Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Wengi wanasumbuka na Tundu Lisu ambaye alikuwa anatoa kebehi na kujifanya yeye ni zaidi ya Mtanzania yoyote yule kwa kuaminishwa kwamba angekuwa rais wa Tanzania. Hakuna msaliti yeyote yule anayeweza kubaki salama kwenye nchi yoyote ile duniani. Matusi ya kuwatukana viongozi nk bila ushahidi wowote ule.

Nampongeza sana JPM kwa kumdharau. Kura zake hazikutosha, huwezi kuwadharau Wapiga kura ati hawawezi kupanda ndege au kuwa na magari ya kuweza kutumia fly overs wakati yeye mwenyewe alipokuwa Mbunge alikuwa na gari ambalo lilinunuliwa na wapiga kura wale wale anaowatukana. Atavuna alichopanda.

Sisi wengine ndege ndio usafiri wetu wa kawaida kama alikuwa halijui hilo alifahamu. Yeye aendelee kuwa shoga tu, maana ni mtaji wake.
Acha ujinga, kwa uandishi huu shoga utakuwa wewe ID yako inaonyesha hata huko umeachia tu, wa
 
Dah... from Belgium to Germany....kwa kifupi TL anawashauri wapumbavu..full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Mbona ni mpumbavu zaidi huoni ulichokiandika? Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kwa kuwa inawategemea wapumbavu kama ninyi
 
Wengi wanasumbuka na Tundu Lisu ambaye alikuwa anatoa kebehi na kujifanya yeye ni zaidi ya Mtanzania yoyote yule kwa kuaminishwa kwamba angekuwa rais wa Tanzania. Hakuna msaliti yeyote yule anayeweza kubaki salama kwenye nchi yoyote ile duniani. Matusi ya kuwatukana viongozi nk bila ushahidi wowote ule.

Nampongeza sana JPM kwa kumdharau. Kura zake hazikutosha, huwezi kuwadharau Wapiga kura ati hawawezi kupanda ndege au kuwa na magari ya kuweza kutumia fly overs wakati yeye mwenyewe alipokuwa Mbunge alikuwa na gari ambalo lilinunuliwa na wapiga kura wale wale anaowatukana. Atavuna alichopanda.

Sisi wengine ndege ndio usafiri wetu wa kawaida kama alikuwa halijui hilo alifahamu. Yeye aendelee kuwa shoga tu, maana ni mtaji wake.
Kura zipi zilitosha CCM? Mtanzania yupi mwenye Akili timamu aliichagua CCM? Wewe ni shoga ndiyo maana makonda alipopiga kelele juu ya ushoga ukakimbilia Bungeni kupinga ukiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, avune kipi kapanda? Kuikosoa Serikali yako juu ya wizi ufisadi uonevu uovu manyanyaso ni kuvuna alichopanda? Acha ufala wako, Ndege ndiyo usafiri wako tokea lini au unazungumzia unga wa kichawi? Flyover ni Hisani za CCM? au ni pesa za mtukufu tokea mfukoni mwake? au ni pesa za walipa kodi? Hakuna msaliti hubaki salama? Mbona wasaliti wa wizi wa trilion 1.5 wapo? Wasaliti wa ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge mbona wapo?
 
Hii inaenda kuwa U-turn kwenye siasa za Tanzania na hatma yake.

Nauona mwanzo mbaya wa hii serikali, Jana na Leo Aljazeera wameanza kurusha video za Zanzibar wanajeshi wakipiga watu, na kusema Magufuli kaapishwa kwa ushindi uliotawaliwa na wizi wa kura huku wakionesha kura zilizokamatwa na waliwahoji wasimamizi wa kimataifa ambao bila kumun'gunya maneno wamesema ulitawaliwa na udanganyifu.
Dunia yote inafahamu
 
Kura zipi zilitosha CCM? Mtanzania yupi mwenye Akili timamu aliichagua CCM? Wewe ni shoga ndiyo maana makonda alipopiga kelele juu ya ushoga ukakimbilia Bungeni kupinga ukiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, avune kipi kapanda? Kuikosoa Serikali yako juu ya wizi ufisadi uonevu uovu manyanyaso ni kuvuna alichopanda? Acha ufala wako, Ndege ndiyo usafiri wako tokea lini au unazungumzia unga wa kichawi? Flyover ni Hisani za CCM? au ni pesa za mtukufu tokea mfukoni mwake? au ni pesa za walipa kodi? Hakuna msaliti hubaki salama? Mbona wasaliti wa wizi wa trilion 1.5 wapo? Wasaliti wa ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge mbona wapo?
akikujibu nistue
 
Hata ibilisi hakosi wafuasi , ukisoma komenti hapa utajua tu kuwa Kuna watu ndani ya huu uzi ni vibaraka wa mhutu na ndio wahusika wa njama za mauaji dhidi ya Lissu . Wauaji wapo kwenye huuhuu uzi hapa , mamaD , Crimea , Ndahani , magonjwa mtambuka , mfianchi , Agitator ,Babu kijana ,Senzighe, Holly star , Wacha 1 , fuatilia komenti utawajua tu wapo wengi sana .
 
