Askofu Gwajima: Rais Magufuli asijaribiwe

Ninyi mnaosema mnashindwa kumuelewa Gwajima kwa kusema Magufuli asijaribiwe mnataka asemeje?Mnataka aseme mjaribuni rais?Kuna misimamo mingine haifai kuungwa mkono kama ile ya maandamano ya ukuta.Ni mapema sana kuanzisha mitafaruku kama hiyo wakati tunaona mh Rais anavyojitahidi kurudisha nidhamu iliyopotea kwenye utumishi wa umma na kufuta mazoea ya wizi yaliyozoeleka serikalini na kwenye chama chake cha siasa.Tunahitaji kuwa kitu kimoja na kumuunga mkono mh Rais licha ya madhaifu yake.Tunaweza kuwa na njia mbadala ya kupinga lakini si hii ya kulazimisha mapambano na vyombo vya dola kwa kukiuka amri za jeshi la polisi
 
Hata wao wana UKUTA wanajua kazi nzuri anayofanya rais Dr. JPM, basi tu shobo zao. Jana si umemuona mzee Ma-mvi sasa sijui watamuita msaliti.
 
kiongozi wa dini anasema magu asijaribiwe,ilihali ni MTU anaejua maandiko vzr kwamba nani hajaribiwi!!hlf mnafurahia hiyo kauli??jaribuni kutafakari vzr.gwajima anajua anaongea nn nyie
Sasa unamjaribu rais ili iweje? Mradi tu unamjaribu? Ni ujinga Ujinga tu.
 


Safi sana Kibaravumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…