Askofu Munga: Hivi Ndugai toka moyoni mwako ulikuwa hujui Lissu aliko? Moyo wako hauna huruma na upendo?

Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Hawa Maaskofu wasijifanye wajuaji sana. Kwani Ndugai anafanya kwa mapenzi yske au anafuata kanuni na taratibu?
 
Ndugai ana roho mbaya hatari.yeye katumia bilioni 27 plus kutibiwa, kashindwa kumpa lissu hata milioni.kiukweli tuna viongozi makatiri hatari
Sina uhakika huyu mlalamikiwa asomapo lawama hizi anajisikiaje! Yawezekana kila akijisikia maumivu hudhani ni tayari
 
Je, Ndugai aliwakumbusha hao Ndugu, Chama au Lisu kufanya hivyo wakashindwa kufanya hivyo!!?
Je, ule utaratibu wa madaktari wa Bunge kutafuta taarifa za Mbunge Mgonjwa na kuzitoa kwa Bunge Mbona usitumike!!!?
Ndugai ana roho wa ibilisi ndani yake, si bure!!!
Chama chake kinajua kwa undani masharti ya bunge na namna mbuge anaweza kufutiwa ubunge wake. Jee walimshauri au walichukua jukumu hilo?

Kaka yake ni mwanasheria mbobezi alifanya nini?

TLS ni chama cha wanasheria, Jee walimshauri au kumsaidia kiongozi wao kisheria kukinga maslahi yake?

KILL THE DEVIL BUT GIVE HIM HIS DUES
 
Unataka kusema hujasikia familia yake kwamba waliwasiliana kwa barua na Ofisi ya Bunge zaidi ya mara ishirini? Hizo taratibu mbona haziwekwi wazi kwa Umma?
Hujasikia kuwa hizo mara ishirini , walikuwa wanadai haki yake ya matibabu, hawakupeleka riport ya hospitali ya ubelgiji
 
Hilo swali la huruma na upendo huyo Askofu angeanza kumuuliza Tundu Lisu, kwa usaliti alioifanyia na anaoendelea kuifanyia nchi yangu, kiukweli kabisa, don’t give a shit about him, ukiniuliza mimi sijali kilichomtokea na kitakachoendelea kumtokea.
Msamiati mpya wa kiswahili: kusema ukweli ni usaliti, kusifia uongo ni uzalendo
 
Kwahivyo mwajiri ajuwe alipo kupitia social media na sio official letter ama official info za hospitali/taarifa za daktari?
Angekuwa Askofu wa katoliki ningehama dhehebu... shame on him
Kaka yake ana barua 11 alizokuwa anawasiliana na Ndungai na nyingine Ndungai amamjibu
 
Ndio Askofu na Watanzania wajue kuwa Watanzania tunatawaliwa na binadamu wenye roho ya Shetani. Ndugai ni Shetani aliyejivika joho la Uspika wa Bunge letu!!!
Kwenye kitabu cha ufunuo wameandika Luna wakayi shetani atatawala dunia wakati wenyewe ndiyo huu mfano nzuri jiwe, Ndugaboy
 
Ubaya wa karma is transferable to up to four generations, which is not fair at all.
P
Kwa mtindo huo basi wanaokomeshwa ni wale wasio husika duuh!! Vizazi vinne? Si ajabu kuna mambo yangu yanakwama kwa ajili ya makosa ya mababu huko anyway nini dawa yake kwa wasiohusika?
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Ndugai Mpuuzi Sana,yeye ametumia zaidi ya Bilioni 27 kwa ajili ya matibabu yasiyojulikana ,CAG ametaka maelezo amepanic.
 
Uaskofu wako na elimu huvitendei bwana askofu!
Hapa issue ni taharifa rasmi siyo maneno
Kama sipika hana taharifa ya maadishi, mtalaumu sana
KAMA SHETANI ANA WAFUASI NDUGAI PIA HAWEZI KUKOSA KWA KAULI HII UNGEKUWA SHOGGER NINGEHAKIKISHA NAKUTIBU LILE SHITHOLE KWA KUTUMIA SINDANO YENYE WINO AMBAYO PIA NAIMILIKI
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
Hao kiapo chao cha 'MOYONI' ni cha kukiuka Katiba na sheria na kusema uongo daima! Ila kama wana ROHO msijisumbue. Hawamjui Mungu wenu.
 
Ameandika baba Askofu Dr.Steven Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,

__________________

Ndugu Spika, hivi ni kweli ya moyoni mwako kuwa ulikuwa hujui Mhe.Lissu aliko? Kama moyo hauna huruma na upendo, hata sheria nzuri zitatafsiriwa vibaya. BWANA uturehemu"

SHARE Zaidi uwezavyo ujumbe ufike
MLIOSOMA Ripoti yote ya CAG mlikiona hiki?

》kwamba matibabu ya Ndugai yalitafuna dola milioni 12 kwa miezi 6 aliyolazwa India. Kiwango hiki ni sawa na Tsh 30bn kwa miezi hiyo. Ni sawa na kutumia Tsh bilioni 5 kwa mwezi au Tsh milioni 167 kila alipokuwa akilala siku moja kwenye kitanda chao.

》Bila shaka gharama hii itakuwa imevunja rekodi ya kuwa gharama kubwa katika historia ya matibabu ya kiongozi mmoja katika nchi hii.

》kama limeandikwa kwenye tabu la CAG, basi wachochea kuni hatuna budi tuingie porini kusaka kuni tulichochee hili mpaka kuwake moto na tuseme bayana kwamba huenda hiki na siyo huenda ndicho chanzo cha fitna na ugomvi wa Ndugai kususa bunge kushirikiana na prof Mussa Assad.

》kama ndivyo basi CAG ni mtu mstaarabu sana si mtu wa kujikweza na kusema ovyo, vinginevyo angelifumua hili wakati ule ule aliposuswa lakini sheikh wa watu alikaa kimya wakati ulifumue, na kweli umeanza kulifumua na sasa linafumka.

》kwa sababu ile ni kodi yetu walipa kodi tuna haki ya kuwatuma wabunge wetu watutafutie majawabu ya jambo hili safari hii hatutaki majibu.
 
Back
Top Bottom