Askofu Muuza Unga Alivyodakwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Muuza Unga Alivyodakwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gavana, Aug 23, 2011.

 1. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp][FONT=&amp][​IMG]
  [/FONT]
  [/FONT][FONT=&amp]

  Na Makongoro Oging'[/FONT]
  [FONT=&amp]
  [/FONT]
  [FONT=&amp]

  MAMBO yameiva, Jumamosi iliyopita serikali ilitimiza ahadi ya kuwaonesha wabunge mkanda wa video wa mtandao haramu wa biashara ya madawa ya kulevya, ulio chini ya viongozi wa dini nchini.

  Kufuatia mkanda huo, Uwazi lina habari kamili jinsi kikosi kazi cha kupambana na madawa ya kulevya chini ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kilivyomnasa Askofu Mkuu wa Kanisa la Lord Choose Charismatic Revived Church, Chidi Okechu.

  Okechu ambaye kanisa lake lipo Biafra, Kinondoni, Dar es Salaam ndiye anatajwa kuwa mkuu wa mtandao wa viongozi wa dini wauza madawa ya kulevya nchini.

  ASKOFU NDEGE TUNDUNI

  Kwa mujibu wa Uchunguzi wa Uwazi, Machi 4, 2011 usiku wa manane, Kamanda Nzowa aliongoza kikosi chake na kuvamia nyumba aliyopanga askofu huyo, Kunduchi, Dar na kumkuta akiwa na kg 81 za heroine.

  Askofu huyo alikamatwa akiwa na wapambe wake, Hycenth Stan, raia wa Afrika Kusini, Shoaib Mohamed, Pakistan na Paul Ikechuwi Obi wa Nigeria, wote walikutwa kwenye nyumba hiyo yenye namba 593.

  KUNDUCHI NI PEPO YA WAUZA UNGA?
  Uwazi limebaini kuwa mbali na askofu huyo na wapambe wake, msako mwingine wa Februari Pili, 2011, uliwezesha kunasa watuhumiwa wengine wa biashara ya madawa ya kulevya waliokutwa na kg 179, Kunduchi.

  Waliokamatwa ni Fred William Chonde, mkazi wa Mbezi Beach, Dar pamoja na raia wa Pakistan, Shahbaz Malik na Abdul Ghani ambao mbali na kukutwa na unga, pia walikutwa na shilingi milioni 15 kwenye gunia.

  WATOA SIRI NZITO POLISI  Habari zinasema, Februari 4, 2011, Abdallah Rajabu alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar akiwa amemeza pipi 54 za cocaine, Juni Mosi, mwaka huu, Mwanaidi Ramadhan Mfundo, raia wa Kenya na Watanzania Sara Daud Mnuo, Antony Athur Karanja na Ben Nganer walikamatwa na kg 5 za cocaine na heroine.

  Machi Pili, mwaka huu Chime Ajana alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar akiwa na kete 54 za cocaine, akijaribu kusafirisha kwenda Nigeria.

  Habari zinasema kuwa watuhumiwa hao waliokamatwa ndiyo waliotoa siri nzito za viongozi wa dini wauza madawa ya kulevya, ikiwa ni pamoja na kuwezesha mtego uliomnasa Askofu Okechu.

  MZEE WA KANISA NAYE MBARONI

  Mzee wa kanisa moja ambalo halikutajwa, Raymond Gilbert Jungulu naye amekamatwa
  .

  Wengine ambao wapo mahabusu wakituhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ni Bosi Chizenga, Ally Haji Mitanga, Gaban Abubakar na Gabar Diagar.

  VIONGOZI WA DINI WAUZA UNGA NI WENGI  Kamanda Nzowa aliliambia Uwazi kuwa orodha ya wauza unga aliyopewa Rais Jakaya Kikwete mwaka jana ipo na ina majina mengi ya viongozi wa dini.

  Ripoti za kipolisi zinaliingiza matatani Kanisa Katoliki pamoja na Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata), kwa maelezo kuwa kuna wauza unga ambao wamekuwa wakitumia mwamvuli wa taasisi hizo za dini.

