Hizi taarifa umezipata wapi.Kama umezipata kwa hawa hawa Wizara ya Afya ambao ni trained by the NWO system,usiziamini,na mimi siziamini.Chanjo ni kwa ugonjwa wa virusi tuu siyo kila ugonjwa! Magonjwa yote yanayoenezwa na virusi havina tiba, namna pekee ya kuzuia ni kwa chanjo! Malaria haina tiba? Husababishwa na virusi
Yeye gwajima ndo chanzo Cha tafit huku hakuna hata paper moja aliyoandika ya masuala ya afyaukishindwa kuiamini wizara ya Afya na WHO ukamuamini gwajima kama chanzo chako cha tafiti za Afya , utakua bonge la fala yan sijawai ona
We endelea kumuamin gwajimaHizi taarifa umezipata wapi.Kama umezipata kwa hawa hawa Wizara ya Afya ambao ni trained by the NWO system,usiziamini,na mimi siziamini.
Nimegundua in the hard way kwamba tunaowaita madaktari actually wamafundishwa na a system I call the NWO evil system,ili watudanganye na wao bila kujua hatimaye watupeleke kwenye slaughter palour!Many Doctors are enemies of humanity,ingawa wapo wengi ambao sio compromized,na hawa ndio wanaotoboa siri za uovu unaoendelea.
Mkuu hivi unajua kwamba hii health crisis inayoendelea imechangiwa na kiwango kikubwa na medication na other protocols ambazo ni prescriptions za madaktari?Mimi siku hizi naogopa hospitali kama ukoma!Naogopa hasa ninaposikia cases za organ harvesting for business, muders Ulaya,India,South America na America yenyewe ya wagonjwa wa Corona ili ionekana kwamba C-19 is real.Inatisha sana to be frank.
Tena hewa chafu!😂😂😂😂😂
Nilifikiri anatufafanunulia usalama wa hii chanjo kumbe hewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo rais Samia ni mwanasayansi sababu ana hamashisha chanjoMimi nilifikiri mwanasayansi nguli ndo anatoa huu ujumbe akiwa na evidence zote za kiutafiti kumbe ni porojo za kakobe pasipo ku quote maandiko yapi yanaamrisha mtu afanye jambo ambalo ni kinyume na dhamiri na utashi wake, wewe jamaa ni bogus sana aisee.....
Mnaohamasishwa ni nyie mazwazwa, mimi nipo informed......huwezi kumhamasisha Tyson namna ya kurusha ngumi.Kwa hiyo rais Samia ni mwanasayansi sababu ana hamashisha chanjo
Hizo tafiti ambazo ziko funded na NWO agents na ambazo themes wanatoa wao!Papers written from results of such projects are not trustworthy,kwa kuwa zina save the intrests of the NWO agender.Sasa Bill Gates akikupa an RT-PCR kit na hela akakuambia uchukue samples in all big towns in Tanzania halafu u-publish results, results hizo zitakuwa zina save intrests za nchi kweli.No zina save interests za his masters,the NWO cabal.Tuwe diagnostic jamani,tusinunuliwe kirahisi hivyo.Eti papers,theme inatokana na agenda ya nchi?Yeye gwajima ndo chanzo Cha tafit huku hakuna hata paper moja aliyoandika ya masuala ya afya
Mimi simuamini Gwajima,Gwajima ananiamini mimi kwa kuwa mimi ni mtaalamu mbobezi kwenye maswala ya viruses,I am a Virologiat.Upo hapo.We endelea kumuamin gwajima
Kala dollar za akina Bill Gates mkuu!Huyu mzee siku hizi anaongea nonsense tupu, sijui kala maharage ya wapi huyu.
Mbona wakati wa jpm aliungana na watz kupinga chanjo? Kapatwa na Nini? Twende na Gwaj kwanza.achanje kwanza yeye tupate mfano.Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
View attachment 1891773
Absolutely !! The focus is to always get well prepared in advance for interventions.ukishindwa kuiamini wizara ya Afya na WHO ukamuamini gwajima kama chanzo chako cha tafiti za Afya , utakua bonge la fala yan sijawai ona
We jamaa bwana huko mitandaoni unako dhani wewe kwa uelewa wako ndio chanzo chako cha kuaminika , wanao post ni wenye akili kama za gwajima na wewe, maana mpo hata huko, mtandaoni hata ukitaka kupata madhara ya kula utaletewa ya kutosha kwa sababu waandishi wa mitandao ndio nyie nyie usidhan ya mitandaoni yanatoka kwa malaika.Huhitaji kujifunza kwa Gwajima kujua kwamba inayoitwa chanjo ya C-19 ni mbaya mkuu.Ni mjinga tu anayeweza kuwaza hivyo,kwa kuwa taarifa za ubaya wa hii chanjo zimejaa tele kwenye mtandao,ni swala la kuzitafuta tu.Ungekuwa na akili ungewaza,kwani Gwajima yeye kazipataje?Kama wewe ni mbumbumbu ni wewe.Sisi wengine tunajua,tena labda hata zaidi ya Gwajima.
Hayo unayo yaamini wewe yanatoka wapi mkuu.Si through communication.Mbona PhD zinapatikana humu humu kwenye mtandao mkuu.Mtu misled ndiye anayeweza kuwa misled,if you are not misled,you can't be misled.We jamaa bwana huko mitandaoni unako dhani wewe kwa uelewa wako ndio chanzo chako cha kuaminika , wanao post ni wenye akili kama za gwajima na wewe, maana mpo hata huko, mtandaoni hata ukitaka kupata madhara ya kula utaletewa ya kutosha kwa sababu waandishi wa mitandao ndio nyie nyie usidhan ya mitandaoni yanatoka kwa malaika.