Timing ya Gwajima imekuwa nzuri sana.nadhan chama chochote cha siasa kingetokea kutembelea hii agenda ya kupinga chanjo kwa hoja nzito km za Gwajima ingewapa credit kubwa kuliko hayo madai ya katiba mpya.huhitaji akili kubwa kuwawin watanzania sisi ni watu wa matukio nashangaa why vyama vya upinzani vimeamua kusapoti chanjo wakati kuna maswali magumu ya kukuuliza kabla ya kusapoti chanjo