Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,306
- 12,970
Magufuli, Majaliwa, Janet Magufuli. Mwita Waitara. Lukuvi, nk ni waalimu kitaaluma wameacha chaki wamekimbilia kwenye siasa. Je wamechanganyikiwa?Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana, injinia afanye Kazi za uinjinia Sana, askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu