Askofu Munga: Hivi Ndugai toka moyoni mwako ulikuwa hujui Lissu aliko? Moyo wako hauna huruma na upendo?

Ndiyo maana watu wengine wanawaita watoto wao majina kama Huruma,Elihuruma nk kina AYUBU hawana hiyo baba askofu endelea kufundisha kwa bidiii watu kuwa na huruma na upendo
 
Sijui taratibu za kuwekwa katika kile kitabu cha kumbukumbu za dunia zikoje ? .

Ndugai alipaswa kuingizwa kule kwa roho ya ukatili uliopindukia
Mkuu JokaKuu, nadhani Ndugai kama aliona hali hiyo ya Lissu ambayo nilishuhudia hata Mbowe akiisema hadi machozi yanalenga akikumbuka na bado Ndugai kakosa moyo wa huruma anaweza kuwa Spika katili zaidi duniani kwa wakati huu tulio nao.
 
Chama chake kinajua kwa undani masharti ya bunge na namna mbuge anaweza kufutiwa ubunge wake. Jee walimshauri au walichukua jukumu hilo?

Kaka yake ni mwanasheria mbobezi alifanya nini?

TLS ni chama cha wanasheria, Jee walimshauri au kumsaidia kiongozi wao kisheria kukinga maslahi yake?

KILL THE DEVIL BUT GIVE HIM HIS DUES
'But this Devil Ndogaye has no right for dues!!!'
Ukitaka kujua kuwa vyote vimefanywa kwa roho ya ushetani tu, angalia muunganiko wa sababu za kumwondolea ubunge. Kwamba suala la maadili ambalo kisheria mtuhumiwa husikilizwa kabla ya hatua kuchukuliwa dhidi yake likachomekwa kiaina.
Si hivyo tu, tangu mwanzo bwana Spika alionyesha nia ovu dhidi ya Lisu.
Mwanzo aliahidi kwenda kumjulia hali hospitali, hakwenda. Wabunge wakakusanya michango kwa ajili ya matibabu ya Lisu, akazichelewesha hadi kelele zilipopigwa ndipo akazipeleka.
Hakuishia hapo, alipoulizwa kwa nini fedha za matibabu ya Lisu hazijapelekwa, akasema waziwazi tena ndani ya Bunge kuwa Rais amekataa kuidhinisha.
Mwisho akataka kumnyang'anya mshahara wake, kelele zikazidi, hasa alipoona kuna hatari ya kushtakiwa ndipo akaghairi.
Ukweli ni kuwa tukio dhidi ya Lisu na matendo ya Watawala dhidi yake ni ishara ya wazi kwamba tunatawaliwa na watu wenye roho za mashetani. Hata wale wapambe wa watawala hawa ni wale vichwa maji waliovuta kasumba changanya chang'aa!!!
Nduagai ni mfano sahihi wa roho ya kishetani iliyowajaa watawala!!!!
 
Write your reply...wewe ndugai umetumia 27b kutibiwa ukimwi, nani alikwambia ukimwi unatibiwa hospt? kwani kikombe cha babu hakikusaidia? roho nyeusi kama huyo shetani mwenzio.
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Angekuwa na moyo wa huruma asinge mtandika bakora yule mgombea mwenzake
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Baba Askofu unafeli wapi? Kiongozi wako sehemu ya kazi anaweza kujua uko wapi lakini kiofisi hakawa hajui.
 
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana
Nyie wahutu
mnatuharibia nchi,rudini kwenu mkachinjane tu. Taharifa ndiyo mdudu gani?
 
KAMA JITU LILITAKA KUMUUA MWANA CCM MWENZIE KWA KUMPIGA FIMBO KICHWANI UNADHANI LITASHINDWA KUMUUA LISSU?
 
Madhara ya kuzaliwa na mzazi mlevi na aliyebakwa

Ustadhi wewe haupo sawa ni abnormal, Kuna kitu kichwani kwako kimepungua

All in all sio kosa lako, Kama Baba yako humjui alimbaka tu Mama yako, Binafsi nakupa pole

Umeharibika kisaikolojia unahitaji tiba

Kuna wakati huwa nahisi labda mafundisho yako ya madrasa lakini tatizo lipo kwa waliokuzaa, Hivyo utusamehe kosa sio lako wazazi wamekuharibu kisaikolojia
Hilo swali la huruma na upendo huyo Askofu angeanza kumuuliza Tundu Lisu, kwa usaliti alioifanyia na anaoendelea kuifanyia nchi yangu, kiukweli kabisa, don’t give a shit about him, ukiniuliza mimi sijali kilichomtokea na kitakachoendelea kumtokea.
 
Huyu askofu anachanganya dini na siasa sio dizaini ya akina gwajima kweli?

Apimwe mkojo huyu!!
 
Back
Top Bottom