Askofu Dkt. Bagonza na nukta za mashaka

Askofu Dkt. Bagonza na nukta za mashaka

Hoja ni Askofu ajitenge na watu ambao si muda mrefu watamchafua kiwango ambacho hatasafishika kama ana ajenda fiche na Chadema
TZ kipindi tulipo si ungese wa jinsia.!

Tukiona mama hatoshi is for guda parception ya ku ivolve

Not for critism note.!

Sisi ni Tunataka mama ajipate na kuvunja hii boundaries

And she is.!

Tayari sicrifice ready taken why she awaiting.!

Kama akifeli right now there is never happen this golden time in meliinium
 
Hapa umechanganya hoja mbili, ya askofu unge mfungulia Uzi wake, na CHADEMA NAO ungewafingulia Uzi wao, sababu umechanganya madesa,
Hapa Tanzania Kwa Sasa Kila anayepigania haki na demkrasia atabatizwaa kuwa yeye ni mkristo WA TEC hata kama hana chama. Hebu tuachane na mentality hizo hata sisi waislamu tupo tunaijitambua tunafahamu nini maana ya haki na demokrasia na hatuna upande tunaiegemea
 
Back
Top Bottom