Askofu Gwajima hajui kwamba raia wanapaswa ku- clip mabawa yao ili kiongozi awe kiongozi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,100
2,708
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa perfect?

Kwa hiyo ndio nataka nimweleze Askofu Gwajima kiongozi,yaani rais,hawezi kuongoza nchi wakati kila mtu anataka kuwa kimbelembele,kila mtu anataka kuonekana yeye zaidi. Wajibu wa raia ni kufanya mambo kusaidia raia wenzao. Lengo la raia lisiwe kuonyesha kwamba yeye anaweza kuwa kiongozi kama rais au kupita hata rais.

Sasa wapo watu wanaleta vurugu wanataka wajadili Katiba Mpya,muhimu,wanasema,kupunguza madaraka ya rais,kupunguza mateso na ukandamizaji. And yet ulipotokea mtafaruku wakati wanajadili Katiba Mpya,walikuwa hawagombani kuhusu madaraka ya rais. Walikuwa wanagombana"serikali mbili,serikali tatu" . Nadhani huo ndio ulikuwa ugomvi wao mkubwa.

Sasa,sisi tuna matatizo gani? Haya matatizo yeti yanayotokea day to day,yanahusu serikali mbili au serikali tatu?
Yule Seif Sharriff Hamad ndiye alikuwa anagombea sana hizo serikali tatu. Na sasa,baada ya yule kuondoka tunayo nafasi nzuri ya kuikamilisha hii kazi ya Katiba. Bill Clinton alikuwa anasema wakati Fulani,"Kama sisi ni Democrats au Republicans lazima tukubaliane kwamba kila mtu anahitaji kula na kushiba." Kwa hiyo isitokee hali ambapo Democrats wakiikamata Ikulu,Republicans wanalala njaa.

Lakini tulikuwa tunaongea kuhusu ku- clip mabawa. Kule katika Kanisa lake,wafuasi wake,waumini pale wana- clip mabawa ili Askofu Gwajima awe kiongozi. Katika familia,watoto wana-clip mabawa ili wazazi waongoze. 'Mtoto' ana nguvu kuliko baba,mtoto wa miaka 18,lakini ana- clip mabawa ili baba yake aongoze familia. Mike Tyson, kumbuka,alikuwa world champion alipokuwa na miaka 19.

Kwa hiyo tukumbuke mafundisho ya Kristu, watendee wengine unavyotaka wao wakutendee wewe halafu tutakuwa na amani,hiyo inawezekana tu watu wakiacha ubinafsi, na kuacha ubinafsi ndiyo ku- clip mabawa,kuwafikuria wengi e,siyo kujifikiria wewe peke yako,to set aside yourself.

Watu wanashangaa,wanakutana na msichana mpole,mnyekevu sana kwao,wanakuwa very impressed,wanashindwa kuelewa kwamba yule msichana ni mpole by nature because there is no person inside her.
 
Back
Top Bottom