Askofu Kakobe; What you are doing is not FAIR! Mungu hapendi

Geoff umenena
Imani ni kama madawa ya kulevya yaani inawezamtoa mtu akili kabisa na kufanya mambo ya kutisha. Angalia wale wanaojitoa muhanga kwa minajili ya kuipigania imani zao! Na sasa hawa wa Kakobe. Jamani kwa nini hatujifunzi kutokana na yatokeayo? Ninamkumbuka Kibwetere mimi.

dini ni sindano ya ganzi
 
yaani najiuliza a very simple question. Kama ana uwezo kiasi hicho wa kuponya na kutoa pepo, kinachomfanya asi'wazuie' tanesco kimiujiza ni nini? kwa nini awashindishe watu na kuwalaza hapo?
 
yaani najiuliza a very simple question. Kama ana uwezo kiasi hicho wa kuponya na kutoa pepo, kinachomfanya asi'wazuie' tanesco kimiujiza ni nini? kwa nini awashindishe watu na kuwalaza hapo?

Kaizer my cousin... Kakobe ni MHUJUMU UCHUMI PERIOD!!!
  • anahujumu infrastructure development
  • anaweka watu kazini hawalipi usiku mzima
  • ameondoa nguvu kazi (wanaolinda kwake) kwenye kuleta maendeleo
sasa sijui kuhujumu uchumi ni dhambi au vipi?
 
siku zote mtu akiwa na imani kupita kiasi thinking inakuwa zero kabisa, sidhani kama yeye mwenyewe (Kakobe) ana imani kama hiyo anayowapa waumini wake, ambao almost wanaelekea kwenye uchizi,
mimi nadhani serikali wanawajibu wa kupima hizi imani na kuzifuta inapobidi, uwezi kuwalaza watu wazima nje wewe mwenyewe upo kwenye kiyoyozi na familia yako kisa mabango, hivi hayo mabango yamewekwa na mizimu au ni nini?
 
Jicho la tatu, wale wote pale ni watu wazima ina maana hakuna wa kuweza kutambua wanachokifanya ni upuuzi? wakifa kwa malaria cause of mbu watamwona MUngu kweli? na machozi ya familia zao esp.watoto wanakufa kwa njaa watajibu nini?
AU WAMEFANYWA MANDONDOCHA? inawezekana mh. ni MUHA wataalamu wa nguvu hizo za giza.:confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused:......lol.
 
....:D:D
naona una utani na ''NYEPESI''
 
KOMMENT something bana!....mbona mimi nimee....

The Following User Says Thank You to mwanahalisi For This Useful Post: Geoff (Today)

haya mpwa wangu ntafanyaje

zab 105:15 msiwaseme wala msiwaguse masihi wa bwana

upo mpwa
 
unajua mpwa kweli kuna mambomengine kibinadamu yanaumiza. Mfano afadhali hilo la watu wanajiendeea wenyewe mpwa hili la mke wangu asisuke rasta za mashetani!!!!

Hili ni majaribu, ukitoka nje sijui inakuwaje
 
Wajinga ndio waliwao!!

Kwa nini hawajiulizi askofu wao mwenyewe na mkewe hawakeshi mbona hawakeshi???? Askofu Kakobe anawazuga dakika kadhaa kisha anatambaa zake, huku akiacha kondoo wakitafunwa na MBU!!

Kweli imani ni sawa na madawa ya kulevya!!
 
Kakobe- sio...Hivi ulisha wahi kuji uliza kakobe amesha wahi kujenga shule????
 
Kakobe- sio...Hivi ulisha wahi kuji uliza kakobe amesha wahi kujenga shule????
-sijawahi kusikia kwakweli!............

Wajinga ndio waliwao!!

Kwa nini hawajiulizi askofu wao mwenyewe na mkewe hawakeshi mbona hawakeshi???? Askofu Kakobe anawazuga dakika kadhaa kisha anatambaa zake, huku akiacha kondoo wakitafunwa na MBU!!

