Askofu Shoo ashangaa Dayosisi ya KKKT Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria kutokuwa na Mchungaji hata mmoja wa Kike!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,020
142,059
Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo ashangaa Dayosisi ya KKKT Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria kutokuwa na Mchungaji hata mmoja wa kike

Askofu Shoo amesema KKKT iliamua kuwa na Wachungaji wa kike mwaka 1990 baada ya kupitia maandiko Matakatifu Biblia

Kwa sasa tuna Wachungaji wa Kike zaidi ya 400 nchi nzima lakini nashangaa huku Shinyanga Wachungaji wote ni Wanaume, amesema Dr Shoo

Chanzo: Upendo Tv
 
Mimi nilitegemea ashangae mbowe kutaka kugombea tena uenyekiti wa chama chao japo alisema mwisho wake mwaka huu!
Bwashee mkumbushe askofu Shoo kuwa uchungaji ni wito.
 
Mwanamke hafai uongozi wowote.

Mimi si muislam ila nauungana na sheria zao za kumtaka mke kutulia ndani.

Angalia dunia ya sasa waliotanguliza wanawake ilivyoharibika na kujawa na ndoa tata na talaka kibao.

SIUNGANI NA MWANAMKE KUWA MCHUNGAJI MKITAKA KUAMINI KWANINI YESU HAKUWA NA MWANAFUNZI WA KIKE HATA MMOJA?

Hivi inakuwaje kama mchungaji yuko siku zake, kuzaa sijui na takataka za kike zingine

HAIINGIII AKILINI
 
Mambo yamebadilika mkuu. Kama hakuna ubaya wa kuendana na mabadiliko hayo yanini kung'ang'ania ya zamani.

Mabadiliko ni kama mkondo mkubwa wa maji ukishupaza na kukaza msuli utaumia bure.
Hata arabuni wanawake wameanza kuendesha magari.
 
Nakazia Mkuu
 
Back
Top Bottom