Sio anunue ndege ya gharama kubwa tena iliyotumika, kimeo ambacho matengenezo yake yatazidi kuwatia waumini mzigo mkubwa zaidi wa sadaka na michango.
Askofu awasaidie maskini, ajenge shule, hospitali, nyumba za kulea yatima na wasiojiweza. Anayo chopa tayari, sasa ndege, tena jet itakayokula gharama kubwa mno!
Siamini kamwe kama mtu wa namna hii MOYO wake upo kwa waumini wake MASKINI!!! Siamini kamwe kama mtu wa namna hii ana HURUMA na wasiojiweza! Siamini kamwe kwamba Askofu anatimiza aliyoagiza YESU KRISTO, kwamba; Dini ya kweli ni hii.... Yakobo 1:27!