Askofu Mkude: Kama sisi sio sauti ya Mungu, basi anaye Mungu anayemwamini yeye ndio anaisikiliza

Habari wadau kama askofu wa jimbo la Morogoro anatoa kauli kama hii ni hatari sana.
Kama wao sio sauti ya Mungu kama kipindi cha Mussa na Farao kuwato wana wa Israel na wanakejeliwa. Basi kuna sauti ya mungu anayoiamini zaidi ya hii ya kitume.

Swali sasa huyo anayemwamini ni nani? Huyo mungu wake ni yupi? Au yule Kakobe alisema yuko kiunoni?
Bashite na wale wataalam.
Time will tell.
 
Kama Swahili yenyewe mnafeli, you want us to be efficient in english . if you can't even respond to one word, you therefor have no right to critize.
Then angalao andika kwa hicho kiswahili cha kufeli kuliko uje na upupu wa broken english.
 
Back
Top Bottom