HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
KUNA JAMAA ALIKUWA KAPUMZIKA SASA KASHESHE ITAANZA MANAKE HAWEZAGI KUTULIA LAZMA AMCHOKONOE NDUGUYE NA ILE KESI YA HUKUMU YA KUWA NA SILAHA KINYUME CHA SHERIA ITATOLEWA HUKUMU SOOONMchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump sasa amerudi kuliamsha dude kama kawaida yakeView attachment 578920 wakati anaingia JKN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnajihamiKuliamsha dude asaiv mpeni taarifa kabsa hizo zilipendwa asaiv ni Kazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema ataongezea
Sisi hatujihami mana hana cha kututisha ila mpeni taarifa siku hizi madude hayaamshwi tena...nadhan atajionea hari ya hewaMbona mnajihami
itakuja kuwa mpole ya tz yenyewe imekamatwa...........