Askofu Bagonza Kukwama Uaskofu Mkuu KKKT

Kanisa Katoliki lina utaratibu mzuri sana Polycap Pengo ameondoka kimya kimya na kurithiwa na Yuda Thadeus!
 
wakatoliki huwezi kujua lini wanamchagua rais wao vinginevyo uko kwenye line yao kikao cha uchaguzi hakitangazwi na hii inasaidia kwa kutoingiliwa na watawala kwa kiasi fulani kupendekeza rais wa baraza la maskofu.
huwezi kuta habari za uchaguzi kwenye magazeti mpaka apatikane
 
ASKOFU SHOO ANATOSHAA NA AMANI YA BWANA ITAWALE
 
Uyo shoo apumzke amefanya kanisa ligawanyike ni taabu tupu
Boganza naye Sioni kitu pale siasa nyingi
 
Yanatusaidia nini haya uliyoyaandika! Kwani sisi tunapiga kura? kwa bahati mbaya sana wewe ndio unaendeleza chuki na kutuchafua wana KKKT wote. Wanaopiga kura wako Makumira wewe unaleta siri za ndani huku mitandaoni? Hata kama uliyoyaandika ni ya kweli, unadhani hii ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako? Sisi wana KKKT hatuhitaji chuki zenu wala malumbano yenu. Tunachotaka ni kiongozi ambaye atasimamia umoja na mshikamano wa kanisa, amani na utulivu na kuruhusu uhuru wa kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli. Haya malumbano na kuchafuana hayana maana kwa sababu mnataka kuwaaminisha hata ambao si wana KKKT kuwa sisi sote ni wachafu.

Acha Mungu achague mpakwa mafuta wake. Yeyote kati ya Maaskofu wetu 26 anaweza kuliongoza kanisa. Tujiepushe na kampeni hasa za maji taka. Mungu hajashindwa kutupa kiongozi kiasi hicho.
 
Wewe kwanza umetumwa kumchafua Dr. Bagonza.
Pili wewe siyo KKKT, na maombi unayofanya na familia yako ni Kazi bure kama unaunafiki wa namna hyo.
 
Tunafundishwa katika kanisa, “ibada njema huanzia nyumbani”. Kitendo cha kumtelekeza mke wake wa pembeni anayeitwa Peace Sylivester ambaye amezaa naye kilimuwekea doa kwa kuwa migogoro ya ndoa kama kiongozi mkuu wa kanisa hataiweza.
Mko vizuri sana wana KKKT kumbe huwa kuna mke wa pembeni!
 
rais wa baraza la maskofu.
huwezi kuta habari za uchaguzi kwenye magazeti mpaka apatikane
Mkuu, miaka kadhaa nyuma Tulikuwa Mgahawani Turin, Tukaona maandamano na askari wengi wanatawanya raia, wameshika mabango Sote hatukuweza kuelewa Ujumbe ulioandikwa kwenye Mabango, ilikuwa kitaliano nadhani, ndipo tulimuuliza aliyekuwa anahudumia meza yetu akatuambia kwamba ni maandamano ya Catholics walikuwa wanataka mtu wao, halafu ni kama Huko kwa papa wamepitisha Jina Lingine. Kuna baadhi ya member wapo Humu na tulikuwa nao, Nadhani wakiona Comment hii watakumbuka kilichotokea kule.

Hivyo basi; Kwa Perspective yako uko sawa kabisa; Ila perspective yako Reality. Kwa Tanzania inawezekana kukawa hakuna Shida ila Kuna; So nadhani usiconclude moja kwa moja kwa ukatoliki; Bora Ukasema kwa Katoliki ya Tanzania; Maana kwenye sehemu zingine inawezekana hujawahi ona.

Sorry, nlipoona comment yako nikakumbuka hii situation, nikasema nikupatie ili tupeane details kidogo.
 
Wamwache Shoo amalizie ngwe yake ,japo naye ni mkaskazini sana
Vyovyote iwavyo poa tu ,kama ataingia Bagonza au aendelee Shoo ,sema Shoo akumbuke kanisa sio Kaskazini pekee ni Tanzania nzima
Inaelekea leo haukumskia akikemea ukanda na visasi, wewe bado unaviendeleza.
 
Kwani kuwa 'mkaskazini' ni kosa?


Ni lini Dr.Shoo aliwahi kusema kanisa ni Kaskazini pekee?
​
Kuna vitu huwezi kuelewa tutapotezeana muda tu

Wewe elewa ulivyo elewa ,kama umeshindwa kusoma katikati ya mistari sina namna ya kulielezea hilo ,wahusika wanaelewa nimeongelea nini.
 
Kuna vitu huwezi kuelewa tutapotezeana muda tu

Wewe elewa ulivyo elewa ,kama umeshindwa kusoma katikati ya mistari sina namna ya kulielezea hilo ,wahusika wanaelewa nimeongelea nini.
Usijifiche kwenye kusoma katikati ya mistari,kuna mistari umeificha ambayo wengine wanaona mimi sioni au ni miwani yangu mbovu?

Tatizo ni kuja hapa kutapika vimaneno ambavyo hata ukiombwa uthibitishe japo kwa 1% tu huwezi.

Ona sasa umeshindwa kutoa uthibitisho umebaki kulialia 'wahusika wahusika'.
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…