Kweli kabisaLini waliongea na Mungu?sauti yake ikoje?nzito? Nyepesi?kiume?kike? Ngurumo?waambie tunajitambua!mavazi yao &misalaba mikubwa vifuani mwao havitutishi?
HIVI ALIPOAPA KWA BIBLIA NA KUSEMA MUNGU NISAIDIE ALIKUWA NI MUNGU YUPI? KAMA NI YULE WA KIUNONI SAWA.Rais ataisikiliza katiba tu....ndio watanzania wanaunganishwa nayo.
Hivi Mungu anaisemeaga Chadema?
Mkuu Magu anasonga nyuma. Yeye mwenyewe ni shetani, ila tunashukuru Mungu sasa tumeitambua sura ya shetani.Watasema sana tu ila uncle magu songa mbele, watumishi wengine wanatumiwa na shetani kupaza sauti.
Binafsi nasema hivi songa mbele uncle Magu, kwa muda mfupi tumeona mabadiliko mengi ya matumzi bora ya kodi zetu. SONGA MBELEEE
Kwanini alishika Biblia wakati anaapa? Sasa si angeshika tu katiba. Wewe ndo una tatizo la uelewaRais ataisikiliza katiba tu....ndio watanzania wanaunganishwa nayo.
Hivi Mungu anaisemeaga Chadema?
Ukweli umewafika nyie wachumia tumbo. Bonafsi naamini kila mtu hata awe kiongozi wa dini anawajibu kukemea maovu hata kama ni mkuu wa kaya.
kama unaandika mala kwa mala, basi chote ulichoandika ni rubbish
What is Rubbish, you have not explained anything only by saying if I am a regular write then all my views are rubbish.
This explains one thing that your mind easily short circiuit. The current century clinical thinking is mandatory especially politics and Religion. People like who receive things on face value Africa will take long to realise the Chase game the west playing against Africa.
In the book of Romans the Bible says the Simple shall be deceived ( Romans 16:18).
Ndio hivyo kwangu mimi hata wakati ule walisema 'chaguo la Mungu" nilikataa kwa kuwa sikuamini hivyo. Mimi nakataa mawazo yoyote ambayo hayana msingi wa hoja makini ndani yake. Kwa hapa maaskofu nawapongeza wamesema mambo sahihi. Kama ulitegemea katika kipindi hiki ambapo watu wanatekwa, wengine wanapotea, wqengine wanapigwa risasi wao washangilie bado ningewapinga tena kwa sautiKukemea maovu ni wajibu wa kila mtu na hasa viongozi wa dini. Lakini uzoefu umeonyesha viongozi hawa wa dini mara nyingine wanachoongea kwa kudai wanakemea maovu wanakuwa na agenda za siri. Tena wanakuwa wanamtumikia shetani ila kwa kuwa wanajua wana goodwill kutoka kwa watu basi wanadhani watu wote wataona utumishi wao kwa shetani bado ni utumishi kwa Mungu. Wanaolifahamu Neno wanatambua ni wakati gani hao viongozi wetu wa dini wanamtumikia nani.
Habari wadau kama askofu wa jimbo la Morogoro anatoa kauli kama hii ni hatari sana.
Kama wao sio sauti ya Mungu kama kipindi cha Mussa na Farao kuwato wana wa Israel na wanakejeliwa. Basi kuna sauti ya mungu anayoiamini zaidi ya hii ya kitume.
Swali sasa huyo anayemwamini ni nani? Huyo mungu wake ni yupi? Au yule Kakobe alisema yuko kiunoni?
Wewe ni shetani ndo utawachoka nyambafMaaskofi sasa tutawachoka
Wewe ndo mjinga na unayeoaswa kupuuzwa. Unaweza kutesa mwili kisha utarajie roho ifurahi? Magufuri kazi yake kustawisha miili ya watu kwa maana ya maisha mazuri na maaskofu wanastawisha roho. Kila mmoja anayo nafasiwatumishi kama hawa m nawapuuuza siku zote,wewe ni mtu wa rohoni kwanini utumie nguvu nyingi za mwilini kupambana na mambo ya rohoni?
nimekucheka kwa dharau sana !Binadamu hawana jema ....mh.rais endelea kukaza tunaojielewa tunatambua juhudi zako!