Askofu Kakobe; What you are doing is not FAIR! Mungu hapendi

Madhehebu ya dini yasiyokuwa na regulatory organs wanafanya mambo ya aibu sana kwa binadamu wenzao kwa kisingizio cha imani. Hebu fikiria kama sio umbumbumbu wa mwisho kabisa au fanatism, sijui additction au what help me? Eti Mchungaji hayupo siku hiyo wanafunguliwa Cd ya mahubiri yake.Kwani hamna mchungaji mwingine? Eti Nabii kasafiri, ukigusa mti alioupanda pembeni mwa kanisa lake la upako basi ni sawa na umemgusa Nabii na matatizo yako yote ya ukwasi yameisha. Watu wamelizwa magari , na fedha nyingi kumtajirsha mjanja mmoja na wala serikali haijali kitu. Grrrrrr
 
Inasikitisha serikali ya watu milioni 40 inazuiwa kuleta maendeleo na watu 2000!!!

Ngeleja ameshindwa na 0.005% walio kwenye kitongoji kimoja

SHAME SHAME SHAME
i am sure kwamba ngeleja uwaziri BASI TENA!
he has shown NO IMPACT...!
 
Dunia haijawahi kuwa fair hata siku moja,wewe mwenyewe angalia mambo yako mengi unayowafanyia wengine,be honest,uko fair?
 
Askofu ni mtu anayeheshimiwa sana lakini nadhani aidha hana washauri au anajiamini sana. Kama mnakumbuka katika uchaguzi uliyopita alijiingiza kwenye kampeni za siasa na kwa namna alivyokuwa anahutubia mikutano na kama vile amepewa agizo kutoka kwa mola la kutuongoza tumchague nani wa kumchagua-Chama alichokuwa anakipigia debe kilishindwa vibaya sana [na kwa wenye busara waliona kuwa amejishusha hadhi].
Sasa hili la sasa linaashiria kuwa ule usemi wa 'usipo ziba ufa utajenga ukuta' Kwani wengi wa wafuasi wake wanafuata kauli zake bila kufikiri jee ikitokea siku akawaamuru mambo ya ajabu kabwetere nyingine itakuwa imetutokea na wakulaumu ni sisi wana jamii pamoja na serikali
 
Madhehebu ya dini yasiyokuwa na regulatory organs wanafanya mambo ya aibu sana kwa binadamu wenzao kwa kisingizio cha imani. Hebu fikiria kama sio umbumbumbu wa mwisho kabisa au fanatism, sijui additction au what help me? Eti Mchungaji hayupo siku hiyo wanafunguliwa Cd ya mahubiri yake.Kwani hamna mchungaji mwingine? Eti Nabii kasafiri, ukigusa mti alioupanda pembeni mwa kanisa lake la upako basi ni sawa na umemgusa Nabii na matatizo yako yote ya ukwasi yameisha. Watu wamelizwa magari , na fedha nyingi kumtajirsha mjanja mmoja na wala serikali haijali kitu. Grrrrrr

Mfamaji haya mambo yanatisha sana yaani ukisema uangalie kwa undani utawezakimbia
Kuna article moja niliwahisoma ilikuwa inaelezea jinsi shetani anavyofanya kazi yake kupitia jina la MUNGU. Watu wanaotaka utajiri kupitia injili wanakwenda kwenye nguvu za giza na kuomba msaada- wanapewa madawa ya kuwavuta watu kwenye kanisa atakaloanzisha na anapewa na masharti ikiwamo la kuchimbia vitu mbele ya kanisa au mahali msalaba unaposimamishwa; kutoruhusu mtu mwingine kupanda madhabahuni, watu kutoingia na viatu au vito vya thamani ndani ya kanisa na mengine mengi.

Na haya magiza yana uwezo wa kuziba ufahamu wa waumini wasigundue kuwa wanatumika bure!!
 
Its not fair at all!! Wakati yeye anaendelea kuingiza kipato na sadaka, waumini wa watu hata watoto sijui watakuwa wanakula nini kama muda wote mtu anashinda pale!!!!
Kwa wale wanaoshinda pale hupikiwa chakula lakini jee wanafamilia walio nyumbani??? Jee hii siyo dhambi kuwafanya watu wajione wanajitoa mhanga kwa mambo ya kidunia????? kina Al-Qaeda pia wanatumia mfumo huu ingawa wao ni a very extreme case. But who knows where all this will end someday??????????
 