AMEANDIKA:

BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA.

USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM!

Jana tarehe 5 Novemba 2020 nilizungumza na aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye anaishi Uhamishoni katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam. Tulikubaliana kuwa mimi kama Askofu na Mshauri wake katika Masuala ya Kiroho, niwajulishe Umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwa ujumla kuhusu hali ya Usalama ya Mheshimiwa Lissu.

Kupitia mazungumzo yale, Mheshimiwa Lissu alieleza kuwa mara baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, alianza kutishiwa maisha yake. Baada ya vitisho kuzidi kuongezeka, Mheshimiwa Lissu alipokea pia taarifa kutoka kwa 'wasamalia wema' waliomtahadharisha kuwa kulikuwa na 'maelekezo maalum' ya kutaka 'vijana wamalizane kabisa na Lissu' safari hii!

Baada ya kutafakari kwa kina taarifa za vitisho hivyo pamoja na taarifa kutoka kwa 'wasamalia wema', Mheshimiwa Lissu aliamua kwenda kutafuta hifadhi ya muda sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hatua ambayo ilionekana kama ni kuhatarisha usalama wa maisha ya watu wengine. Ndipo alipoamua kutafuta hifadhi katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam siku chache. Siku alipokwenda Ubalozini, alipowasili na akiwa nje ya Ubalozi akisubiri taratibu za Ubalozi pale Umoja House, Polisi waliokuwa katika magari mawili walifika pale Ubalozini na kumkamata na kwenda naye Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) jijini Dar es Salaam. Ndipo Maafisa wa Ubalozi waliamua kumfuatilia Mheshimiwa Lissu kwa nyuma na kusubiria pale Central, jambo ambalo liliwafanya Polisi waamue kumuachia kwa kuogopa kelele zaidi kutoka Jumuiya ya Kimataifa.

Mheshimiwa Lissu alinieleza kuwa Maafisa wa Ubalozi wameendelea kuwasiliana na Serikali ya Tanzania kupitia Mheshimiwa Palamagamba Kabudi kuhusu hifadhi yake, lakini Serikali hadi kufikia jana tarehe 5 Novemba 2020, Serikali ya Tanzania ilikuwa inasita kutoa kibali kwa Ubalozi unaoshughulikia masuala ya Lissu kwa kisingizio kuwa Lissu aombe ruhusa ya Kimahakama kwa kuwa anazo kesi Mahakamani. Hoja ya Serikali ilionekana kutokuzingatia au kutokujali tishio dhidi ya uhai wa Mheshimiwa Lissu.

Katika mazingira yaliyopo, tunaiomba na kuishauri Serikali itoe kauli kuhusu kumhakikishia usalama Mheshimiwa Lissu. Kukaa kimya kwa Serikali pasipo kutoa hakikisho lo lote la usalama kwa Mheshimiwa Lissu kutapelekea watu kufikiri na kuamini kuwa Serikali inahusika au iko nyuma ya vitisho dhidi ya maisha ya Lissu.

Ikumbukwe kuwa miaka mitatu iliyopita, Mheshimiwa Lissu aliwahi kulalamika mara kadhaa kuwa kuna watu walikuwa wakimfuatilia na kuwa maisha yake yalikuwa hatarini na haikupita muda mrefu akashambuliwa na risasi mchana jijini Dodoma na hadi sasa hakuna taarifa za kukamatwa kwa mtu ye yote kutokana na tukio lile.

Baada ya kutafakari kwa kina kuhusu hali halisi ya usalama wa Mheshimiwa Lissu katika mazingira ya sasa na baada ya kushauriana na wadau mbalimbali, imeonekana ni vema na ni hekima na usalama kwa Mheshimiwa Lissu kuendelea kuishi Uhamishoni katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam hadi pale itakapoamriwa tena hapo baadaye. Kwa sasa Mheshimiwa Lissu pamoja na baadhi ya Wasaidizi wake wapo katika Ubalozi wa Ujerumani ambapo wanaendelea kupata hifadhi.

Ninaandika haya kama Askofu Mshauri wa Mheshimiwa Lissu ili Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa wapate ufahamu kuhusu yanayoendelewa kwa Mheshimiwa Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunatoa wito kwa wote walio nyuma ya mpango wa kutishia usalama wa maisha ya Mheshimiwa Lissu kwa kuelekeza, kufadhili, kutuma au kutekeleza mpango huo kuacha mara moja kwa kuwa mkono wa Mungu na ulinzi wake upo pamoja na watu wasiokuwa na hatia (Zaburi 35 na Zaburi 121). Tunasisitiza kuwa mpango wa kutaka kumdhuru Lissu ni uovu hivyo waache mara moja (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani.
Huyo ni baba askofu wa kanisa gani? huyo Mwamakula ni mwana Chadema damu damu na hata kanisa lake halina usajiri,kwanza alikuwa mchungaji tu wa kanisa la Moraviani baadae alifukuzwa ndio akaanzisha hiyo SACCOSDINI na kujishonea mkofia mkubwa kwa fundi cherehani pale Manzese,huyu ni mjanja wa mjini tu, atueleze kanisa lake lilipo na atupigie picha hapo ndio utajua huyu jamaa ni mjanja tu,aheri hata ya Mzee wa upako kuliko huyu Mnyakyusa wa Itunge
 
Arudi tu huko apewe asylum status aishi,atapewa flat ya kawaida tu na benefit za kumtosha na familia badae watamwambia jiongeze.tuliwai kukutana na waziri mkuu wa Lebanon enzi zake tukipiga box kawaida tu na story kibao akitupa itakua Lissu.huko Belgium ni kwa wale wasiojua tu ni kanchi masikini Europe wamejaa wanasiasa nguli toka DRC,Rwanda na vi nchi kibao vya Africa magharibi na ni wasomi wanagonga kifaransa kama kimakua itakua yeye,ana kazi nzito kwanza kujifunza lugha hiyo kabla kuanza ku-practise uwakili kule.
Yaani huyu ni utopolo kweli kweli,wako huku wanasiasa manguli hasa wapinzani toka Kenya,Uganda na mataifa kibao wanazurura tu hadithi zao ni hizo hizo kuonewa na watawala.lakini angalia maisha wanayoishi.
Hata akipata asylum baado ndio kwaanza km kaanza vidudu ana safari ndefu sana huko.

Typical utopolo tokea kwa jiwe au vibaraka wake. Sina za kina manoti, waganga njaa, wasaka teuzi au mijitu isiyojulikana.
 
wanatumwa yes but tuliambiwa hapa kwamba balozi alimfuata kituoni ye nani sasa?
Ye nani sasa? Ye ni baba yako mkataa ubambikiajia kesi kishamba kienyeji kwa njia haramu
 
sielewi Belgium hawana ubalozi bongo,kwanini hakukimbilia huko?walishamtosa
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Kwa taarifa zako Belgium ni makao makuu ya umoja wa Ulaya na hao ndiyo waligharamia matibabu yake baada ya wewe na Ndungai kugoma kumlipia gharama za matibabu
 
wanatumwa yes but tuliambiwa hapa kwamba balozi alimfuata kituoni ye nani sasa?
Ye nani sasa? Ye ni baba yako mkataa ubambikiajia kesi kishamba kienyeji kwa njia haramu
we unajiita minyoo,MINYOO uko direct ignore list yangu,endelea kubwabwaja boga ww
 
AMEANDIKA:

BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA.

USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM!

Jana tarehe 5 Novemba 2020 nilizungumza na aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye anaishi Uhamishoni katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam. Tulikubaliana kuwa mimi kama Askofu na Mshauri wake katika Masuala ya Kiroho, niwajulishe Umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwa ujumla kuhusu hali ya Usalama ya Mheshimiwa Lissu.

Kupitia mazungumzo yale, Mheshimiwa Lissu alieleza kuwa mara baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, alianza kutishiwa maisha yake. Baada ya vitisho kuzidi kuongezeka, Mheshimiwa Lissu alipokea pia taarifa kutoka kwa 'wasamalia wema' waliomtahadharisha kuwa kulikuwa na 'maelekezo maalum' ya kutaka 'vijana wamalizane kabisa na Lissu' safari hii!

