Askofu Mkude: Kama sisi sio sauti ya Mungu, basi anaye Mungu anayemwamini yeye ndio anaisikiliza

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,094
2,000
Watasema sana tu ila uncle magu songa mbele, watumishi wengine wanatumiwa na shetani kupaza sauti.

Binafsi nasema hivi songa mbele uncle Magu, kwa muda mfupi tumeona mabadiliko mengi ya matumzi bora ya kodi zetu. SONGA MBELEEE
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,745
2,000
Lini waliongea na Mungu?sauti yake ikoje?nzito? Nyepesi?kiume?kike? Ngurumo?waambie tunajitambua!mavazi yao &misalaba mikubwa vifuani mwao havitutishi?
Kweli kabisa

Hata Ukoloni na Utumwa ukiletwa na wanaojifanya Watu wa dini
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,268
2,000
Rais ataisikiliza katiba tu....ndio watanzania wanaunganishwa nayo.
Hivi Mungu anaisemeaga Chadema?
HIVI ALIPOAPA KWA BIBLIA NA KUSEMA MUNGU NISAIDIE ALIKUWA NI MUNGU YUPI? KAMA NI YULE WA KIUNONI SAWA.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,268
2,000
Watasema sana tu ila uncle magu songa mbele, watumishi wengine wanatumiwa na shetani kupaza sauti.
Mkuu Magu anasonga nyuma. Yeye mwenyewe ni shetani, ila tunashukuru Mungu sasa tumeitambua sura ya shetani.
Binafsi nasema hivi songa mbele uncle Magu, kwa muda mfupi tumeona mabadiliko mengi ya matumzi bora ya kodi zetu. SONGA MBELEEE

Kweli tumeona taifa linasambaratika, katiba inasiginwa, watu wanapotea, upinzani wananyanyaswa. HOFU IMETANDA
 
Meela

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,473
2,000
Ukweli umewafika nyie wachumia tumbo. Bonafsi naamini kila mtu hata awe kiongozi wa dini anawajibu kukemea maovu hata kama ni mkuu wa kaya.

Kukemea maovu ni wajibu wa kila mtu na hasa viongozi wa dini. Lakini uzoefu umeonyesha viongozi hawa wa dini mara nyingine wanachoongea kwa kudai wanakemea maovu wanakuwa na agenda za siri. Tena wanakuwa wanamtumikia shetani ila kwa kuwa wanajua wana goodwill kutoka kwa watu basi wanadhani watu wote wataona utumishi wao kwa shetani bado ni utumishi kwa Mungu. Wanaolifahamu Neno wanatambua ni wakati gani hao viongozi wetu wa dini wanamtumikia nani.
 
mikeimani

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
2,843
2,000
Watu wa maslahi binafsi hao. Akina Mkude hawawalilii masikini wa nchi hii au wa popote pale. Wanajililia wenyewe. Tangia lini sauti ya Mungu ikajililia yenyewe
 
bumes

Senior Member
May 26, 2012
139
225
kama unaandika mala kwa mala, basi chote ulichoandika ni rubbish

What is Rubbish, you have not explained anything only by saying if I am a regular write then all my views are rubbish.
This explains one thing that your mind easily short circiuit. The current century clinical thinking is mandatory especially politics and Religion. People like who receive things on face value Africa will take long to realise the Chase game the west playing against Africa.

In the book of Romans the Bible says the Simple shall be deceived ( Romans 16:18).
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,774

OK Good, umeonyesha umesoma lakini hukuelewa kuwa ukaindika kama ulivyofanya watu hawatahangaika kusoma.
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,774
2,000
Kukemea maovu ni wajibu wa kila mtu na hasa viongozi wa dini. Lakini uzoefu umeonyesha viongozi hawa wa dini mara nyingine wanachoongea kwa kudai wanakemea maovu wanakuwa na agenda za siri. Tena wanakuwa wanamtumikia shetani ila kwa kuwa wanajua wana goodwill kutoka kwa watu basi wanadhani watu wote wataona utumishi wao kwa shetani bado ni utumishi kwa Mungu. Wanaolifahamu Neno wanatambua ni wakati gani hao viongozi wetu wa dini wanamtumikia nani.
Ndio hivyo kwangu mimi hata wakati ule walisema 'chaguo la Mungu" nilikataa kwa kuwa sikuamini hivyo. Mimi nakataa mawazo yoyote ambayo hayana msingi wa hoja makini ndani yake. Kwa hapa maaskofu nawapongeza wamesema mambo sahihi. Kama ulitegemea katika kipindi hiki ambapo watu wanatekwa, wengine wanapotea, wqengine wanapigwa risasi wao washangilie bado ningewapinga tena kwa sauti
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,882
2,000
Habari wadau kama askofu wa jimbo la Morogoro anatoa kauli kama hii ni hatari sana.
Kama wao sio sauti ya Mungu kama kipindi cha Mussa na Farao kuwato wana wa Israel na wanakejeliwa. Basi kuna sauti ya mungu anayoiamini zaidi ya hii ya kitume.

Swali sasa huyo anayemwamini ni nani? Huyo mungu wake ni yupi? Au yule Kakobe alisema yuko kiunoni?

Hii sauti ya Mungu ilikuwa wapi wakati watua wanagawana hela ya Escrow?
 
prosper cliff

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
490
500
Mene mene tekeli na Peres (umepimwa kwenye mizani na umepungua) hata belshaza alikuwa kama magu
 
bhokesa

Senior Member
Feb 23, 2018
138
250
watumishi kama hawa m nawapuuuza siku zote,wewe ni mtu wa rohoni kwanini utumie nguvu nyingi za mwilini kupambana na mambo ya rohoni?
Wewe ndo mjinga na unayeoaswa kupuuzwa. Unaweza kutesa mwili kisha utarajie roho ifurahi? Magufuri kazi yake kustawisha miili ya watu kwa maana ya maisha mazuri na maaskofu wanastawisha roho. Kila mmoja anayo nafasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom