Askofu Gamanywa: Tanzania tulianza kupata matatizo 1973 baada ya kuvunja uhusiano na Israel na tukapata nafuu alipokuja Hayati Magufuli!

Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
Na kwa ujumla, kubariki kuna faida kwa anayebariki kuliko kulaani. Baraka zinamrudia anayebariki! Inakuwa laana kwa yeye anayelaani - laana inamrudia!
 
Maarifa ni jambo la kipekee
Israel au wayahudi ni watu wa kawaida tu

Kiimani mlango ni Yesu wala huhitaji gatepass ya hao jamaa

Kwanza Kristo alisema ufalme wake sio wa Ulimwngu huu

Kila mtu apambane kupata maarifa
Hao wayahudi wana kisanga chao na bongo land uchumi unakaba koo

Mimi nahaika na mlango wa kondoo ambae ni Yesu sio hao watu wa dini na matorati watakupoteza wana motive zao

Upumbavu na ushuzi hata sijamaliza kusoma
 
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
Huu nao ni uharo kama uharo mwingine.
 
Nchi gani ya kiarabu tajiri? Taja katika nchi 10 tajiri kama kuna nchi ya kiharabu! Haya twende kwenye nchi 20 tajiri kama kuna nchi ya kiarabu!
Nchi nyingi za kiarabu ni tajiri. Labda kama hujui tafsiri ya utajiri.
 
Acha nikusahihishe nchi zilizowahi kupigana na israel ni tatu egypt, syria na jordan tu na kwa upande mwingine marekani katumia ushawishi mkubwa sana kutafuta kukubalika kwa israel na mataifa hayo ya kiarabu kitu ambacho hadi sasa nchi kama saudi arabia , qatar na nyinginezo zimegoma ingawa saudi arabia alikuwa karibu kukubali baada ya kuahidiwa viti vingi sana na marekani kama silaha za kisasa na security guarantee , uturuki ni member wa european union ingawa amemfukuza balozi wa israel baada ya vita ya october, morocco ina jews wengi kuliko ncho yoyote midfle east hadi leo haijafanya normalization na israel na hakuna ubalozi
Kasome vizuri, Saudi Arabia, Iraq, Kuwait na nchi nyingine za kiarabu zilichangia silaha na majeshi dhidi ya Israel kwenye vita yake dhidi ya nchi za kiarabu

Uturuki haipo EU, Erdogan ni mmoja kati ya viongozi waliokuwa na msimamo mkali sana dhidi ya Israel lakini akafungua ubalozi

Yaani nchi zote za mashariki ya kati na North Africa kasoro Iran zimelainika sana msimamo dhidi ya Israel, kama unajua msimamo wao wa 1948,

Screenshot_20231202-195136.png

Acha nikusahihishe nchi zilizowahi kupigana na israel ni tatu egypt, syria na jordan tu na kwa upande mwingine marekani katumia ushawishi mkubwa sana kutafuta kukubalika kwa israel na mataifa hayo ya kiarabu kitu ambacho hadi sasa nchi kama saudi arabia , qatar na nyinginezo zimegoma ingawa saudi arabia alikuwa karibu kukubali baada ya kuahidiwa viti vingi sana na marekani kama silaha za kisasa na security guarantee , uturuki ni member wa european union ingawa amemfukuza balozi wa israel baada ya vita ya october, morocco ina jews wengi kuliko ncho yoyote midfle east hadi leo haijafanya normalization na israel na hakuna ubalozi
 
Amesahau nchi zote tajiri za kiarabu haziitambui israel na aliyefungua ubalozi wa israel hapa tanzania mungu alimpenda baada ya muda mfupi, mwambie askofu apunguze bangi na aache fikra za kitumwa, africa kusini leo imewapeleka israel icc na ndio nchi yenye uchumi mkubwa africa
Ushasema waarabu basi tulia
 
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
🗑️🗑️🗑️
 
Sasa uongo hapo upo wapi kwani hujui kwamba qatar haitambui state of israel? Na israelis hawaruhusiwi kuingia qatar?
Hawana uhusiano wa kibalozi lakini siyo kweli kuwa Waisrael hawaruhusiwi kuongia Qatar.

Hata Tanzania hatuna diplomatic relationship na nchi zote Duniani, lakini hiyo haimaanishi watanzania hawawezi kwenda kwenye nchi hizo.

Can Israeli people travel to Qatar?

You can make your planned trip to Qatar by obtaining a Qatar visa. Foreign citizens can come to Qatar on short-term visas (e-visa) for temporary reasons (tourism, business, cultural, and other short-term purposes). Qatar E-visa is valid for 30 days and is considered single-entry.

Tena wakati wewe mswahili kuingia visa, waisrael wanaingia nchi zote zilizo chini ya UAE bila hata visa:

Can Israeli citizens enter Dubai?

As of 10/10/2021, all Israeli passport holders have visa exemptions for entry into the United Arab Emirates. Please note that holders of diplomatic and official passports issued by the State of Israel have visa exemptions for entry into the United Arab Emirates.
 
Wewe unayejua uchumi wa dunia umgejiuliza hadi sasa dunia ina miaka billions muarabu ameshawahi kutetereka ?au unadhani mzungu miaka yote hiyo alikuwa anampenda muarabu? Nishati ya mafuta ndio nishati kuu bado hakujatokea reliable source, na muarabu yupo very smart ndio maana hadi leo dunia nzima inaenda kushangaa majangwa dubai na kina ronaldo wanacheza uarabuni

Huyo askofi yupo sahihi na kuna ukweli flan ndanj yake, tuangalie tu majirani zetu kenya, wao wako vizuri na Israel na angalia uchumi wao ndio wanatukimbuza hapa afrika mashariki kwa kuwa na uchumi mkubwa kwa ukanda huu, hivyo niseme tu kiukweli kama ilivyoandikwa katika maandiko, “atakayeibariki israel naye atabarikiwa bali atakayeilaani israel naye atalaaniwa” Mungu haongopi na neno lake ni Kweli kabisa halina dosari.

Tecknologia yoote ulimwenguni si ya simu au computers na nyinginezo wabunifu na wasanifu wake ni waisrael/ wayahudi, kiufupi wana akili mno na Mmarekani anaiijua hiii siri ndio maana amewakumbatis vilivyo thays why ni leading economy country in world, utabisha tu ila huo ndio ukweli wenyewe
 
Uchumi mkubwa africa upo southafrica na hawapo vizuri na israel vp hapo? Na je aliyeileta israel tz shortly akafa je ni laana? Duniani hapa mungu ametupa akili unaweza kutambua lipi baya na lipi zuri , nchi nyingi za kiarabu ni matajiri kupindukia na hawana uhusiano mzuri na israel, hali ya kenya sasahivi inatia huruma wapo vibaya sana kiuchumi na wengi wanakimbilia tanzania kutafuta green pastures achana na uchumi wa namba kama wa professor mkumbo
 
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
Huyo mzee mwongo sana. Hata anavyofundisha havieleweki
 
Hizi ndo akili za Waafrika. Kwa akili hizi tusitegemee kujikomboa katika utumwa huu kwa miaka mingi sana na tutaendelea kuishi katika umaskini uliopindukia. Umaskini wa akili ni mbaya sana.
 
Huyu Aksofu akili zake hazichanganyanyi sawasawa. Akili zake ameziacha kule kwenye kazi yake ya awali (Jeshini). Ni mgonjwa wa akili huyu. Cha kushangaza watu wasiopenda kutumia akili zao sawa sawa wanamsikiliza. Mwambie ISRAELI anayitete inaruhussu hadio USHOGA KISHERIA KABISA na juzi juzi tu wamfanya MAANDAMANIO MAKUBWA SANA Jerusalemu ya kuuenzi ushoga na ndoa za jinsi moja. Hao Waisraeli wake hawana habari na YESU na hawaifutai TIORAJI ya MUSA inayokataza Ushoga na Ulawiti. Wale ni SINAGOGI LA SHETANI.
 
nA WEWE
Huyo askofi yupo sahihi na kuna ukweli flan ndanj yake, tuangalie tu majirani zetu kenya, wao wako vizuri na Israel na angalia uchumi wao ndio wanatukimbuza hapa afrika mashariki kwa kuwa na uchumi mkubwa kwa ukanda huu, hivyo niseme tu kiukweli kama ilivyoandikwa katika maandiko, “atakayeibariki israel naye atabarikiwa bali atakayeilaani israel naye atalaaniwa” Mungu haongopi na neno lake ni Kweli kabisa halina dosari.

Tecknologia yoote ulimwenguni si ya simu au computers na nyinginezo wabunifu na wasanifu wake ni waisrael/ wayahudi, kiufupi wana akili mno na Mmarekani anaiijua hiii siri ndio maana amewakumbatis vilivyo thays why ni leading economy country in world, utabisha tu ila huo ndio ukweli wenyewe
AKILI YAKO UMEAMUA KUTOITUMIA SAWASAWA. Ukubwa wa Uchumi kwa kuangalia wastani wa pato la Taifa. Uchumi wa Kenya upo kwa WALOWEZI wachache wa kikoloni waliopora ardhi kwa miakataba ya miaka 99. Baada ya hapo unawakuta Wanasaisa wachache wa familia za akina KENYATA na wao wamepora ardhi lkwa mikataba wa miaka 99. Wakenya waliobaki kununua unga wa sembe tu ni tatizo. Maskini wa kutupwa ni wengi kuliko Tanzania.

Uchumi wa Tanzani unamilikiwa na watanzania walio wengi wa maisha ya kawaida lakini yenye unafuu kuliko maskini wa Kenya. Tanzania kila mwenye akili sawa saw anamiliki kipande cha ardhi na nyumba. Kenya maskini walio wengi ni manamba wa kudumu katika Mashamba ya Walowezi. Kwa habari yako soon Tanzania inaipita Kenya kiuchumi kama ilivyokuwa miaka ya 1970,s ambapo Tanzania ndo nchi iliyokuwa na Uchumi mkubwa Afrika Mashariki kabla ya uchumi wake kuporomoka kutokana na Vuta vya Uganda na vita vya kupigania ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika. Kenya haijawahi kupigana vita yoyote ya ukombozi barani Afrika zaidui ya kuivamia Somalia majuzi kwa ajili ya Maslahi ya Marekani na wakatoka patupu bila kufikia malengo.
 
Back
Top Bottom