Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu baada ya viongozi wa chama hicho baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, na kutokupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa, Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) ametoa maoni yake na kusema kama wanajua alipo na hawasemi ni kosa.
"Kama wanajua alipo na hawasemi ni KOSA. Kama hawajui alipo ni KOSA. Kuna mtu anahujumiwa"
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
Pia soma: DOKEZO Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
"Kama wanajua alipo na hawasemi ni KOSA. Kama hawajui alipo ni KOSA. Kuna mtu anahujumiwa"
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
Pia soma: DOKEZO Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?