  Habari zinasema kuwa baadhi ya watu wasio waaminifu, huingia mpaka kwenye msafara wa Papa Benedict XVI na kupitisha unga kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kuwa hawakaguliwi.

  PENGO AIUDHI SERIKALI

  Hatua ya serikali kuliambia bunge kwamba Kanisa Katoliki nalo ni mwamvuli wa biashara hiyo haramu, imekuja baada ya Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kadinali Polycarp Pengo kuitibua ikulu.

  Uchunguzi unaonesha, serikali ilichukizwa na kauli ya pengo kumwambia JK kwamba ni msaliti na hana ujasiri kama mwanamke mjamzito kwa sababu hajataja waziwazi majina ya watuhumiwa.

  MAKANISA YA KIROHO YACHAFUKA

  Gazeti hili limebaini kuwa tangu skendo ya viongozi wauza unga itajwe kwa mara ya kwanza na JK hivi karibuni, makanisa ya kiroho yamechafuka, huku viongozi wao wakituhumiwa moja kwa moja.

  Pamoja na tuhuma hizo, Uwazi limebaini kuwa Askofu Zachary Kakobe, Mchungaji Getrude Rwakatare, Nabii Josephat Mwingira, Askofu Moses Kulola, Mchungaji Josephat Gwajima na wengineo ni wasafi, kwani bado hawajaingizwa kwenye skandali hiyo.

  Baadhi ya maofisa wa kikosi kazi waliongea na mwandishi wa habari hii kwa sharti la kutotajwa majina yao walisema: "Nzowa yupo makini sana na kazi yake na angekuwa mtu mwenye tamaa ya fedha asingepata mafanikio."

  Nzowa alipozungumza na mwandishi wetu alisema: "Ninachoomba nipewe ushirikiano na wananchi kwa kuwa wao ndiyo askari wa kwanza."

  WABUNGE VILIO  Habari zinasema, baadhi ya wabunge walishindwa kuficha hisia zao na kutoa machozi walipokuwa wanaona mkanda wa video unaoonesha mtandao wa viongozi wauza unga.

  Wabunge, walikwenda mbali zaidi na kushauri viongozi wote wa dini wauza unga wanyongwe.[/FONT]
   
 2. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Huachi kutapa tapa? Bakwata waliotajwa wanaongoza kanisa gani?
  Punguza mda wa kuwepo huku mtandaoni maana ishara zinaonyesha umekaribia sana kuwa kichaa moto kutoka kwenye baridi ulicho nacho tayari
  .
   
 4. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  Bakwata haiongozwi na Roho Mtakatifu wanaongozwa na Roho ya Nyerere aliyeiunda .

  Mumenaswa pabaya kumbe viroba vya unga vimo kanisani
   
 5. HT

  HT JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  if he is drug dealer he cannot be a christian. Christianity is not about claiming to be one but is being one. Anyway that proves further that Jesus knew the future when He said there will come false prophets and proves Paul right when he said satan masquerades as angel of light.
  Holu Spirit have to do with holy things of God, even common sense from the word itself says so
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Utakufa na kinyongo na chuki zisizo na sababu ndugu! Kwako viongozi wa Kiislamu ni watakatifu ili mradi tu wanaingia msikitini? Just imagine uharamia wote aliofanya jambazi marehemu Muhammad na wafuasi wake, kama ungekuwa mtu wa kuchukia maovu basi ungeanzia na huyo.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mosque leader accused of drug trafficking to remain in custody

  He (along with two others from his mosque) is also accused of ties to Palestinian Islamic Jihad, and could face a twenty-year reassignment as aprison recruiter. From ABC7Chicago.com : A leader of a mosque on Chicago's South Side has been ordered held on charges that he trafficked a chemical used to make the illegal narcotic methamphetamine. U.S. District Judge Amy St. Eve orderedthat Tariq Isa, 55, remain in custody Tuesday without bail. She said Isa had an incentive to flee because a conviction would carry a lengthy prison term. Isa was arrested Thursday as he arrived at O'Hare International Airportfrom the Middle East, authorities said. A two-count indictment charging Isa with distributing nearly 1.73 million tablets of pseudoephedrine was returned in May but was sealed until his arrest. According to the indictment, Isa knew or had reasonable cause to believe the chemical would be used to make methamphetamine. Isa is the third leader of the Mosque ofthe Martyr Izzedine Al-Qassam to face criminal charges since last year. Ghassan Zayed Ballut and Hatem Fariz were indicted last year in Florida for allegedly financing terrorists in Israel, the West Bank and the Gaza Strip. They were also charged with being members of the militant group Palestinian Islamic Jihad.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Increasing drug and social abuse among Muslim youth in Malaysia by Abdar Rahman Koya (Sunday, November 14, 2004) "Malaysia has some of the world’s most stringent laws against drug-trafficking and abuse. Yet the death penalty, which is routinely carried out on traffickers, does not seem to act as a deterrent: more drugs are available and the number of addicts goes on rising." Malaysia often claims to be a well-developed Muslim country, with its skycrapers and well-organised city gracing postcards and tourist brochures. Some of this is not propaganda: of Muslim countries, it is the most developed in terms of standard of living and health, and to a certain extent has had a home-grown industrialisation not matched by any other Muslim-governed nation-state. Yet it has its share of the problems that come with Western-style development. One of its most serious problems — indeed, a crisis — is drug-abuse among its young people, mostly aged between 15 and 39. When, in February last year, the Malaysian government hosted the non-aligned movement (NAM) summit in Kuala Lumpur, a silent war had just been fought. Hundreds of drug-addicts were rounded up and temporarily ‘quarantined’ in a huge disused prison-complex in the capital. After the NAM summit, little is known about what happened to the addicts, who are mostly in their twenties, and most whom are Malay Muslims (who comprise just over 60 percent of this southeast Asian Muslim country). Whatis clear, however, is that they were released, and not sent to one of the rehabilitation centres set up by the government. A report from the official National DrugAgency (NDA) has revealed that a total of 26,739 addicts—13,321 first-time addicts and another 13,418 ‘relapsed’ addicts — were registered with official agencies nationwide during the first six months of this year. In a country of just over 20 million, the figure is appalling, and means almost 4,500 addicts every month. What is even more worrying for Muslims is the report’s observation that 66 percent ofthese are Malay Muslims. This trend continues the usual annual increase of new addicts: the total number of reported new addicts last year was 36,996 or an average of 3,083 a month; two years earlier, in 2001, the figure was 31,556, or 2,629 per month. These figures have also been given in khutbas during jumu’ah (Friday) congregations, when many Muslims would not take any serious notice. When the figures were released last September in parliament, eyebrows were raised, mainly because Muslims are the majority of the population, with leaders in both government and opposition making Islam their main political theme. But in a country that either its own leaders or other Muslims have touted as a “model Muslim nation”, the latest report is a major embarrassment. Malaysia has some of the world’s most stringent laws against drug-traffickingand abuse. Yet the death penalty, which is routinely carried out on traffickers, does not seem to act as a deterrent: more drugs are available and the number of addicts goes on rising. In 1996 the government admitted its failure in the battle, despite the enormous budget allocated to fight drugs. As much as 90 percent of drug-addicts going through ‘rehabilitation’ centres relapse upon release, and almost half return to these centres. The centres are ill-equipped to deal with the problem, and many condemn the military-style ‘rehabilitation’ process for making things worse, making addicts ‘obsolete’ as human beings. The alarming figures have brought into question the role of the ulama, Muslim NGOs, da’wah groups and Islamic youth organisations. But the ones in the spotlight will certainly be the country’s two largest political parties, which claim to represent the Malay Muslims’ Islamic aspirations: theruling United Malays National Organisation (UMNO) and the Islamic Party (PAS) (almost all Malays in the country are Muslim, so the two terms are usually used interchangeably). Although PAS may claim that the present drug-crisis