Nabii Elia: Askofu Gamanywa na Askofu Ngonyani wasidanganye, Netanyahu siyo Myahudi ni Wakala wa Shetani. Watofautishe Zionism na Judaism!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Nabii Elia amewashukia Maaskofu wanaoiombea Serikali ya Netanyahu na kuichangia Sadaka waache kupotosha Watu kwani Netanyahu ni Wakala wa Shetani

Nabii Elia amewataja Askofu Prof Gamanywa na Askofu Ngonyani kuwa ndio vinara wa kupeperusha bendera ya Israel mitandaoni hivyo ameomba wafanye Mdahalo

Nabii Elia amesema Judaism ndio Wayahudi wa kweli ola hawa Zionist wametajwa kwenye Kitabu cha Ufunuo kuwa ni Wayahudi wa Uwongo, Wapinga Kristo na Wakala wa Shetani Ufunuo 3:9

Netanyahu anatumiwa na Nato, USA, UK na Vatican chini ya Papa kutaka kuitawala Dunia amesisitiza

Nabii Elia amesema Maaskofu wengi wanalipwa na hizi familia za Illuminati, Freemasons nk Ili kuihadaa Dunia na kuwafanya binadamu mazezeta

Netanyahu na Kundi lake pale Israel siyo Wayahudi na kama Maaskofu Gamanywa na Ngonyani wanabisha waniite tufanye Mdahalo wa Wazi, amesisitiza Nabii Elia/ Iliyas

Nawatakia Dominica Njema

My take; Huu ni Wakati muafaka WAPO TV kuitisha Mdahalo
 
Hivi kwa nn Mungu asishuke dunia na kuangamiza kizazi chote kiovu tukabaki watakatifu tuu? Ee Mwenyeezi Mungu fanya jambo dunia itulie.
 
Mm naona huyu nabii Elia na hao maaskofu pamoja na Netanyahu wote ni mawakala wa shetani.
 
Nabii Elia amewashukia Maaskofu wanaoiombea Serikali ya Netanyahu na kuichangia Sadaka waache kupotosha Watu kwani Netanyahu ni Wakala wa Shetani

Nabii Elia amewataja Askofu Prof Gamanywa na Askofu Ngonyani kuwa ndio vinara wa kupeperusha bendera ya Israel mitandaoni hivyo ameomba wafanye Mdahalo

Nabii Elia amesema Judaism ndio Wayahudi wa kweli ola hawa Zionist wametajwa kwenye Kitabu cha Ufunuo kuwa ni Wayahudi wa Uwongo, Wapinga Kristo na Wakala wa Shetani Ufunuo 3:9

Netanyahu anatumiwa na Nato, USA, UK na Vatican chini ya Papa kutaka kuitawala Dunia amesisitiza

Nabii Elia amesema Maaskofu wengi wanalipwa na hizi familia za Illuminati, Freemasons nk Ili kuihadaa Dunia na kuwafanya binadamu mazezeta

Netanyahu na Kundi lake pale Israel siyo Wayahudi na kama Maaskofu Gamanywa na Ngonyani wanabisha waniite tufanye Mdahalo wa Wazi, amesisitiza Nabii Elia/ Iliyas

Nawatakia Dominica Njema

My take; Huu ni Wakati muafaka WAPO TV kuitisha Mdahalo
Upuuzi mwingine, siyo myahudi ni wakala wa shetani,ushahidi upo wapi? Aya Mambo ya kutafuta kiki likitokea jqmbo, ni ujinga wa wachungaji wa mchongo, umeishawahi kufanya somo,kuonyesha tofauti ya Judaism na Zionism? Au, mpaka kuwe na tukio,na nyie mnatembelea nyota!kuvutia waumini!
 
Huu ndio utumwa wa kifikra wa mwafrika. Kuhangaika na dini za watu wa mashariki ya kati, watu wenyewe wanatuona nyani tu.
Wapumbavu kweli Yani hivi kweli unatoa Hela eti sadaka kwa Israeli ndio mwanzo wa kuwa shoga haya mambo mengine ukiyapa sana nafasi utaliwa tigo na hao waarabu sijui waisraeli ifike mahala watu watumie akili zao
 
Nabii Elia amewashukia Maaskofu wanaoiombea Serikali ya Netanyahu na kuichangia Sadaka waache kupotosha Watu kwani Netanyahu ni Wakala wa Shetani

Nabii Elia amewataja Askofu Prof Gamanywa na Askofu Ngonyani kuwa ndio vinara wa kupeperusha bendera ya Israel mitandaoni hivyo ameomba wafanye Mdahalo

Nabii Elia amesema Judaism ndio Wayahudi wa kweli ola hawa Zionist wametajwa kwenye Kitabu cha Ufunuo kuwa ni Wayahudi wa Uwongo, Wapinga Kristo na Wakala wa Shetani Ufunuo 3:9

Netanyahu anatumiwa na Nato, USA, UK na Vatican chini ya Papa kutaka kuitawala Dunia amesisitiza

Nabii Elia amesema Maaskofu wengi wanalipwa na hizi familia za Illuminati, Freemasons nk Ili kuihadaa Dunia na kuwafanya binadamu mazezeta

Netanyahu na Kundi lake pale Israel siyo Wayahudi na kama Maaskofu Gamanywa na Ngonyani wanabisha waniite tufanye Mdahalo wa Wazi, amesisitiza Nabii Elia/ Iliyas

Nawatakia Dominica Njema

My take; Huu ni Wakati muafaka WAPO TV kuitisha Mdahalo
KWanza hanuna Nabii Elia Tanzania wala kizazi hiki...huu ni uongo tayari kabla ya mdahalo
 
Bongo mhubiri bila kujipachika title kubwa kubwa anaona bado yupo kwenye viwango vya chini sana kumjua Mungu.

Kila mtu akiibuka na kupata wafuasi basi anajipachika title: Nabii au Mtume. Wengine Mwinjilisti, Mwalimu, Mchungaji. Ni vema ikaundwa bodi ya kuratibu na kusimamia hizi title.

Mathalani ili uitwe mchungaji walau uwe na diploma au cheti cha theolojia na ufanyiwe usaili kama mafundisho yako yanalenga kulichunga kanisa la Mungu sio kuvuna sadaka. Ili uwe mtume basi uwe na shahada ya theolojia + shahada ya lugha za kimataifa au lugha za kibantu kadhaa.

Ili uwe nabii basi uwe bila shaka umeweka mambo ya kinabii kwanza yakathibitika pasi na shaka kwa kudhihirika bayana bila kusahau walau shahada ya uzamili kwenye theolojia.
 
Hata hivyo Kwa yote yanaendelea tunapaswa kushughulika na bara letu zaidi, Congo kuna matatizo, Somalia, Sudani, tunapaswa kushughulika matatizo yetu.

Nchi mojawapo katika Africa inapokosa utulivu, ni rahisi Sisi kuathirika kuliko huko KWINGINE...

Tutafute amani ya Africa kwanza. .
 
Back
Top Bottom