Jema lipi huku mnaua watu na kubambikia makesi?? Mmelaaniwa ninyi, na mwatumbi yaliyowazaa na watoto wemu walaaniwe milrle.Huyu ndugu yeye anaona matatizo tu.
Hakuna jema kwenye nafsi yake hata kidogo??
Sidhani kama alikua mtu sahihi kufanya kazi ya Mungu.
Ccm inaogopa vitu vifuatavyo, Haki,tume huru,katiba mpya ,upinzani na ukweli.Askofu kachoka kusalisha sasa anataka siasa. Angechukua fomu kama Gwajima. Acha wenzako wasalishe
Wanaenda kumwaga damu Songwe na dunia itaenda kuwa adhabu kubwa sana mwaka huu au mwanzoni mwaka kesho. Time will tell!Nili kuwepo Songwe wiki moja iliyo pita wilayani Songwe mji wa Mkwajuni. Kwa masikio yangu nilimsikia katibu wa UVCCM wilaya akisema kwenye sanduku la kura Ccm haita weza kushinda hata kata moja Tunduma.
Mkakati ulio wekwa na Ccm ikishirikiana na dola ni kuwaengua wagombea nane wa udiwani. Na ndio hicho kina tokea sasa..
Siwezi kukushangaa kwani hata Mh Lissu mlisema kajipiga risasi ili kupata huruma ya Wananchi. Akwilina Akwiline unafahamu fika ni nani waliomuua kuwa ni Polisi lkn cha ajabu kesi wakapewa wengine bila hata chembe ya aibu.Hiiii kiki tena mtafeli vibayaaa na mtaumbuka
Kama ile ya arusha mliochoma ofisi yenu sasa polisi wamewakamataaaa.
Wewe wasemaaSiwezi kukushangaa kwani hata Mh Lissu mlisema kajipiga risasi ili kupata huruma ya Wananchi. Akwilina Akwiline unafahamu fika ni nani waliomuua kuwa ni Polisi lkn cha ajabu kesi wakapewa wengine bila hata chembe ya aibu.
Hiyo laana ikurejee wewe na ukoo wako Mara Saba .Jema lipi huku mnaua watu na kubambikia makesi?? Mmelaaniwa ninyi, na mwatumbi yaliyowazaa na watoto wemu walaaniwe milrle.
Hiiii kiki tena mtafeli vibayaaa na mtaumbuka
Kama ile ya arusha mliochoma ofisi yenu sasa polisi wamewakamataaaa.
Kwani mkiwapa zile sadaka mnazotoza kwenye zile ndooo nyeupe za Lita 20, sizinatosha kuwasafirisha?! Na si ndio matumizi yake kwenu??Ww ndio bonge la zoba, ofisi ichomwe na watu wenye miaka zaidi ya 55, halafu wote sio wakazi wa Arusha na wala picha tusionyeshwe? Yaani mtu ni mzee asafiri toka Dar kwenda Arusha kuchoma ofisi za cdm? Bado polisi wanatumia mbinu za kizee hivyo karne hii!
Kwani mkiwapa zile sadaka mnazotoza kwenye zile ndooo nyeupe za Lita 20, sizinatosha kuwasafirisha?! Na si ndio matumizi yake kwenu??
Au sadaka zetu mnazotoza mnazifanyia nini jamanii?
Kumbukeni tutawaomba mrejesho wa mapato na matumizi ya hizo sadaka.
Mzile vibaya mkijua.
Kila kiki mnayoigiza inabumaaa, mnawakati mgumu.Narudia tena, polisi wetu bado wana uongo wa kizee ile mbaya, wazee wenye miaka 55 ndio wakachome ofisi? Hayo mambo huwa yanafanywa na vijana na sio wazee. Liambie jeshi la polisi liache kutumika kizembe.