Askofu Ashutumiwa kubaka huko Mwanza

Askofu Ashutumiwa kubaka huko Mwanza

Status
Not open for further replies.
Jana kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, nimeweka habari ya Kanisa linakiri kuwa wachungaji wanaharibu watoto, kwa bahati mbaya sana na kwa kuwa JF hakuna uadilifu yakija masuala yanayohusu Kanisa, hiyo habari ikaondolewa hapo ikapelekwa International News na ikafungwa saa hiyo hiyo ili isichangiwe.

Sasa hapao mimi wala sishangai, kanisa lenyewe linakiri wanaharibu watoto, ushahidi huu hapa:

Church Officials: Former Pastor Credibly Accused of Child Sexual Abuse

ST. LOUIS (KMOX) - The local Presbyterian Church body has issued a warning about an alleged child molesting pastor who once served in the St. Louis area.
Officials with the Giddings Lovejoy Presbytery, which represents local members of the Presbyterian Church USA, now say they consider child sex abuse allegations made in 2012 against former pastor Michael Walker Jackson are credible.
The alleged abuse took place in the mid 1980s, but no civil or criminal charges were brought.
"The Presbyterians in the St. Louis area are standing up and acting responsibly and they're warning people about a man who they believe was credibly accused of child sexual abuse and we applaud the Giddings Lovejoy Presbytery," says SNAP's David Clohessy. "We hope it will inspire other denominations to show a little bit of courage and a little bit of compassion for children."
Jackson is no longer a minister in the Presbyterian Church USA.
He's believed to be living in Georgia.
Attempts to reach him were unsuccessful.
(TM and © Copyright 2014 CBS Radio Inc. and its relevant subsidiaries. CBS RADIO and EYE Logo TM and Copyright 2014 CBS Broadcasting Inc. Used under license. All Rights Reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten, or redistributed.)

Source: Church Officials: Former Pastor Credibly Accused of Child Sexual Abuse « CBS St. Louis

Dah.

Kwani JF mnakuwa namna hiyo? mnaficha haya madhambi yanayofanywa kwa jina la Kanisa?
Paw, Invisible, PainKiller, Moderator.
 
Maaskofu,mapasta,wachungaji wabaya sana eti wanaitwa watumishi wamungu,badala yakuitwa watumishi shetani

Mimi naona ni kweli wanastahili lawama wanapofanya makosa, ila tusiwalaumu kwa vyeo vyao.

Wao ni wanadamu kama tulivyo wengine wote; wana hisia na changamoto kama mtu mwingine yeyote. Hapa unawalaumu hao tu, lakini wako wengine wengi hawajatajwa hapa tena wenye nafasi muhimu wanaofanya maovu kama hayo au na zaidi.

Tuwe na mtazamo chanya zaidi, tusimhukumu yeyote kwa dini au cheo chake. Na mbona wako watu wa kawaida tu hufanya mambo mabaya kuliko hata hao wachungaji?

Mtu kuwa mchungaji, padre, muinjilisti, shekhe, nk, hakumuondolei ubinadamu wake, hivyo walaumiwe kama mtu fulani; na kama makosa yao yana kiwango cha wao kutolewa ktk majukumu yao basi wawajibishwe tena na ofisi zao baada ya kuwa jamii nayo imewahukumu kwa uharibifu wao kama wahalifu wengine ktk jamii husika.
 
Uchunguzi gani unaotaka wewe!?
Au mpaka Uskie BBC?Haya soma hapa uone KULE KWENYE KANISA MAMA WANAFANYA NINI!Wabakaji kila kona ya KANISA!
Tujiulize Mudi hana tuhuma za u-pedophile.? kwanini aliwapiga denda watoto wa kiume? everyk tongue the prophet kiss will not be tormented in the hell fire
 
Hivi wewe mtoa mada una droo attention ya watu eti ! Askofu , uaskofu kapewa nanani au mtu akijivutia mabangi yake mtaani na kujiaata askofu na ninyi mnasema askofu? uaskofu una hehima zake na taratibu zake za kusimikwa. Kwa yali makanisa yaiotoroka ROMAN CATHOLIC na kwenda kujianzishia vikanisa vyao wakasahau kubeba sylubus ya namna ya kuandaa viongozi wakanisa warudi wakampigie magoti PAPA au askofu wa mahala husika. Tofauti na hapo watu watakuwa wanajitundika majina makubwa ambayao hawajasomea wala kusimikwa na kuishia kuchafua majina ya watu waliorasimishwa

Hahaaa warudi kupiga magoti kwa papa ili wapate kibali halali cha kulawiti watoto au kufunga ndoa za jinsia moja?.... Bora wawe wanywa uji tu kuliko kufata ufirauni wa mapadre kwa watoto!
 
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.

Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.

credt:Mwananchi.

Eeeee lzma tu abake jina lenyewe Field...... so yawezekana ni moja kati ya majukumu ya kazi za field ili aweze kutoa report nzuri. Report haikamiliki vema bila reseach
 
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.

Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.

credt:Mwananchi.

Neno Kubaka linahitaji kufafanuliwa zaidi maana linatumiwa ndivyo sivyo kukandamiza wengine
 
Maaskofu,mapasta,wachungaji wabaya sana eti wanaitwa watumishi wamungu,badala yakuitwa watumishi shetani

Hacha matusi kosa la askofu mmoja usiwachanganye wote .ashitakiwe kama mkosaji yoyote .na pia bado anashitakiwa na bado hajatiwa hatiani.pia umewatukana watumishi wa kikristo tu .hacha ubaguzi wa kidini .mbona hujasema wale maustadhi wanaowalawiti watoto madrasa ??kama yule wa mbangala ?? Ni mtumishi wa mungu au shetani?? Mbona unataja tu viongozi wa dini ya kikristo tu ??
 
Mie nafkiri waruhusiwe kuoa tu maSister sijui ndo watawa maana wamelawitiana wenyewe kwa wenyewe sasa hivi wamekuja kwa watoto wadogo,,atakingikiwa kifua na roman ss hivi. Maana ile kesi ya padri Mushi wa Kimara iliishia hivi hivi.

Cc: kahtaan faiza foxy gombesugu THE BIG SHOW Elungata

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:

Mkuu HAWA MAKAFIRI wanajifanya wajanja kwenda kinyume na Kanuni Za ALLAH.

Sasa mwenye akili ktk wao AONE huo UCHAFU wanaofanya HAO wanaowasamehe madhambi huko MAKANISANI.
 
Last edited by a moderator:
Jana kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, nimeweka habari ya Kanisa linakiri kuwa wachungaji wanaharibu watoto, kwa bahati mbaya sana na kwa kuwa JF hakuna uadilifu yakija masuala yanayohusu Kanisa, hiyo habari ikaondolewa hapo ikapelekwa International News na ikafungwa saa hiyo hiyo ili isichangiwe.

Sasa hapao mimi wala sishangai, kanisa lenyewe linakiri wanaharibu watoto, ushahidi huu hapa:

Church Officials: Former Pastor Credibly Accused of Child Sexual Abuse

ST. LOUIS (KMOX) - The local Presbyterian Church body has issued a warning about an alleged child molesting pastor who once served in the St. Louis area.
Officials with the Giddings Lovejoy Presbytery, which represents local members of the Presbyterian Church USA, now say they consider child sex abuse allegations made in 2012 against former pastor Michael Walker Jackson are credible.
The alleged abuse took place in the mid 1980s, but no civil or criminal charges were brought.
“The Presbyterians in the St. Louis area are standing up and acting responsibly and they’re warning people about a man who they believe was credibly accused of child sexual abuse and we applaud the Giddings Lovejoy Presbytery,” says SNAP’s David Clohessy. “We hope it will inspire other denominations to show a little bit of courage and a little bit of compassion for children.”
Jackson is no longer a minister in the Presbyterian Church USA.
He’s believed to be living in Georgia.
Attempts to reach him were unsuccessful.
(TM and © Copyright 2014 CBS Radio Inc. and its relevant subsidiaries. CBS RADIO and EYE Logo TM and Copyright 2014 CBS Broadcasting Inc. Used under license. All Rights Reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten, or redistributed.)

Source: Church Officials: Former Pastor Credibly Accused of Child Sexual Abuse « CBS St. Louis

Dah.

Kwani JF mnakuwa namna hiyo? mnaficha haya madhambi yanayofanywa kwa jina la Kanisa?
Paw, Invisible, PainKiller, Moderator.

Huo ndio ukiskia mfumo galatia at work!

Wengine ktk hao wasipoficha kibarua hawana.
 
Last edited by a moderator:
Tukianza kuorodhesha madudu ya mtume.patakuwa hapatoshi hapa.
 
hahaaaaa yani kile kitu kinachopatikana katikati ya miguu ni kimbilio la wengi () hahaaaaa
 
Hahaaa warudi kupiga magoti kwa papa ili wapate kibali halali cha kulawiti watoto au kufunga ndoa za jinsia moja?.... Bora wawe wanywa uji tu kuliko kufata ufirauni wa mapadre kwa watoto!

Huyu naye ni mfuasi wa mzee wa Hummer......Naona kawasasa ume-side na vijukuu wa Muddy....

Vipi Gwajima kesha tubu dhambi ya umalaya na kuzini na wake wa watu....? Nauliza tuu
 
Mkuu HAWA MAKAFIRI wanajifanya wajanja kwenda kinyume na Kanuni Za ALLAH.

Sasa mwenye akili ktk wao AONE huo UCHAFU wanaofanya HAO wanaowasamehe madhambi huko MAKANISANI.

Kila siku nakuuliza hili swali hutaki kujibu,mtume alisema ukijitawaza uingize kidole chote cha kati kujisafisha kisha ukamuonyeshe akague,sasa mtume hayupo wa kukagua,je huwa unafanya kama mtume alivyoagiza?je ukishatawaza unampelekea nani akukague?

Kuran inasema kama unataka kujitawaza,ukakosa maji unaweza kujitawazia mchanga au udongo,je unafanya hivyo?ukimaliza unampelekea nani akague?
Nijibu hayo maswali leo mkuu.
 
Aisee Kichwa ndio MTU asante kwa kutujuzs
 
Hakika hana majibu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom