Askofu Bagonza: Ndoa inahitajika...

Askofu Bagonza: Ndoa inahitajika...

Mimi Mlutheri ila sasa naelekea kumshangaa Kiongozi wangu wa kiroho yaani yeye ni siasa tuu?

Ninaomba ateuliwe aingie Bungeni ili atimize azma yake bungeni na tumjadili kama mwanasiasa kamili la sivyo ajikite kwenye mambo ya kiroho.

Anyway

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Haya ni Mambo Ya Nyakati. Tupo kwenye joto la siasa, taifa kinahasimiana , chuki inaweka mizizi hapo ulitaka aongelee nini?
Kingine yeye hugusa yote, sasa ulitarajia mwanasiasa achukue maandiko ya kiroho ya Askofu ayalete hapa? Au Mchumi ndiyo achukue maandiko ya Askofu yahusuyo haki ?
 
1. Kwa nini watu waandamane?
2. Kama wakiandamana, kwa nini
wapigwe?
1. Wana uchu wa madaraka na wabinafsi kupindukia.
2. Kwa sababu wanavunja sheria kwa kufanya tukio hilo bila kibali.

Leta maswali mengine.
 
Mimi Mlutheri ila sasa naelekea kumshangaa Kiongozi wangu wa kiroho yaani yeye ni siasa tuu?

Ninaomba ateuliwe aingie Bungeni ili atimize azma yake bungeni na tumjadili kama mwanasiasa kamili la sivyo ajikite kwenye mambo ya kiroho...
Wewe ni Kajinga.

Hapa Tulipofikishwa ni Viongozi wachache wa Dini ambao bado wanauwezo wa Kuikemea Serikali.

Hatafuti Ubunge. Nahata akipewa Uwazir hawezi upokea...MOJA YA MAJUKUM YA VIONGOZ WA DINI NI KUKEMEA MAOVU MATESO NA UDHALIM WA SERIKALI.

Weee utakua ni mrutheli maneno. Ila MAANDIKO HUYAJUI.
 
Wewe ni Kajinga.

Hapa Tulipofikishwa ni Viongozi wachache wa Dini ambao bado wanauwezo wa Kuikemea Serikali...
Mbona Kiongozi huyu wa kiroho anaonekana ku take side sasa atawaunganishaje waliogombana? Huyu kaamua kufanya siasa.

OTHERWISE

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Haya ni Mambo Ya Nyakati. Tupo kwenye joto la siasa, taifa kinahasimiana , chuki inaweka mizizi hapo ulitaka aongelee nini?
Kingine yeye hugusa yote, sasa ulitarajia mwanasiasa achukue maandiko ya kiroho ya Askofu ayalete hapa? Au Mchumi ndiyo achukue maandiko ya Askofu yahusuyo haki ?
Lakini kwanini yupo biased ?

Ana take side wakati yeye ni mpatanishi, hii haijakaa sawa

Uchaguzi umeisha sasa tujenge nchi.

URT- JPM
SMZ- Mwinyi
 
Huyo askofu alishakuwa taahila sijui hata upako kama bado anao,
Aligoma kuhusu corona akafunga kanisa na kuzodoa lakini leo hata hana barakoa na hazungumzi kwa nini havai.
"Ukishindwa kuwa mwaminifu basi jitahidi uwe mwangalifu"
Hiyo ni hekima kubwa ambayo wenye ufinyu wa upeo ni ngumu kuifahamu.
Viongozi wa dini wanakutana na waumini wa aina nyingi hivyo wanajua machungu na furaha za wengi. Ndio maana wanasiasa wengi wanajitahidi kuwa karibu nao maana wao HUWAFARIJI WALIOLEMEWA!!
Poleni kwa sindano za askofu... na hiyo ndio tabia ya ukweli. HUUMA...!!!
 
Amebeba aibu yeye mwamakula, katimba na ponda, warudi wakatubu kwa mungu wao,
Hizo sindano wamejichoma wenyewe.
Kama gwajima ameshindwa kuvumilia ameamua kuja front, sasa nao ni muda wao kugombea kupitia chadema,
Wala hawatakuwa wa kwanza kwani kuna mmoja huko karatu alishakuwa mbunge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom