mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
Naomba nijulishe iwapo Askofu Malasusa amestaafu Ukuu wa Kanisa la KKKT au ameachishwa.
Hapana hawezi laniwa.Ulaaniwe na kauli yako, tena leo hii huvuki!
Hapana, ni askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Alichostaafu ni uaskofu mkuu, so kabakia na uaskofu wa kawaida.Yupo uraiani kama muumini wa kawaida.
Ulaaniwe na kauli yako, tena leo hii huvuki!
Acha mambo ya Nyerere, Polygamist amelitoa wapi, kwa ushahidi upi usio na mashaka! Alaaniwe!Nyerere alisema kuwa mke wa kasisi hatakiwi kutuhumiwa, yani kitendo cha mke wa kasisi kutuhumiwa Nyerere alikiona ni dhambi kubwa. Sasa pale kasisi mwenyewe anapotuhumiwa, it leaves us speechless... And to my records, this is not a first time... So usitumie jina la Bwana kuwalaani watu tu ambao wanatafuta kuujua ukweli ukadhani utafanikiwa kuli mis use jina la Bwana. No it dont work that way...
Vizazi vyake vina kosa gani?.Afute andiko lake vinginevyo havuki hapa, anasema polygamist kwa mtumishi wa Bwana! Alaaniwe na vizazi vyake
Ndugu wacha mihenko upo Dunia gani Hawa Majamaa wa dini wamevaa ngozi za kondoo wanafanya mauchafu ya kutishaAfute andiko lake vinginevyo havuki hapa, anasema polygamist kwa mtumishi wa Bwana! Alaaniwe na vizazi vyake
Una ushahidi, walitembea na mkeo ukawakamata au magazeti ya udaku yanakupa taarifa. USHAHIDI USIO NA MASHAKANdugu wacha mihenko upo Dunia gani Hawa Majamaa wa dini wamevaa ngozi za kondoo wanafanya mauchafu ya kutisha
Basi tunavitoa! Lakini mbona sisi adhabu ya Adam na Hawa tunateseka nayo!Vizazi vyake vina kosa gani?.
Hapana, ni askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Alichostaafu ni uaskofu mkuu, so kabakia na uaskofu wa kawaida.
Ulaaniwe na kauli yako, tena leo hii huvuki!
SAWA NIMEACHA SAMAHANIAcha kutishana.
Kila Kanisa Lina taratibu zake za kuingia na kupumzika kwa viongozi. Askofu Malasusa alistaafu kwa mujibu wa taratibu za kanisa hilo na si Kwamba aliachishwa. Alimaliza vipindi vyake vya kuongoza akastaafu.Naomba nijulishe iwapo Askofu Malasusa amestaafu Ukuu wa Kanisa la KKKT au ameachishwa.
JUSTIFYPolygamist