is partly due to the secular trend, the figures may not bearthis out. A state-by-state census of the same six-month period has shown that, out of 13 states in Malaysia, Kelantan, which has been under PAS control for the past fourteen years, hasthe fourth-highest number of addicts. The top three were large cities such asKuala Lumpur, Penang and Sabah, whose coastline border with the Philippines has, not surprisingly, made it easy to smuggle goods, arms, humans and drugs. By contrast Kelantan has always been a rural statewith only a few commercially active towns. So why many Muslim addicts even in a state governed by the ulama? The question is difficult to answer, as otherfactors are also involved. But the recent habit in the country of not paying much attention to the social costs of ‘development’ may be a shortcoming that Muslim leaders should seriously consider trying to rectify. The drug problem is part of a wider social and moral crisis facing young Malay Muslims, particularly the men and boys. Statistics show that Malay-Muslim girls and women far outnumber their male counterparts in institutes of higher education. This is not the case among other communities in Malaysia, namely the Chinese. On this former prime ministerDr Mahathir Mohamad made a remark not long ago to the effect that it was due to too much politicking by Malays. He may have a point, although he cannot be absolved of blame for transforming the Malays from a conservative society to one that can talk freely about the vilest scandal. Some critics have argued that Mahathir’s highly-publicised allegations against Anwar Ibrahim, in which this Muslim people heard charges of sodomy and all sorts of obscene details, have somehow made social ills no longer seriously frowned upon. Today Malays continue to dominate the news about sexual crimes, baby-dumping, drug-abuse andjuvenile delinquency. What is clear is that the drug menace is part of a larger decline among youngMuslims, both in the rural and urban areas. However, its grave nature makes it vitally important that Muslims give it special attention. A recent report by malaysiakini.com, an online daily, suggests the lack of interest among Muslim leaders in addressing the drug problem. The allegations were immediately refuted by a government official and PAS youthleader. Both claim to be doing their part, setting up programmes in mosques and rehabilitation centres. Soone wonders why the increase goes on. The Islamic Youth Movement of Malaysia (ABIM) has perhaps come close to an answer: “We are looking at the overall decline in morals. We cannot isolate the drug problem from that,” its secretary-general recently said. Earlier this year British prime minister Tony Blair hailed Malaysia as an exemplary ‘moderate’ Muslim country. All over the Muslim world, governments have been trying to reconcile their secular ambitions with their peoples’ Islamic preferences, and Malaysia is no exemption. While it builds imposing mosques and Islamic centres, and provides huge funding for ‘intellectual’ Islamic exercises such as conferences, publications, education and the arts, the government-controlled media ‘balance’ these with other ‘youth’ programmes. In the last few years, concerts and entertainment programmes (a large number of which are officially organised) have mushroomed, and themajority of attendees are young MalayMuslims. A recent ‘entertainment roadshow’ by a private television station earned the wrath of government muftis, who advised Muslims not to patronise the event. The muftis’ advice was immediately blacked out by the media. Today, ‘reality TV’ shows have invaded Malaysian living-rooms to an extent never before seen; the participants are almost all Malays, and the sponsorsare mostly Chinese-controlled multinational companies. The general stereotypes of the ‘natives’ being lazy and entertainment-driven are fuelled by these programmes. The irony of Malaysia’s “model Islamic nation” image could not have been better illustrated than when, recently, one television channel had live transmission of the annual international Qur’an-reciting competition, while the next TV remote-control button took viewers toanother live event: the “Malaysian Idol”. The programme is patterned on an American ‘talent’ show, with celebrity-style emotional outbursts and hedonistic behaviour thrown in. Almost all the cheering crowd consisted of Malay Muslim teenagers, who used tens of thousands of dollars’ worth of SMS messages to vote for their ‘idol’. All this may or may not point to declining standards, particularly among young Muslims. Whatever the signs say, since the country’s drive towards rapid industrialization in the eighties, young Malays are being facedwith a challenge to morality and identity that their forebears never experienced. Muslim politicians are now burdened with a challenge that is much more difficult than winning an election or forming a government. The increasing drug-abuse and other ills will spell a severe decline in the Islamic movement in the country, if serious efforts are not made by activists. Failure to do so will also give more opportunity for the activities of Christian missionaries, who are already active in tackling drugs and other problems in their own heavily-funded way. Source: by courtesy & © 2004 Abdar Rahman Koya
   
