Askofu Gwajima atofautiana na Ruge Mutahaba kuhusu tukio la Clouds Media!!

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Tukio la Clouds ambako ndiyo habari ya mjini kwa wiki hii limezua mambo mengi sana,maana kila mmoja anaongea anachojisikia kuongea kiasi kutojua kipi ni kipi haswa.

Kwanza ni tofauti ya taarifa ya matumizi ya silaha kwa askari waliongoza na Mkuu wa Mkoa kwa wafanyakazi wa Clouds.

Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake ktk Ibada ya Jpili kuwa baadhi walipigwa mtama,wengine walipigwa na Kitako cha bunduki na mwingine alinyoshewa mtutu wa bunduki.

Wakati Ruge akiongea mubashara na Clouds TV kipindi cha 360 na Redio Clouds ulisema hakuna mfanyakazi yoyote aliyepigwa wala kuumizwa kwa chochote kile na huyu ndiye mkuu wao.

Na hata katika Taarifa ya Tume ya muda ya Nape sijasikia lolote kuhusu kuwa silaha ilitumika au kuna mfanyakazi aliyeumizwa na silaha au askari wakati wa ile visit yao pale Clouds Media

Swali langu:
1.kwanini Askofu Gwajima ana publish mambo ambayo hayakutokea ?

2.Lengo lake ni nini kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinafanya kazi vizuri na kwa nidhamu ya hali juu sana kama kiapo cha utii?

3.Kwanini Askofu Gwajima ameacha jambo lake la msingi la kuanzisha kanisani ambako ni kuhubiri amani,upendo,kujua MUNGU, kumpenda jirani yako kama nafasi yako,kuwasaidia wasiojiweza,wagonjwa,wajane,yatima n.k.

Na kubwa zaidi kuhakikisha kila mmoja kurithi ufalme wa mbinguni?
 
Kwenye kuhubiri huwezi acha kukemea maovu maana kwayo ndo amani huvurugika.
Katika kuhubiri kutia chumvi ruksa. Rejea story za Daudi, Goriath na Samson na Derila. Hii ufanywa maksudi ili kuwafanya waamini kujitenga na huyo mtu au hao waovu na hatimae kumkataa shetani.
 
Tusijifanye kama hatujui,
huyu bwana(Gwajima),
ameshawahi kukutana na misukosuko mingi ikiwemo kukamatwa, kuteswa na pia kuvunjwa vunjwa miguu ili asitembee jambo lilifanya na wale viumbe wafata amri..

Mnakumbuka Nabii Elia alikuwa anawafanyaje wale wote waliokuwa wanataka kumkamata.?.
JIBU:

NABII ELIA ALIKUWA ANAUAMURU MOTO KUTOKA MBINGUNI UWATEKETEZE NA KUWAUA...KABISA ...

Je gwajima naye afanye hivyo hivyo.?
 
Tukio la Clouds ambako ndiyo habari ya mjini kwa wiki hii limezua mambo mengi sana,maana kila mmoja anaongea anachojisikia kuongea kiasi kutojua kipi ni kipi haswa.

Kwanza ni tofauti ya taarifa ya matumizi ya silaha kwa askari waliongoza na Mkuu wa Mkoa kwa wafanyakazi wa Clouds.

Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake ktk Ibada ya Jpili kuwa baadhi walipigwa mtama,wengine walipigwa na Kitako cha bunduki na mwingine alinyoshewa mtutu wa bunduki.

Wakati Ruge akiongea mubashara na Clouds TV kipindi cha 360 na Redio Clouds ulisema hakuna mfanyakazi yoyote aliyepigwa wala kuumizwa kwa chochote kile na huyu ndiye mkuu wao.

Na hata katika Taarifa ya Tume ya muda ya Nape sijasikia lolote kuhusu kuwa silaha ilitumika au kuna mfanyakazi aliyeumizwa na silaha au askari wakati wa ile visit yao pale Clouds Media

Swali langu:
1.kwanini Askofu Gwajima ana publish mambo ambayo hayakutokea ?

2.Lengo lake ni nini kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinafanya kazi vizuri na kwa nidhamu ya hali juu sana kama kiapo cha utii?

3.Kwanini Askofu Gwajima ameacha jambo lake la msingi la kuanzisha kanisani ambako ni kuhubiri amani,upendo,kujua MUNGU, kumpenda jirani yako kama nafasi yako,kuwasaidia wasiojiweza,wagonjwa,wajane,yatima n.k.

Na kubwa zaidi kuhakikisha kila mmoja kurithi ufalme wa mbinguni?
Bila kusema vile watu wengi wasingetoa sadaka
 
Miguu ilivunjwa vunjwa halafu ikaponaje!!??
Tusijifanye kama hatujui,
huyu bwana(Gwajima),
ameshawahi kukutana na misukosuko mingi ikiwemo kukamatwa, kuteswa na pia kuvunjwa vunjwa miguu ili asitembee jambo lilifanya na wale viumbe wafata amri..

Mnakumbuka Nabii Elia alikuwa anawafanyaje wale wote waliokuwa wanataka kumkamata.?.
JIBU:

NABII ELIA ALIKUWA ANAUAMURU MOTO KUTOKA MBINGUNI UWATEKETEZE NA KUWAUA...KABISA ...

Je gwajima naye afanye hivyo hivyo.?
 
Tusijifanye kama hatujui,
huyu bwana(Gwajima),
ameshawahi kukutana na misukosuko mingi ikiwemo kukamatwa, kuteswa na pia kuvunjwa vunjwa miguu ili asitembee jambo lilifanya na wale viumbe wafata amri..