Kweli imani ni sawa na madawa ya kulevya!!
...anaitwa ''MPAKWA-MAFUTA WA BWANA''
 
sikuwahi kuona ''mgomo'' wa staili hiyo kwenye historia ya wokovu(kuanzia adam mpaka yesu)...!nashindwa kuelewa unatumia clause ipi katika biblia takatifu kuwakeshesha waume za watu,wake za watu,wazazi wa familia kadhaa usiku na mchana kwa ajili ya swala la kanisa na tanesko!YOU CAN'T BE SERIOUS!

ninapita hapo sasa ni mwezi umekatika lazima utakuta watu aidha wanaungua na jua au wanaumwa na mbu!....THIS IS NOT RIGHT!

  • kwanza unaathiri pato vipato vta familia nyingi sana ambazo ni masikini kwasabab u asilimia kubwa ya watendaji ndio unaowaweka hapo
  • Pili unaonyesha picha mbaya ki-imani!ninavyoifahamu mimi imani ya kristu ni kwamba MUNGU ANAWEZA KUJIBU MAOMBI!...hawezi kujibu maandamano!rejea vipengele kadhaa vya biblia
MY TAKE:kuna njia nyingine za kudai mnachokiamini ni haki yenu,lakini hilo mnalolifanya sasa ni SIASA!injili na siasa wapi na wapi bwana...!

Huwezi kuwa kiongozi wa jamii kubwa bila washauri. Sizungumzii watoa maoni maana kuna tofauti kubwa kati ya maoni na ushauri. Je Askofu Kakobe ana washauri?

Mshauri ni mtu ambaye anakupa mawazo kwa nia njema ya kukusaidia hata kama yanakwenda tofauti na msimamo wako. Mshauri ni mtu ambaye anakufanya ubadili msimamo mbaya na kufuata jambo jema kwa kuwa sisi binadamu kuna wakati hata uwe mtume Petro bado unaweza kutingwa tu na ndiyo maana anahitajika Mtume Paulo kukurudisha kwenye mstari.

Mtoa maoni hana nguvu, kwa kuwa ni haki ya kila mtu mradi tu usivunje sheria. Watoa maoni hupuuzwa mara nyingi tu.

Sasa nauliza, Askofu Kakobe ana watu wanaomshauri au kila aliye karibu naye ni yes Sir, yes Sir?

Maana kuna watu wanadhani kuwa na kipawa cha utumishi wa Mungu ndiyo kuwa sahihi kwenye kila kitu. Ukiwaza hivyo ina maana unataka kusema umewazidi mitume wote walioandikwa kwenye Biblia. Yaani kwa kifupi uko nje ya Biblia, usije ukajisifu.
 
Kakobe ana haki ya kukomaa kwa hili hadi kieleweke kwani kuna kila dalili za uonevu unaosukumwa na kiburi cha kwani hawa ni nani? Wana faida gani katika jamii? Mbona sio dhehebu wanalosali waheshimiwa? Ikimbukwe kuwa eneo alilojengwa kanisa lake lilikuwa mbali sana na barabara na upanizi wa ila barabara mpya ndio iliyokula eneo kubwa la kanisa na kuila parking yake yote. Kakobe alitoa ushirikiano mkubwa serikalini kwa mwitikio wa kukibali. Sasa ule ukondoo wake unataka kugeuzwa uzuzu maana hata kile kidogo alichobaki nacho inatakiwa anyanganywe. Huu mchoro wa nyaya za umeme inasemekana awali ulikuwa umechorwa kupita ngambo ya pili lakini raia mmoja mmoja walipokataa ikaonekana njia rahisi ni kuhamishia kwa upande mwingine kwa hao walokole wajinga wajinga. Acheni hizo jamani, mbona waislamu waliokataa makaburi yao kuhamishwa ili kuwezesha barabara kupita waliheshimiwa? Au kuna mtu au tasisi itakayothubutu kuuvunja ule ukuta wa azania front kuruhusu upanuzi wa ile barabara iliyo uchochoro pale japo pale ni ua wa mbele wa nchi? Huwezi sema ati maendeleo yalio kwa ajili ya watu ni muhimu kuliko hao watu. Kuheshimiana na kuthaminiana ndio msingi imara wa maendeleo endelevu kwetu sisi na vizazi vijavyo!!
 
Kiby
hapa watu hawabishi wala kupingana na Kakobe kuhusu madai ya haki yake. Issue hapa ni kuwakeshesha na kuwalaza watu pale nje ya kanisa. Njia aliyoitumia kuzuia agizo hili ndiyo inayogomba hapa kama sikosei.
 
Back
Top Bottom