Askofu Malasusa amestaafu au ameachishwa?

Ulaaniwe na kauli yako, tena leo hii huvuki!

Nyerere alisema kuwa mke wa kasisi hatakiwi kutuhumiwa, yani kitendo cha mke wa kasisi kutuhumiwa Nyerere alikiona ni dhambi kubwa. Sasa pale kasisi mwenyewe anapotuhumiwa, it leaves us speechless... And to my records, this is not a first time... So usitumie jina la Bwana kuwalaani watu tu ambao wanatafuta kuujua ukweli ukadhani utafanikiwa kuli mis use jina la Bwana. No it dont work that way...
 
Alistafu lini

]Hapana, ni askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Alichostaafu ni uaskofu mkuu, so kabakia na uaskofu[/QUOTE]
 
Nyerere alisema kuwa mke wa kasisi hatakiwi kutuhumiwa, yani kitendo cha mke wa kasisi kutuhumiwa Nyerere alikiona ni dhambi kubwa. Sasa pale kasisi mwenyewe anapotuhumiwa, it leaves us speechless... And to my records, this is not a first time... So usitumie jina la Bwana kuwalaani watu tu ambao wanatafuta kuujua ukweli ukadhani utafanikiwa kuli mis use jina la Bwana. No it dont work that way...
Acha mambo ya Nyerere, Polygamist amelitoa wapi, kwa ushahidi upi usio na mashaka! Alaaniwe!
 
Hakuna laana hapo...tumekombolewa kwa damu ya Yesu. Mkuu @CHUACHAKARA tunaishi chini ya huruma ya Mungu.
 
Naomba nijulishe iwapo Askofu Malasusa amestaafu Ukuu wa Kanisa la KKKT au ameachishwa.
Kila Kanisa Lina taratibu zake za kuingia na kupumzika kwa viongozi. Askofu Malasusa alistaafu kwa mujibu wa taratibu za kanisa hilo na si Kwamba aliachishwa. Alimaliza vipindi vyake vya kuongoza akastaafu.
Naamini muuliza swali amelala majibu yake na hivyo kuepusha upotoshaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom