukamatwa kuhusiana na vurugu za Tunduma.

Tunazidi kuonya na kutahadharisha kuhusu umuhimu wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutenda Haki ili kutunza amani ya nchi. Tunaweza kuepusha vurugu na vifo nchini kwa kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu.

Kuonya na kutahadhalisha ni wajibu waliopewa baadhi yetu na ole wetu tusipofanya (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Hao viongozi wa Chadema unaowasema wanagombea viti vya udiwani kama ni watuhumiwa wa hayo mauaji ni lazima wakamatwe na vyombo vya dola na wafikishwe Mahakamani huko ndo tafsiri ya sheria hufanywa, haiwezekani kila mtu afanye anavyojisikia katika uvunjifu wa sheria za nchi eti busara itumike kisa tu yuko Chadema. wewe askofu na u-Chadema wako endelea kuwa upande wa wahalifu maana tumekuzoea hunaga jipya na huyo Mwana Kondoo wako feki aliyeshinda kwa kuhubiri uovu
 
Wewe ni juha na PUMBA unazoandika humu ni ushahidi tosha.

Hao viongozi wa Chadema unaowasema wanagombea viti vya udiwani kama ni watuhumiwa wa hayo mauaji ni lazima wakamatwe na vyombo vya dola na wafikishwe Mahakamani huko ndo tafsiri ya sheria hufanywa, haiwezekani kila mtu afanye anavyojisikia katika uvunjifu wa sheria za nchi eti busara itumike kisa tu yuko Chadema. wewe askofu na u-Chadema wako endelea kuwa upande wa wahalifu maana tumekuzoea hunaga jipya na huyo Mwana Kondoo wako feki aliyeshinda kwa kuhubiri uovu
 
Amen🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Jema lipi huku mnaua watu na kubambikia makesi?? Mmelaaniwa ninyi, na mwatumbi yaliyowazaa na watoto wemu walaaniwe milrle.
 
Mkuu hatuombei wenye roho mbaya na chuki za kutisha wanaotaka kuwapiga Mama zetu na Shangazi zetu pia kuwadhalilisha.

MNIOMBEEEEEEEEEEEE
 
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!

Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na 'mienendo' au 'matendo' ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuhusiana na suala zima la kutenda haki katika mchakato wa Uteuzi wa Wagombea mkoani Songwe. Kwa upande mwingine ni mvutano kati ya CCM na CHADEMA wanaogombania umiliki wa Tunduma kisiasa!

Sisi kama viongozi wa dini tumeonya na tumeendelea kuonya sana juu ya mwenendo wa baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Majimbo na Kata nchini kote. Kwamba malalamiko na hisia kutoka kwa baadhi ya vyama vya siasa kuonewa visiposhughulikiwa huondoa utulivu katika jamii. Tunduma sasa hali inaelekea mahali pabaya.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduma, Mheshimiwa Frank Mwakajoka amenieleza kwa mtazamo wake hali ilivyo kule. Anasema Wagombea Udiwani watatu wa CHADEMA wameunganishwa katika Kesi ya Mauaji. Anaendelea kueleza kuwa: "Kuna Madiwani wengine wanaotakiwa kukamatwa wakiwemo Ally Mwafongo (Kata ya Makambini), Mosses Mshani (Kata ya Muungano), Frowini Mwalongo (Kata ya Maporomoko), Osiah Kibwana (Kata ya Kaloleni), Boniphas Mwakabanje (Kata ya Majengo) na M/kiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe, Mtunza Hazina wa Jimbo, ndugu Hamza Huseni na baadhi ya viongozi wa Kata na Matawi mbali mbali".

Hali siyo shwari kule Tunduma! Hao wote waliokamatwa na wanaotafutwa kukamatwa ni viongozi wa Kisiasa ambao nyuma yao kuna kundi kubwa la watu. Ni Wagombea wa Udiwani. Hekima kubwa inahitajika katika kutatua tatizo la Tunduma. Kuna uwezekano mkubwa kuwa nyuma ya vurugu hizi kuna hujuma za kisiasa, matendo na mienendo ya baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi.

Pengine swali la kujiuliza ni je, baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Mkoa wa Songwe watawajibika vipi kwa mienendo na matendo yao ambayo kwa sehemu yalipelekea vurugu zilizopelekea vifo na kutaka kusababisha Wagombea kukosa nafasi ya kuwakilisha sehemu kubwa ya watu? Hekima kubwa itumike ili kutokuwanyima haki ya kugombea Wagombea wanaowindwa kama ndege ili kukamatwa kuhusiana na vurugu za Tunduma.

Tunazidi kuonya na kutahadharisha kuhusu umuhimu wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutenda Haki ili kutunza amani ya nchi. Tunaweza kuepusha vurugu na vifo nchini kwa kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu.

Kuonya na kutahadhalisha ni wajibu waliopewa baadhi yetu na ole wetu tusipofanya (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Hivi huo mzee ana kadi mamba ngapi ya chadema?
Maana nilimskia kwenye kampeni za chadema kawe utafikili ni mgombea badala ya mtoa sara na yule mwisilamu shehe sijui katimba
 
Utapigania na wewe kwenye maandamano au huku jf.kama ni jf basi wewe sio mwanaharakati
Hapana tukipigania haki iwe mahakamani au barabarani italeta mabadiliko. Hata kama si 100% lakini mambo hayatakua Kama yalivyo sasa.
 
Mbuzi wewe tena hilo jina lako ulikosea ulitakiwa kuitwa ziro.uwazacho wewe sio awazacho mwingine.tuachie Uhuru wetu.kama mnaona tunawanyoosha sawa ila cc hatumnyooshi MTU.pambana na hali yako kama unaona hali ngumu
MaCCM humu jf, akili zao ni kama Magufuli, yamekoasa utu, tena hayajari hata huyo CCM mwenzao aliokufa.
Yanasema ni maigizo MAUJI ya watu.
Kupatwa kwa Tanganyika.
 
Kitu ambacho watu wanakosea Ni kuuana wao kwa wao kwa kosa lililofanya kwa makusudi na mismamizi wa uchaguzi. Anayetakiwa kuuawa hapo Ni msimamizi wa uchaguzi ili iwe fundisho kwa Wasimamizi wengine.
 
Back
Top Bottom