Baada ya kutafakari kwa kina taarifa za vitisho hivyo pamoja na taarifa kutoka kwa 'wasamalia wema', Mheshimiwa Lissu aliamua kwenda kutafuta hifadhi ya muda sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hatua ambayo ilionekana kama ni kuhatarisha usalama wa maisha ya watu wengine. Ndipo alipoamua kutafuta hifadhi katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam siku chache. Siku alipokwenda Ubalozini, alipowasili na akiwa nje ya Ubalozi akisubiri taratibu za Ubalozi pale Umoja House, Polisi waliokuwa katika magari mawili walifika pale Ubalozini na kumkamata na kwenda naye Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) jijini Dar es Salaam. Ndipo Maafisa wa Ubalozi waliamua kumfuatilia Mheshimiwa Lissu kwa nyuma na kusubiria pale Central, jambo ambalo liliwafanya Polisi waamue kumuachia kwa kuogopa kelele zaidi kutoka Jumuiya ya Kimataifa.

Mheshimiwa Lissu alinieleza kuwa Maafisa wa Ubalozi wameendelea kuwasiliana na Serikali ya Tanzania kupitia Mheshimiwa Palamagamba Kabudi kuhusu hifadhi yake, lakini Serikali hadi kufikia jana tarehe 5 Novemba 2020, Serikali ya Tanzania ilikuwa inasita kutoa kibali kwa Ubalozi unaoshughulikia masuala ya Lissu kwa kisingizio kuwa Lissu aombe ruhusa ya Kimahakama kwa kuwa anazo kesi Mahakamani. Hoja ya Serikali ilionekana kutokuzingatia au kutokujali tishio dhidi ya uhai wa Mheshimiwa Lissu.

Katika mazingira yaliyopo, tunaiomba na kuishauri Serikali itoe kauli kuhusu kumhakikishia usalama Mheshimiwa Lissu. Kukaa kimya kwa Serikali pasipo kutoa hakikisho lo lote la usalama kwa Mheshimiwa Lissu kutapelekea watu kufikiri na kuamini kuwa Serikali inahusika au iko nyuma ya vitisho dhidi ya maisha ya Lissu.

Ikumbukwe kuwa miaka mitatu iliyopita, Mheshimiwa Lissu aliwahi kulalamika mara kadhaa kuwa kuna watu walikuwa wakimfuatilia na kuwa maisha yake yalikuwa hatarini na haikupita muda mrefu akashambuliwa na risasi mchana jijini Dodoma na hadi sasa hakuna taarifa za kukamatwa kwa mtu ye yote kutokana na tukio lile.

Baada ya kutafakari kwa kina kuhusu hali halisi ya usalama wa Mheshimiwa Lissu katika mazingira ya sasa na baada ya kushauriana na wadau mbalimbali, imeonekana ni vema na ni hekima na usalama kwa Mheshimiwa Lissu kuendelea kuishi Uhamishoni katika Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam hadi pale itakapoamriwa tena hapo baadaye. Kwa sasa Mheshimiwa Lissu pamoja na baadhi ya Wasaidizi wake wapo katika Ubalozi wa Ujerumani ambapo wanaendelea kupata hifadhi.

Ninaandika haya kama Askofu Mshauri wa Mheshimiwa Lissu ili Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa wapate ufahamu kuhusu yanayoendelewa kwa Mheshimiwa Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunatoa wito kwa wote walio nyuma ya mpango wa kutishia usalama wa maisha ya Mheshimiwa Lissu kwa kuelekeza, kufadhili, kutuma au kutekeleza mpango huo kuacha mara moja kwa kuwa mkono wa Mungu na ulinzi wake upo pamoja na watu wasiokuwa na hatia (Zaburi 35 na Zaburi 121). Tunasisitiza kuwa mpango wa kutaka kumdhuru Lissu ni uovu hivyo waache mara moja (Ezekieli 33:1-20).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani.
Si Mbelgiji yule arudi kwao ubelgiji

Sisi tushamwapisha mzalendo wetu yeye bado anahangaika haingaika nini
 
we unajiita minyoo,MINYOO uko direct ignore list yangu,endelea kubwabwaja boga ww
Wewe mbweha wamekuokota shimo la wapi? Mbona inaonekana ni bonge la fala eti na wewe kichwani una Ubongo kweli? Umejaza kamasi debe mbili na moshi wa Bangi utaweza kuongea nasi? Kwa taarifa yako Kipimo cha ufala uzezeta ushamba JF ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna anayehangaika nayo watu wapo busy na mada, kama huna Hoja rudi gheto kwa cyprian Musiba kaendelee kuvuta Bangi.
 
Si Mbelgiji yule arudi kwao ubelgiji

Sisi tushamwapisha mzalendo wetu yeye bado anahangaika haingaika nini
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Uzalendo ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?
 
Back
Top Bottom