Mnakumbuka Nabii Elia alikuwa anawafanyaje wale wote waliokuwa wanataka kumkamata.?.
JIBU:

NABII ELIA ALIKUWA ANAUAMURU MOTO KUTOKA MBINGUNI UWATEKETEZE NA KUWAUA...KABISA ...

Je gwajima naye afanye hivyo hivyo.?
Pia msisahau kuwa Gwajima alisema kila anachokisema in mungu kasema. Hivyo msibishane na mungu wenu
 
Tukio la Clouds ambako ndiyo habari ya mjini kwa wiki hii limezua mambo mengi sana,maana kila mmoja anaongea anachojisikia kuongea kiasi kutojua kipi ni kipi haswa.

Kwanza ni tofauti ya taarifa ya matumizi ya silaha kwa askari waliongoza na Mkuu wa Mkoa kwa wafanyakazi wa Clouds.

Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake ktk Ibada ya Jpili kuwa baadhi walipigwa mtama,wengine walipigwa na Kitako cha bunduki na mwingine alinyoshewa mtutu wa bunduki.

Wakati Ruge akiongea mubashara na Clouds TV kipindi cha 360 na Redio Clouds ulisema hakuna mfanyakazi yoyote aliyepigwa wala kuumizwa kwa chochote kile na huyu ndiye mkuu wao.

Na hata katika Taarifa ya Tume ya muda ya Nape sijasikia lolote kuhusu kuwa silaha ilitumika au kuna mfanyakazi aliyeumizwa na silaha au askari wakati wa ile visit yao pale Clouds Media

Swali langu:
1.kwanini Askofu Gwajima ana publish mambo ambayo hayakutokea ?

2.Lengo lake ni nini kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinafanya kazi vizuri na kwa nidhamu ya hali juu sana kama kiapo cha utii?

3.Kwanini Askofu Gwajima ameacha jambo lake la msingi la kuanzisha kanisani ambako ni kuhubiri amani,upendo,kujua MUNGU, kumpenda jirani yako kama nafasi yako,kuwasaidia wasiojiweza,wagonjwa,wajane,yatima n.k.

Na kubwa zaidi kuhakikisha kila mmoja kurithi ufalme wa mbinguni?
Wewe tunajua lengo lako ni kujikomba yeye alikuwa abatuhabarisha na ukweli umejulikana Nyambafu. Dar Kleruu yuko wapi leo na ubabe wake
 
Hakuna anayajikomba wala hakuna mbabe bwana ila watz hatutaki kutumia akili zetu.Tumeshikiliwa akili na waliopo nje ya nchi Na Askofu Gwajima.

Mmeamua kutoandika au kuonyesha au kutangaza chochote cha Paul Makonda ktk vyombo vya Habari nasubiri nione utekelezaji wake!!

Kumbukeni na 2020 ni Karibu sana tuanze kujiandaa!!
 
"Sitambui uwepo wa taifa la Palestina na pia sitambui uwepo wa Israel sababu wapalestina ni wapumbavu na waisrael ni wapumbavu pia-Muammar Gaddafi".

Hayo ndiyo maoni yangu juu hao uliowataja.

Kama hakuna aliyepigwa,wanaenda kupewa pole za nini? Za kutembelewa na askari wenye silaha?

Muda mwingi unapotea kwenye mambo ya kijinga nchi hii.
 
Unga wa ndele umekukolea.

Tukio la Clouds ambako ndiyo habari ya mjini kwa wiki hii limezua mambo mengi sana,maana kila mmoja anaongea anachojisikia kuongea kiasi kutojua kipi ni kipi haswa.

Kwanza ni tofauti ya taarifa ya matumizi ya silaha kwa askari waliongoza na Mkuu wa Mkoa kwa wafanyakazi wa Clouds.

Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake ktk Ibada ya Jpili kuwa baadhi walipigwa mtama,wengine walipigwa na Kitako cha bunduki na mwingine alinyoshewa mtutu wa bunduki.

Wakati Ruge akiongea mubashara na Clouds TV kipindi cha 360 na Redio Clouds ulisema hakuna mfanyakazi yoyote aliyepigwa wala kuumizwa kwa chochote kile na huyu ndiye mkuu wao.

Na hata katika Taarifa ya Tume ya muda ya Nape sijasikia lolote kuhusu kuwa silaha ilitumika au kuna mfanyakazi aliyeumizwa na silaha au askari wakati wa ile visit yao pale Clouds Media

Swali langu:
1.kwanini Askofu Gwajima ana publish mambo ambayo hayakutokea ?

2.Lengo lake ni nini kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinafanya kazi vizuri na kwa nidhamu ya hali juu sana kama kiapo cha utii?

3.Kwanini Askofu Gwajima ameacha jambo lake la msingi la kuanzisha kanisani ambako ni kuhubiri amani,upendo,kujua MUNGU, kumpenda jirani yako kama nafasi yako,kuwasaidia wasiojiweza,wagonjwa,wajane,yatima n.k.

Na kubwa zaidi kuhakikisha kila mmoja kurithi ufalme wa mbinguni?
 
"Sitambui uwepo wa taifa la Palestina na pia sitambui uwepo wa Israel sababu wapalestina ni wapumbavu na waisrael ni wapumbavu pia-Muammar Gaddafi".

Hayo ndiyo maoni yangu juu hao uliowataja.

Kama hakuna aliyepigwa,wanaenda kupewa pole za nini? Za kutembelewa na askari wenye silaha?

Muda mwingi unapotea kwenye mambo ya kijinga nchi hii.
Eneo la utalii kwa sasa ila sijui tena Clouds issue ipoo baada ya Mh Nape kuvuliwa madaraka.
 
Back
Top Bottom