Ila sometimes Gwajiboy msanii sana unakumbuka kipindi cha Magu alijifanya mgonjwa akalazwa TMJ hospital?Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini
Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa.
Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
Mungu yupo tunamwaminiKikwete ni fala sana.
Haaaaah 😀Ila sometimes Gwajiboy msanii sana unakumbuka kipindi cha Magu alijifanya mgonjwa akalazwa TMJ hospital?
Watu wake wa karibu wakamuandalia gari begi lake la nguo lililokuwa na dollar na bastola ili atoroke? Akadakwa anapanda gari nadhani akiwa kavaa hijab😂 Sijui ile kesi alimalizana vipi na Magu
Kosa la Gwaji ilikuwa nini?Ila sometimes Gwajiboy msanii sana unakumbuka kipindi cha Magu alijifanya mgonjwa akalazwa TMJ hospital?
Watu wake wa karibu wakamuandalia gari begi lake la nguo lililokuwa na dollar na bastola ili atoroke? Akadakwa anapanda gari nadhani akiwa kavaa hijab😂 Sijui ile kesi alimalizana vipi na Magu