Kwani hii kesi haiko mahakamani? au wanadai vije haki zao hawa kina kakobe? Mbona anaonekana ni msomi mzuri tu? kwa nini anaact kama mtu asiyejua sheria?
 
Kwa wale wanaoshinda pale hupikiwa chakula lakini jee wanafamilia walio nyumbani??? Jee hii siyo dhambi kuwafanya watu wajione wanajitoa mhanga kwa mambo ya kidunia????? kina Al-Qaeda pia wanatumia mfumo huu ingawa wao ni a very extreme case. But who knows where all this will end someday??????????
eeh!...
nimeanza kuogopa
 
Hivi wale wote wanaoshinda na kulala pale si wanafanyakazi mahali fulani? je huko makazini wamechukua likizo? au ni Jobless? na kama ni jobless basi kazi ipo.

Eeh Mungu tuhurumie sisi wakosefu.
 
Pamoja na kwamba sina maelezo ya kina ya kwanini Askofu Kakobe ameamua kutumia style hii kupinga Tanesco kupitisha nyaya karibu na kanisa lake; inanipa mashaka kama kweli njia anayotumia ni sahihi kupinga jambo hilo.

Ninalojua na kuamini binafsi ni kuwa mambo ya Mungu hatupambani kimwili, ningetegemea Kakobe angeweka nguvu yake kwenye maombi akijua kabisa kuwa Mungu ana uwezo wa kubadirisha chochote ambacho mwanadamu mwingine anataka kufanya. Sambamba na maombi angechukua hatua ya kukaa na serkali/TANESCO kwa majadiriano ili wawe na muafaka katika jambo hili bila kufikia hatua hii ambayo inaonyesha ni kuitisha serkali (kitu ambacho ni kibaya sana) na pia kuwaandaa washirika wake kwa mapambano.

Kama wapo watu walio karibu na Kakobe hapa JF au washirika wake ningewashauri tu kuwa wabadirishe style wanayotumia kupinga jambo hili. Inawezekana nia yao ni nzuri lakini njia inayotumika kupinga jambo hili siyo sahihi kwa upande wangu Kiimani na pia kiserkali.
 
Hivi wale wote wanaoshinda na kulala pale si wanafanyakazi mahali fulani? je huko makazini wamechukua likizo? au ni Jobless? na kama ni jobless basi kazi ipo.

Eeh Mungu tuhurumie sisi wakosefu.
sidhani kama kuna nafasi ya msamaha kwenye hili!...
ASIYEFANYA KAZI NA ASILE
 
Watanzania hili jambo ni la ajabu na imani ya ajabu, hawa watu wanafanya kazi gani ili kuishi? wanaungua jua pale mchana kutwa,mvua ikinyesha wamo, kama si kutitumia akili watakaa hapo hata lini? Kwanini kuwaumiza wenzako ewe Kakobe? Mungu ataulaani! au labda ametoa ajira huwa wanalipwa kama walinzi! Na serikali yetu hovyo kabisa inatunishiwa misuli na raia wake? Watu ndio hupisha miradi full stop!
 
let say tanesco wakiamua kuyang'oa mambango yale wale waumini watawafanya nini? najiuliza watawazuia kwa namna gani au wana smg nini? mbona machinga wanadhibitiwa kirahiisi tena ndani ya kariakoo? au ndo woga wa kina Ngeleja huo?
 
Its not fair at all!! Wakati yeye anaendelea kuingiza kipato na sadaka, waumini wa watu hata watoto sijui watakuwa wanakula nini kama muda wote mtu anashinda pale!!!!

Wanaamini kwamba hata ndege wa angani wanakula bila kpanda wala kuvuna hivo hivyo na wao watakula
 
NAAH!practically haiwezekani!.....

kwa kukaa pale ni thawabu mbinguni ndiyo wanayolipwa

Maana kama jamaa hawalipi hapa duniani itakuwa ni wizi,kwani wanafanya kazi ya kulinda eneo la kanisa na wanaacha shughuli zao nyingine ambazo zingewaingizia kipato.

Muhubiri mzuri ni yule anayewapa waumini wake uhuru wa maamuzi,huyu jamaa anawaamulia kila kitu waumini wake.
 
Back
Top Bottom