Wanaombea amani kufungua angaNdio maana upinzani huwa naona ni hovyo kuliko hata hao ccm wenyewe,yani badala ya wao kuonesha utofauti ndio kwanza nao wanafanya yaleyale wanaofanya ccm halafu ukiuliza unajibiwa mbona ccm anafanya/alifanya. Sasa hapo kuna chama mbadala au ni vilevile tu kasoro majina.