GE2025 Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke

GE2025 Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na nitaendelea kuwepo"

"Mara nyingi Watu wasiopenda mema, ukizungumza tu jambo lolote la kujaribu kusahihisha au kuweka sawa wanasema anataka kuhama CCM, Mimi sihami CCM nipo sana, tunabanana humu humu ndani mpaka paeleweke, pakae vizuri"

Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

 
Back
Top Bottom