Askofu Munga: Hivi Ndugai toka moyoni mwako ulikuwa hujui Lissu aliko? Moyo wako hauna huruma na upendo?

Bado wanadhani taarifa ni kuona kwa macho na kusikia kwa mdomo
Hivi mfano hakimu akiona tukio kwenye tv au mitandao au kusoma kwenye vyombo vya habari baada ya siku kesi ikapangiwa kwakwe nini ataamua
Atafuata alivoona kwenye hayo au atasikia na upande wa pili nini sheria zinasema..
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Ndugai alikua anajua lissu alipo, isipokua spika hakujua.....
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
naona viongozi wa dini waliobakia kusifia watawala ni wale mashehe wa Bakwata, wa makanisa ya kina mzee wa Upako (mzee wa wine), askofu gap-toothed, mamaa anayevaa magauni ya vyuma mwilini, nk.
 
Ndugai kwa nafasi yake kama Spika, naona hajiamini, hivyo anafanya kila awezavyo kuitetea nafasi yake hiyo katika bunge lijalo kwa kujaribu kumfurahisha Mkulu. Si kwamba hatambui TL alipo, bali pengine anaijua chuki ya JPM dhidi ya TL, hivyo ameamua ku "side" naye kimkakati. Uwepo wa Dr. Tulia chini yake unamkumbusha jinamizi la enzi za Spika Sita na Naibu wake Makinda.
Hapana Ndugai yeye ni mtekelezaji wa maagizo ya Jiwe fulls top.
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Kumbe hakufaa kuwa mkuu wa kanisa
 
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana

Hivi MTU aliyezimia ghafla na kupoteza fahamu akiwa ktk eneo lake la kazi "ana uwezo wa kuandika barua" ya kuomba ruhusa ya kumuaga mwajiri wake ili aende hospitalini akatibiwe!!!!!!?!!!!!

Alaaa kumbeee!! Nilikuwa sijui!
 
Alikua anajua na kufahamu...

Ila sheria haiwezi kua upande wa mpinzani sababu bosi hataki iwe hivyo...

Nae anasikiliza maagizo kutoka juu...

Cc: mahondaw
 
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana
Praise team wote ni mambumbu,hata kiswahili kinakupata shida.Kuwa na kundi kubwa la watu wajinga kama wew livuvuzera, watu wenye akili wataendelea kutekwa
 
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana

Kabla ya Sheria kuna Ubinadamu ,Hali ya Ubinadamu aliyokuwa nayo Mh Lissu alipokuwa ktk Hali ya Umauti kwa Mwili wake kuchakazwa na Risasi isinge wezekana kufanya hayo mliyo yataka.Hata kama ni wewe ,hebu Vaa uhalisia wa Tukio la Lissu kushambuliwa kama Jambazi kwenye Nchi yake unge jisikiaje yani !!.
 
Ubinadamu tumeuona
Bunge liliendelea kumlipa mshahara had I pale alipopona na kuanza uzurulaji nchi Ulaya!
Sheria , kanuni na utaratibu ulio kwenye maandishi ,hauwezi kuegemea kwenye ubinadamu
 
Hilo swali la huruma na upendo huyo Askofu angeanza kumuuliza Tundu Lisu, kwa usaliti alioifanyia na anaoendelea kuifanyia nchi yangu, kiukweli kabisa, don’t give a shit about him, ukiniuliza mimi sijali kilichomtokea na kitakachoendelea kumtokea.
 
Back
Top Bottom