Hapa baba askofu BAGONZA nitakuja Karagwe kuomba ufafanuzi zaidi, unamaanisha nini?Majirani wema huzaa watoto wanaofanana kwa sababu ya kuhusiana vizuri.
Mungu awashindie korona kwa utakatifu gani mlionao? Wezi, wauaji, wazandiki na wafitini wakubwa ninyi.Mungu aliyetudhindia Corona
Mbinguni ushawahi kuishi?Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Huo ni waraka siyo mahubiri kanisani.Usikute kayaongea haya kwenye ibada ya watu zaidi ya 200 na wote hawajavaa mask na bado wamesongamana kwenye kutoa sadaka alaf bado anashindwa kumtukuza Munga kwa hilo yeye analeta janja janja za siasa.
Uganda (Mu7), PK na JPM ni majirani wanaofanana kwa sasa so lazima wazae watoto ukatili, mauaji, unyanyasaji , ufisadi nkHapa baba askofu BAGONZA nitakuja Karagwe kuomba ufafanuzi zaidi, unamaanisha nini?
Kwamba mqjirani wakipendana sana wanachepukiana?
Lkn kwa ujumla baba askofu nakupongeza Sana wewe na askofu Mwamakula kwa juhudi zenu za kupambana na jiwe.
Yani haukubali siasa ya kwamba Tanzania hakuna corona ila hapo hapo unakubali siasa ya kwamba watu waendelea na shughuli zao kama kawaida kwamba tuendelee kujazana kwenye madaladala,kujazana kwenye nyumba za ibada,masokoni na kwenye misiba na sherehe.Mimi huwa sisikilizi siasa za kusema hakuna korona, kwa uspesho gani haswa? kama tuna huo utakatifu si basi tuwaommee Dunia yote?
Ila naunga mkono Watu kuendelea na shughuli zao mambo ya kufungiana ni kuongeza tu matatizo na wala si kupunguza.
Tuendelee na a zile hatua za kujikinga kama kunawa mikono, kukwepa mikusanyiko isiyo ya lazima...kwenye daladala fungueni vioo hewa iingie.
Hakuna ndugu yangu taasisi kibao huingii ofisin bila barakoaKwa Sasa ukivaa barakoa hadharani unaeza tiwa korokoroni
Kama umenielewa vizuri ni kwamba corona ipo kama ilivyo sehemu nyingine.Yani haukubali siasa ya kwamba Tanzania hakuna corona ila hapo hapo unakubali siasa ya kwamba watu waendelea na shughuli zao kama kawaida kwamba tuendelee kujazana kwenye madaladala,kujazana kwenye nyumba za ibada,masokoni na kwenye misiba na sherehe.
Hapo ni sawa na kukubali kuwepo corona Tz kinadharia ila kivitendo haukubali kuwepo corona Tz.
Ahaaa! Asante mkuu kwa kunisaidia!Uganda (Mu7), PK na JPM ni majirani wanaofanana kwa sasa so lazima wazae watoto ukatili, mauaji, unyanyasaji , ufisadi nk
Njia fupi haitakiwi na wakubwa,, angeishia matatani! Ana uelewa wa kutosha wa aongee nini na wapi!Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Mkuu hivi ukibakwa kweli unaita waandishi wa habari kueleza kwamba umebakwa?Maccm na waimba pambio watabisha na kumwita mhamiaji haramu.
Wait and see!.
Kuna mahali katika Biblia Mungu alikuwa anazungumza na shetaniHii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?