#COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

Dawa ya moto ni moto, kaaa chonjo
 
Mwendazake alijitahidi sana kuwapa nguvu sukuma gang. Ukiangalia hii move utangundua wapinga chanjo wote ni sukuma gang. Wanahatarisha afya zao kulinda legacy ya mwendazake....

Ukiangalia kwa makini hii ni vita ya Legacy...
Kumbe sukuma gang ni wengi kiasi hiki hapa nchini?

Maana huku mtaani kila mtu hana hamu na hiyo michanjo!
 
Nimemsikiliza leo , anatapatapa tu hata hana mtiririko. Unaweza dhani amechanganyikiwa .
Amekataza watu kupinga chanjo ya korona.
Lakini ana watu wake anaowashauri wasichanje. Leo haongei anatajataja tu.
Kama nilivyosema hapa asubui,,, hajatoa fact hata moja, na sababu ni kuwa anajaribu kuukumbatia uongo ambao umeshajulikana ni uongo.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dalali la machanjo unahangaika kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…