 9. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  wapi ulisikia kiongozi wa kiislamu kuitwa mtakatifu , AU KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU

  WAKRISTO MNAITANA WATAKATIFU NA KUJIFANYA MNAONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KUMBE KWENYE MAJOHO KUMEFICHWA VIROBA VYA

  UNGA KAZI KWELI

  KAZI KWELI , JANJA ZENU ZIMEKWISHA
   
 10. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280

  hii amekupostia nani mzee wa kazi wonders ???? Labda wewe amekupa miwani ya kuonea hii
   
 11. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160

  MMeshindwa kupata habari za Tanzania. Mbona mnahaha huko nje tu. RUdini Tanzania kmama mna mpyua.
   
 12. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Haya ndio yaliyosemwa na Rais, na kushikiwa mabango. Leo kayapeleka Bungeni na ushahidi kamili. Je ndugu zanguni waumini mtayakubali hivi sasa? Jisomee kwa utaratibu wala usiwe na papala.
  Askofu Muuza Unga Alivyodakwa

  [FONT=&amp]
  Na Makongoro Oging'[/FONT]
  [FONT=&amp]
  [/FONT]
  [FONT=&amp]

  MAMBO yameiva, Jumamosi iliyopita serikali ilitimiza ahadi ya kuwaonesha wabunge mkanda wa video wa mtandao haramu wa biashara ya madawa ya kulevya, ulio chini ya viongozi wa dini nchini.

  Kufuatia mkanda huo, Uwazi lina habari kamili jinsi kikosi kazi cha kupambana na madawa ya kulevya chini ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kilivyomnasa Askofu Mkuu wa Kanisa la Lord Choose Charismatic Revived Church, Chidi Okechu.

  Okechu ambaye kanisa lake lipo Biafra, Kinondoni, Dar es Salaam ndiye anatajwa kuwa mkuu wa mtandao wa viongozi wa dini wauza madawa ya kulevya nchini.

  ASKOFU NDEGE TUNDUNI

  Kwa mujibu wa Uchunguzi wa Uwazi, Machi 4, 2011 usiku wa manane, Kamanda Nzowa aliongoza kikosi chake na kuvamia nyumba aliyopanga askofu huyo, Kunduchi, Dar na kumkuta akiwa na kg 81 za heroine.

  Askofu huyo alikamatwa akiwa na wapambe wake, Hycenth Stan, raia wa Afrika Kusini, Shoaib Mohamed, Pakistan na Paul Ikechuwi Obi wa Nigeria, wote walikutwa kwenye nyumba hiyo yenye namba 593.

  KUNDUCHI NI PEPO YA WAUZA UNGA?
  Uwazi limebaini kuwa mbali na askofu huyo na wapambe wake, msako mwingine wa Februari Pili, 2011, uliwezesha kunasa watuhumiwa wengine wa biashara ya madawa ya kulevya waliokutwa na kg 179, Kunduchi.

  Waliokamatwa ni Fred William Chonde, mkazi wa Mbezi Beach, Dar pamoja na raia wa Pakistan, Shahbaz Malik na Abdul Ghani ambao mbali na kukutwa na unga, pia walikutwa na shilingi milioni 15 kwenye gunia.

  WATOA SIRI NZITO POLISI  Habari zinasema, Februari 4, 2011, Abdallah Rajabu alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar akiwa amemeza pipi 54 za cocaine, Juni Mosi, mwaka huu, Mwanaidi Ramadhan Mfundo, raia wa Kenya na Watanzania Sara Daud Mnuo, Antony Athur Karanja na Ben Nganer walikamatwa na kg 5 za cocaine na heroine.

  Machi Pili, mwaka huu Chime Ajana alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar akiwa na kete 54 za cocaine, akijaribu kusafirisha kwenda Nigeria.

  Habari zinasema kuwa watuhumiwa hao waliokamatwa ndiyo waliotoa siri nzito za viongozi wa dini wauza madawa ya kulevya, ikiwa ni pamoja na kuwezesha mtego uliomnasa Askofu Okechu.

  MZEE WA KANISA NAYE MBARONI

  Mzee wa kanisa moja ambalo halikutajwa, Raymond Gilbert Jungulu naye amekamatwa
  .

  Wengine ambao wapo mahabusu wakituhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ni Bosi Chizenga, Ally Haji Mitanga, Gaban Abubakar na Gabar Diagar.

