Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

Hawa wachungaji siyo wa kuwaamini, hata Ngwajima alikuwa kipenzi cha UKAWA kipindi kile, akasema yote leo hii kageuka kama pole pole.
 
Asante basi iwekwe sheria kabisa Mungu atunusuru jamani
 
Umechelewa, hii tabia ilianza muda mrefu kwa viongozi wa dini kuisifia ccm lakini ikaonekana ni sawa tu. Lakini sasa hivi inaonekana hata vyama vya upinzani vimepata viongozi wa dini ndio busara ya kinafiki inajitokeza.
tindo sasa tuwaache watuharibie nchi kwa jina vyama?
 
Hakuna nchi yoyote yenye maendeleo ya kidemokrasia inayozuia siasa kwenye makanisa na misikiti.Sio Ulaya wala Marekani kuna.
 
Mimi ni CCM safi na nimekolea.

Hakuna wa kumkamata Bagonza kwa hoja zake, hajawahi egemea upande mmoja.

Kauli ya "tuchague kati ya 'mitano kwanza au mitano tena' haina tatizo. hapa kabalance kila kitu. Kanishawishi sana nifanye maamuzi sahihi.

Mwingira kaongea ukweli kabisa. Kamwe huwezi shindana na kusudi la Mungu, kupona kwa Lissu ni muujiza, ina maana huyu mtu anapaswa kuishi kwa sababu Mungu ana haja naye. Aisee "mbeba maono hafwi" patamu hapa.

Nitasema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko.

#Haki huinua taifa
 
Aliyesoma masomo ya kemia akaibukia kwa wenye sayansi ya siasa umemsahau au unajichetua?
 
Na ya gwajima imekaaje? Sheikh tuanzie hapo.
 
Huyu si Pimbi tu. Safari hii hio Bakwata ndio mwisho wao.
 
Umechelewa, hii tabia ilianza muda mrefu kwa viongozi wa dini kuisifia ccm lakini ikaonekana ni sawa tu. Lakini sasa hivi inaonekana hata vyama vya upinzani vimepata viongozi wa dini ndio busara ya kinafiki inajitokeza.
Ndio maana upinzani huwa naona ni hovyo kuliko hata hao ccm wenyewe,yani badala ya wao kuonesha utofauti ndio kwanza nao wanafanya yaleyale wanaofanya ccm halafu ukiuliza unajibiwa mbona ccm anafanya/alifanya. Sasa hapo kuna chama mbadala au ni vilevile tu kasoro majina.
 
Huyu sheikh wa hovyo Sana kila siku alikuwa na bashite baada ya kuona mkono mtupu aulambwi anajifanya yupo kwenye mstari hata Kama amepotea maagizo toka juu arudishe hela zao gari ilishawaka hairudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…