Mungu anaishi ndani ya Roho za wamchao .Mungu yupo pote kasoro sehemu mbili tu moja ni jehanamu kule hayuko na ndani ya roho ya mtu mwenye dhambi kama Bagonza nk humo hayumoKama mbinguni uliwahi fika na unakujua jitathimini.
Sawa!Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Haipo ushahidi wewe kwani wewe unaumwa corona?Sawa!
Swali kwako !corona ipo tz au haipo
Jibu tafadhali
Ova
Kwahiyo unampangia namna ya kuongea.Kujua tu anajifanya ana hekima ni kukiri kakuzidi kila kitu kifikra.Hatuwezi kuwaza kwa namna inayofanana,tuna mitazamo tofauti,uwezo tofaut wa kufikiri na kutenda.Vyote hivyo Bagonza kakuzidi.Tatizo anaongeaga sana..ilikua ni sentensi mbili tu..corona ipoa tanzania,tuchukue tahadhari...basi...kanajifanya kana hekima kumbe kawaida tu.....et Mungu anaweza kuwepo kwwnye corona...hiv anajua mungu ni nan.
Amesema corona ipo duniani, na Tanzania ni sehemu ya dunia. Sasa hayo ya mbinguni umeyatoa wapi?Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Kwani mbinguni ni wapi mkuu?Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Usikute kayaongea haya kwenye ibada ya watu zaidi ya 200 na wote hawajavaa mask na bado wamesongamana kwenye kutoa sadaka alaf bado anashindwa kumtukuza Munga kwa hilo yeye analeta janja janja za siasa.
Amesema corona ipo duniani, na Tanzania ni sehemu ya dunia. Sasa hayo ya mbinguni umeyatoa wapi?
Haya eee Mungu nakuomba wape Corona wote wadhihakio kazi kubwa uliyofanya kwa taifa hili tulipokuomba nakusahi wafe kwa Corona wanaoisifia Corona na kuiadikia sifa lukukiAmesema corona ipo duniani, na Tanzania ni sehemu ya dunia. Sasa hayo ya mbinguni umeyatoa wapi?
Haipo ushahidi wewe kwani wewe unaumwa corona?
Yesu ni nani boss, je huyo Yesu anasikiliza ibada za wezi wa kura?Haya eee Mungu nakuomba wape Corona wote wadhihakio kazi kubwa uliyofanya kwa taifa hili tulipokuomba nakusahi wafe kwa Corona wanaoisifia Corona na kuiadikia sifa lukuki
Kila mdhihaki juhudi zako Mungu mwachie adui Corona amrarue
Nimeomba haya kwa Jina la Yesu
Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.