  VIONGOZI WA DINI WAUZA UNGA NI WENGI  Kamanda Nzowa aliliambia Uwazi kuwa orodha ya wauza unga aliyopewa Rais Jakaya Kikwete mwaka jana ipo na ina majina mengi ya viongozi wa dini.

  Ripoti za kipolisi zinaliingiza matatani Kanisa Katoliki pamoja na Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata), kwa maelezo kuwa kuna wauza unga ambao wamekuwa wakitumia mwamvuli wa taasisi hizo za dini.

  Habari zinasema kuwa baadhi ya watu wasio waaminifu, huingia mpaka kwenye msafara wa Papa Benedict XVI na kupitisha unga kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kuwa hawakaguliwi.

  PENGO AIUDHI SERIKALI

  Hatua ya serikali kuliambia bunge kwamba Kanisa Katoliki nalo ni mwamvuli wa biashara hiyo haramu, imekuja baada ya Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kadinali Polycarp Pengo kuitibua ikulu.

  Uchunguzi unaonesha, serikali ilichukizwa na kauli ya pengo kumwambia JK kwamba ni msaliti na hana ujasiri kama mwanamke mjamzito kwa sababu hajataja waziwazi majina ya watuhumiwa.

  MAKANISA YA KIROHO YACHAFUKA

  Gazeti hili limebaini kuwa tangu skendo ya viongozi wauza unga itajwe kwa mara ya kwanza na JK hivi karibuni, makanisa ya kiroho yamechafuka, huku viongozi wao wakituhumiwa moja kwa moja.

  Pamoja na tuhuma hizo, Uwazi limebaini kuwa Askofu Zachary Kakobe, Mchungaji Getrude Rwakatare, Nabii Josephat Mwingira, Askofu Moses Kulola, Mchungaji Josephat Gwajima na wengineo ni wasafi, kwani bado hawajaingizwa kwenye skandali hiyo.

  Baadhi ya maofisa wa kikosi kazi waliongea na mwandishi wa habari hii kwa sharti la kutotajwa majina yao walisema: "Nzowa yupo makini sana na kazi yake na angekuwa mtu mwenye tamaa ya fedha asingepata mafanikio."

  Nzowa alipozungumza na mwandishi wetu alisema: "Ninachoomba nipewe ushirikiano na wananchi kwa kuwa wao ndiyo askari wa kwanza."

  WABUNGE VILIO  Habari zinasema, baadhi ya wabunge walishindwa kuficha hisia zao na kutoa machozi walipokuwa wanaona mkanda wa video unaoonesha mtandao wa viongozi wauza unga.

  Wabunge, walikwenda mbali zaidi na kushauri viongozi wote wa dini wauza unga wanyongwe.[/FONT]

 13. D

  Danniair JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu Mtatoana mijimacho kisa wakristo/waislamu wauza unga. Lakini hii ni biashara, na biashara haina dini kwani hata hizo nyumba za ibaada zimekaa kibiashara zaidi kuliko wokovu. Pili viongozi wote wa dini wanatabia ya kukumbatia matajiri mnadhani matajiri hao wakifahadhili safari za waumini kwenda nchi mbalimbali ni bure????? Wakumbukeni wale wafadhili wa mipira ya kimataifa, mhh.
   
 14. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160

  Je huu ndio uumini. Rais Kikwete alisema kweli au alidanganya? Haya mlibweka kama mbwa sasa mmeletewa hapa nwanjani. Semeni tuwasikie.
   
 15. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
   
 16. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ni kweli uyasemayo, lakini hoja kubwa hapa ni Matamshi ya PENGO kumkejeli Rais kana kwamba viongozi wake ni wasafi woooooteeee.
   
 17. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Vinatakiwa vipelekwe Somalia wakale ugali. Ninyi sii mmeamua kula tende peke yenu bila kuwakumbuka.
  .
   
 18. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  maskini wa fikra mla nguruwe mtoa funza
   
 19. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  una fikra za kimaskini jibu
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,512
  Trophy Points: 280
  na yule kadinali mapengo wanamkamata lini?
   
Loading...