Ndio Wabunge wa CCM Hawa. Hanna kitu kabisaNajisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima, Mungu atusaidie kama Taifa![]()
![]()
Birds of the same feather flock together
Kwahiyo kuzuia kuagiza chuma nje ndio tu sign mkataba huu wa kinyonyaji? Askofu anasema kuna addendum inasema huko mbele serikali itakuwa na room ya kununua share zaidi!GWAJIMA YUPO SAHIHI-INASIKITISHA WATANZANIA WENGI HAWANA UELEWA ILA GwAJIMA YUPO SAHIHI NA NDIO MAANA AMEWAAMBIA WALETE DOCUMENTS NA MIKATABA MEZANI ILI WADISCUS KWA HOJA NA PROVE...KUNAWATU WANADAI MIKATABA HAIPO SAWA NI YAKINYONYAJI KWASABABU WANATAKA TUENDELEE KUNUNUA CHUMA NJE KWA MABILIONI YA PESA HUKU WAKITUMIA KIVULI KUWA MIKATSBA NI YAKINYONYAJI IMEKUWAJE WATU KAMA 30 WENYE UWEZO WAKASAINI MIKATABA MIWILI KWA MUDA TOFAUTI NA INCENTIVES BAADAE WENGINE WAJE KUSEMA SAMAHANI MIKATABA ILIKUWA YAKINYONYAJI WAKATI WANASAINI GWAJIMA ALIKUWEPO? GWAJIMA HANUFAIKI CHOCHOTE KATIKA HILI ILA ANATETEA MASLAH YA NCH KUVUNJA MKATABA NI GARAMA KUBWA NA PIA KUNUNUA CHUMA NJE CHA KUJENGA RELI NI GARAMA KUBWA KWA NINI TUSIENDELEE NA MKATABA WAKACHIMBA CHUMA TUKAJENGA REL THEN WAKISHINDWA WAO NDO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA NA SIO SS MAANA KUNAWAJANJA WANATAKA TUENDELEE KUAGIZA CHUMA NJE WAPIGE PESA GWAJIMA KAJITOA NAFSI YAKE KWAHILI.... HALAFU MTU UJUI CHOCHOTE UNAMPONDA ILA SISHANGAI HATA MAGUFULI ALIPINGWA MPAKA ALIPOKUFA.
Hana akili huyo,masuala ya investments waachiwe wataalamu sio kina Gwajima..Askofu Gwajima,
Nimesikiliza mchango wako bungeni ukitetea mkataba wa hao wachina kuwa una manufaa makubwa na kwamba tusipo implement makubaliano tutashtakiwa!
Niwe mkweli, baada ya kusikia michango ya wabunge wengine nimekuwa very disappointed na Askofu Gwajima! Mkataba wa miaka mia moja, malighafi ya kwetu, mwekezaji aweke around 20% ya gharama za mradi na 80% iliyobaki tusaidiane kukopa halafu baadae adai more incentive na pia tumpe share 80%? Seriously unasimama kutetea?
Umetuvua nguo tuliobaki na imani kwako Askofu! Mradi wa Liganga kama mkataba ndio huo ni aibu kutokea mtu kuutetea! Mbunge wa Simanjiro ametuhumu hadi hao unaotetea hiyo kamati kuwa na weledi kuwa hata ufadhili wa ku visit au kufanya due diligence juu ya huyo mbia walifadhiliwa na mhusika! Unfortunately ukaendelea kukaza shingo kutetea maslahi ya huo mkataba!
Najisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima [emoji25] , Mungu atusaidie kama Taifa [emoji35]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Aisee nimemsikia, kwa kifupi Gwajima hana uelewa kuhusu mradi wa Liganga isipokuwa inaonekana kuna wenye akili wame m-plant kwa sababu ya Umaarufu wake kwamba Bunge lingehadaika na kukubali uozo ambao walimpanga Gwaji Boy!!!Najisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima, Mungu atusaidie kama Taifa![]()
![]()
Unatetea ujinga. Bishop, namkubali sana ila kwa hili amechemka. By the way, kuna ugonjwa mbaya sana kwa hawa viongozi mbona huwa wako sharp kuingia mikataba ambayo most of it ni liability kwa Taifa?.. Yani ka kikundi ka watu kanalikosesha taifa zima kwa maslahi ya matumbo yao tu.GWAJIMA YUPO SAHIHI-INASIKITISHA WATANZANIA WENGI HAWANA UELEWA ILA GwAJIMA YUPO SAHIHI NA NDIO MAANA AMEWAAMBIA WALETE DOCUMENTS NA MIKATABA MEZANI ILI WADISCUS KWA HOJA NA PROVE...KUNAWATU WANADAI MIKATABA HAIPO SAWA NI YAKINYONYAJI KWASABABU WANATAKA TUENDELEE KUNUNUA CHUMA NJE KWA MABILIONI YA PESA HUKU WAKITUMIA KIVULI KUWA MIKATSBA NI YAKINYONYAJI IMEKUWAJE WATU KAMA 30 WENYE UWEZO WAKASAINI MIKATABA MIWILI KWA MUDA TOFAUTI NA INCENTIVES BAADAE WENGINE WAJE KUSEMA SAMAHANI MIKATABA ILIKUWA YAKINYONYAJI WAKATI WANASAINI GWAJIMA ALIKUWEPO? GWAJIMA HANUFAIKI CHOCHOTE KATIKA HILI ILA ANATETEA MASLAH YA NCH KUVUNJA MKATABA NI GARAMA KUBWA NA PIA KUNUNUA CHUMA NJE CHA KUJENGA RELI NI GARAMA KUBWA KWA NINI TUSIENDELEE NA MKATABA WAKACHIMBA CHUMA TUKAJENGA REL THEN WAKISHINDWA WAO NDO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA NA SIO SS MAANA KUNAWAJANJA WANATAKA TUENDELEE KUAGIZA CHUMA NJE WAPIGE PESA GWAJIMA KAJITOA NAFSI YAKE KWAHILI.... HALAFU MTU UJUI CHOCHOTE UNAMPONDA ILA SISHANGAI HATA MAGUFULI ALIPINGWA MPAKA ALIPOKUFA.
Soma comments zimewekwa clipsUngeweka clip hapo tuisikie!
BILA clip zinakuwa ni porojo kama porojo tu!
Unaposema umetokea kwa gwajima unamaanisha ni baba yako? Yan kwamba kabla hujazaliwa ulikuwa unaishi kwenye mbupu zake?Najisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima, Mungu atusaidie kama Taifa![]()
![]()
Tuweke IMANI ktk mifumo Bora,Askofu Gwajima,
Nimesikiliza mchango wako bungeni ukitetea mkataba wa hao wachina kuwa una manufaa makubwa na kwamba tusipo implement makubaliano tutashtakiwa!
Niwe mkweli, baada ya kusikia michango ya wabunge wengine nimekuwa very disappointed na Askofu Gwajima! Mkataba wa miaka mia moja, malighafi ya kwetu, mwekezaji aweke around 20% ya gharama za mradi na 80% iliyobaki tusaidiane kukopa halafu baadae adai more incentive na pia tumpe share 80%? Seriously unasimama kutetea?
Umetuvua nguo tuliobaki na imani kwako Askofu! Mradi wa Liganga kama mkataba ndio huo ni aibu kutokea mtu kuutetea! Mbunge wa Simanjiro ametuhumu hadi hao unaotetea hiyo kamati kuwa na weledi kuwa hata ufadhili wa ku visit au kufanya due diligence juu ya huyo mbia walifadhiliwa na mhusika! Unfortunately ukaendelea kukaza shingo kutetea maslahi ya huo mkataba!
Najisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima [emoji25] , Mungu atusaidie kama Taifa [emoji35]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Pamoja na mapungufu ya Hoja ya Gwajima,Aisee nimemsikia, kwa kifupi Gwajima hana uelewa kuhusu mradi wa Liganga isipokuwa inaonekana kuna wenye akili wame m-plant kwa sababu ya Umaarufu wake kwamba Bunge lingehadaika na kukubali uozo ambao walimpanga Gwaji Boy!!!
Ana vile vi-element vya ubishi wa kishamba wa kina Musukuma na wasukuma wengine!!!
Hivi wale Kondoo kamwachia nani? MUTAWAJUA KWA MATENDO YAO...Gwajima ni mojawapo ya watu wenye akili ndogo sana ila mwenye kelele, confidence na makeke mengi. Hoja zake nyingi huwa ni moot.